Rubbish...Lissu atazinguliwa tu na hakuna mtakachoweza kufanya, mmejaa humu na majina feki kwa uoga halafu mnaongelea mapinduzi. Sijawahi ona watu waoga na wenye mikwara Kama wabongo. Lissu hana madhara yoyote Ila mitandaoni ndo mnampaisha sana. Yawezekana safari yake ikaishia wiki ijayo na mtaishia kulalamika humu tu. Huwa nasema siku zote, Lissu ana akili nyingi sana za darasani Ila kuhusu elimu DUNIA ni ZERO kichwani.
Ulitaka kusema nini?Lisu lisu lisu nimeita mara tatu
Binafsi nampuuza tu, ni sawa na chizi tu
Hiyo ndiyo njia pekee ya kupambana na huyu mtu anayeitwa Tundu Lissulusungo said:That’s why nimesema asipuuzwe! Neno haki huinua taifa lizingatiwe.
Ataharibu mara ngapi wakati imeshaharibiwa tayari na jp?.Hata kwa kikwete ngonjera zilikuwa hizihizi, mnabadilisha maneno tu tune ileile. Kwa maneno yako kuwa ni mtu hatari Basi huyu akipewa nchi ataharibu. Hatapewa.