Tundu Lissu ni msomi mzuri lakini hana maarifa hata kidogo

Machawa wa chura kiziwi naona mmedata. Kila wakati mnungua nyuzi za kumhusu Tundu Antipas Mughwai Lisu.

Na bado!
 
Aitishe kikao na G55 awasikilize ndiyo maturity ya uongozi. aachane na msimamo mmoja tu. politics is dynamic.

Waliitwa kwenye kikao Cha watia nia hawakwenda. Sasa afanyeje?. Ana mikutano nchi nzima aache kisa watu wachache wenye tamaa zao.
 
Ndio maana ameogopa kukutana na gwiji wa siasa nchini Steven Wassira, Lissu ukiondoa sheria ambako nako ni wa kawaida sana lakini hana maarifa ya kijamii.Yeye ameng'ang'ania sheria tu mwanzo mwisho, watu wanajaa kwenye mikutano yako sio kwamba wanakupenda bali wanataka kukuona hali yako tangu ushambuliwe kipindi kile.

Msimamo wake wa kutumia fedha za tone tone kuzunguka nchi nzima kuleta political hoodwink zimekiua chadema.

Niliwahi kumwambia hapa kuwa mwaka 1995 kulikuwa na NCCR Mageuzi, kilikuwa na wasomi balaa, Lamwai, Sengondo Mvungi, Dkt Ringo Tenga, Mabere Nyaucho Marando, Mosses Maira na hasa Prince Bagenda.

NCCR na wasomi wake wote kilipotea, alikuwepo mchungaji Mtikila hapa, yeye alikuwa hatari kuliko Lissu, aliwakusanya wananchi akawahamasisha hadi wakaenda kuwavamia wahindi, Mtikila alikuwa 'kichaa' kweli mwanaume yule, mwenyezi mungu amrehemu.

Wewe unafanya harakati kumtegemea Maria Sarungi, unamtegemea Askofu Bagonza, kichwa kama cha Mwijaku.
Usomi bila maarifa ni udiktete uchwara
 
Attachments

  • cf0ea736521de32f5d65e1a6b7fd56a4_1743187151179.mp4
    579.6 KB
Ingekuwa akili inapimwa kwenye mzani kama lissu akili yake ina kilo 2 mleta mada akili yake ina miligram 12 umbali huu ni sawa na kutoka dunian hadi huko mwezini 184,000 kms
 
Ndio maana ameogopa kukutana na gwiji wa siasa nchini Steven Wassira, Lissu ukiondoa sheria ambako nako ni wa kawaida sana lakini hana maarifa ya kijamii.Yeye ameng'ang'ania sheria tu mwanzo mwisho, watu wanajaa kwenye mikutano yako sio kwamba wanakupenda bali wanataka kukuona hali yako tangu ushambuliwe kipindi kile.

Msimamo wake wa kutumia fedha za tone tone kuzunguka nchi nzima kuleta political hoodwink zimekiua chadema.

Niliwahi kumwambia hapa kuwa mwaka 1995 kulikuwa na NCCR Mageuzi, kilikuwa na wasomi balaa, Lamwai, Sengondo Mvungi, Dkt Ringo Tenga, Mabere Nyaucho Marando, Mosses Maira na hasa Prince Bagenda.

NCCR na wasomi wake wote kilipotea, alikuwepo mchungaji Mtikila hapa, yeye alikuwa hatari kuliko Lissu, aliwakusanya wananchi akawahamasisha hadi wakaenda kuwavamia wahindi, Mtikila alikuwa 'kichaa' kweli mwanaume yule, mwenyezi mungu amrehemu.

Wewe unafanya harakati kumtegemea Maria Sarungi, unamtegemea Askofu Bagonza, kichwa kama cha Mwijaku.
Lisu shikiria hapohapo wameanza kutema ngama
 
Na kuna wengine hawataki
So wewe bakia na upande wako
Wachache hawawezi kusababisha wengi tunaofaidika tufeli kwa sababu yao.

Kabla ya mfumo ilikua worse zaidi.

Ieleweke tu Mwenyekiti hajui kila kitu,kabla hajaropoka anapaswa kufanya utafiti kwanza
 
No research no right to speak

How do you know kwamba ni wachache?
 
No research no right to speak

How do you know kwamba ni wachache?
Huu mfumo tokea ulivyokua unataka kuanza,waliofaidika kabla waliupinga sana kwa kuwa mianya ya upigaji iliwafavor,now wanataka turudi kule kule ili wabelgiji wafadhili wake watupige tena,hatukubali
 
Back
Top Bottom