Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ni masiha wetu tuliepewa na Mungu, tumpokee

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ni masiha wetu tuliepewa na Mungu, tumpokee

Ndugu tafadhali nakushauri unafanya kosa kubwa sana. Mbona mbataka kumfanya TL anakuwa Mgombea wa Wakidini, waislamu hawakubaliani na Masih, lakini kuna waislamu wengi wanamunga mkono Lissu, lakini wanauchukia mfumo DINI.
Acha uongo Yesu anajulikama kwenye Quran kama masih anayesubiriwa kuja mwisho wa dunia. Kuna mpinga kristo mdani ya quran anaitwa Masih Dajjal. We hujui lolote kaa kimya.
 
Huyo Mungu mnayemzungumzia sijui ni Mungu wa aina gani? Maana ameanza kuhusishwa toka kwa Slaa na Lowassa lakini hajafanya maajabu yeyote hadi leo,sasa mnamuhusisha na Lissu.

Naona ccm ina nguvu kuliko huyo Mungu.
Mwaka huu mtanyoka. Hapa hakuna kibaraka tena.
 
Mwaka huu mtanyoka. Hapa hakuna kibaraka tena.
Mimi siwezi ubishi wa simba na yanga,wewe tuweke dau hapa kama unajiamini,weka mzigo na mie niweke mzigo halafu tusubiri matokeo ya uchaguzi.
 
Back
Top Bottom