I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
FACTORY RESET ya maana itaenda kufanyika katika historia ya nchi hii tangu kuumbwa kwake. Yale mashimo watu fulani walizoea kujifichia na kuila nchi hii taratibu kama bandubandu yatafukiwa sasa 'Malaika wataishi kama mashetani'. Matumaini yatarudi ya kuishi kwa usawa kati ya raia wote bila kujali kama ni kiongozi au raia wa chini.
Sheria kandamizi nyingi zilizitwishwa kwa raia wasioweza kupaza sauti zao na kusikilizwa sasa ni wakati wa kujiamini na kuchukua hatua stahiki ili kuondolewa maonezi hayo yaliyowapa wakati mgumu. Nchi hii ni ile nchi ya ahadi iliyoahidiwa na Mungu tangu zama za wana wa Israel.
Na huu ndio wakati wa kuifikia nchi yetu iwe mikononi mwetu wananchi kiongozi aliyesubiriwa kutufikisha nchi ya maziwa na asali yu miongoni mwetu tushikamane nae kuwaondoa maadui zetu katika nchi iliyo yetu.
Watanzania wote wenye mapenzi mema tutatoka mashariki, magharibi, kaskazini na kusini kwa pamoja tutashikamana na TUNDU LISSU kufanya mageuzi ifikapo 28\10\2020.
(MAENDELEO HAYANA CHAMA) ==> (MSIPOWACHAGUA VIONGOZI WA CHAMA CHANGU NATAKA NIWAAMBIE UKWELI MAENDELEO ENEO HILI MTAYASIKIA TU!)
# kila ngome itaanguka mbele yake.
NI YEYE masiha tuliye ahiyeahidiwa tangu enzi za manabii tumfuate.