IROKOS
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 10,182
- 7,839
Rubbish...Lissu atazinguliwa tu na hakuna mtakachoweza kufanya, mmejaa humu na majina feki kwa uoga halafu mnaongelea mapinduzi. Sijawahi ona watu waoga na wenye mikwara Kama wabongo. Lissu hana madhara yoyote Ila mitandaoni ndo mnampaisha sana. Yawezekana safari yake ikaishia wiki ijayo na mtaishia kulalamika humu tu. Huwa nasema siku zote, Lissu ana akili nyingi sana za darasani Ila kuhusu elimu DUNIA ni ZERO kichwani.