Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ni Mtu hatari asipuuzwe!

..siyo haki kumuita TL majina mabaya na kum-brand kuwa ni mtu hatari.

..watu hatari ni wale wenye hila, na wanaopanga uovu, dhidi ya TL.

Natumaini hujanisoma vizuri
 
Vita vitokee tu ili Watanzania na sisi tuweze kupewa hifadhi za ukimbizi Australia Marekani ulaya
Hii imekaa poa. NEC na CCM wachochee haraka. kuna mazuzu ya ccm yandhani machafuko yakitolea yenyewe yatakuwa salama.

Hata huyo mwanajeshi atakuwa vitani lakini baba yake, mama yake, watoto wake na mke wake tutakuwa wote tunakula udongo huku kitaa.
 
Kuwepo kwa Lissu kwenye huu uchaguzi ni presha kubwa kwa Magufuli,Ccm na imeibua changamoto kubwa sana kwa NEC.

Nadhani Ccm wanaelewa upinzani (Lissu) wanaokabiliana nao kipindi hiki sio wa kubeza ndio maana hata kwenye wagombea wao wa ubunge baadhi ya maeneo wameamua kupitisha watu wenye ushawishi wanaoonekana wanaweza kupunguza 'pressure' /kutuliza watu maeneo yenye upinzani mkali (rejea kupitishwa kwa Gwajima).
 
Lissu atazinguliwa tu na hakuna mtakachoweza kufanya, mmejaa humu na majina feki kwa uoga halafu mnaongelea mapinduzi. Sijawahi ona watu waoga na wenye mikwara Kama wabongo. Lissu hana madhara yoyote Ila mitandaoni ndo mnampaisha sana. Yawezekana safari yake ikaishia wiki ijayo na mtaishia kulalamika humu tu. Huwa nasema siku zote, Lissu ana akili nyingi sana za darasani Ila kuhusu elimu DUNIA ni ZERO kichwani.
Umeona wapi mleta mada kasema Lissu atafanya mapinduzi ?

Nchi imewashinda mmebakiza vitisho vya kishamba na kuteka watu.

Hivi mnaongoza swala siyo watu eti fanyeni huo uhuni wenu.

This time bebeni hata mabomu njooni mtulipue lazima kieleweke.

Kikubwa tunataka uchaguzi huru na haki short of that tutaandika upya historia ya nchi

Hii nchi siyo Mali binafsi ya ccm ni ya watanzania wote na watanzania wanahaki ya kuongozwa na mtu wanayemtaka.
 
Hakuna haki Duniani, haki ipo mbinguni tu. Na tumejiandaa JPM ashinde ngwe ya pili kwa njia yoyote. Wazungu wanasema By any means necessary. Watanzania walioamini Lowassa atawaletea mabadiliko mpaka wakadeki Lami sio wa kuwaacha waamue wenyewe,wanaweza mchagua hata Makonda awe Raisi ukiwaacha waamue. Ni ubabe ubabe tu. Kama mnaweza ingieni msituni vinginevyo subirini JPM aapishwe November mwaka huu.Mmezoea kuambiwa maneno ya kuwapa moyo, mi nawapa live. LISSU hawezi kuwa Raisi wa Tanzania,sio Leo sio 2025 . NEVER.
Kuna mambo mengi sana hujui ingawa unajifanya inajua sana
 
Kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu kumepatikana mwamko na amsha amsha za aina yake!

Kupitia Safu hii napenda nijadili haiba ya wagombea urais aina ya Lissu!

Kwa waliopita ktk system ya kusolve migogoro ya power corridors ndani na nje ya nchi mtakubaliana nami hiki ninachokwenda kuandika hapa.

Duniani kote wanaotumika kuleta mapinduzi au kuongoza mageuzi huwa ni watu ambao hawana cha kupoteza ktk maisha (lumpen)

Lissu amepitia Kitu tunaita’Near Death Experience’ Duniani kote wanasiasa au wanaharakati waliopitia the Near death Experience huwa majasiri na hatari sana! Wanaopanga njama dhidi yao huchagua kufa au kupona.

Spirit Yao huwa ni kali sana na hubadilisha upepo wa mambo kwa kasi sana!

Wanaomsikiliza Lissu wanaweza kuona anatania au anatishia but psychologically anachoongea Lissu kinatoka moyoni na anadhamiria.

Miaka mingi tumekuwa tukisema upinzani umepoa na hamna wa kukinukisha ni kwa sababu hapajawai tokea Mtu wa kuongoza aina ya Lissu ambaye kwa hatua aliyopo ni Kama hana tena cha kupoteza ktk maisha.

Hivyo kupitia safu hii nasema tena Lissu asipuuzwe!

Anayosema kihusu uchaguzi huru na haki iwe kweli vinginevyo dunia itashangazwa na Tanzania itaandika historia mpya!

Nashauri tuwe na uchaguzi huru na haki kweli kweli!
Lowassa alitudissapoint sana 2015 baada ya kuporwa ushindi halafu akaenda kujifungia chumbani kulia.

Later on anatuletea tapeli la kinigeria
 
Watasema wana vyombo vya dola watamkontrol. Kumbe vyombo vyenyewe vimeshaona anaonewa.

Kamkumbusha Magufuli ajitafakari Kama ana askari wa kutosha wakupiga watu nchi nzima!
 
Kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu kumepatikana mwamko na amsha amsha za aina yake!

Kupitia Safu hii napenda nijadili haiba ya wagombea urais aina ya Lissu!

Kwa waliopita ktk system ya kusolve migogoro ya power corridors ndani na nje ya nchi mtakubaliana nami hiki ninachokwenda kuandika hapa.

Duniani kote wanaotumika kuleta mapinduzi au kuongoza mageuzi huwa ni watu ambao hawana cha kupoteza ktk maisha (lumpen)

Lissu amepitia Kitu tunaita’Near Death Experience’ Duniani kote wanasiasa au wanaharakati waliopitia the Near death Experience huwa majasiri na hatari sana! Wanaopanga njama dhidi yao huchagua kufa au kupona.

Spirit Yao huwa ni kali sana na hubadilisha upepo wa mambo kwa kasi sana!

Wanaomsikiliza Lissu wanaweza kuona anatania au anatishia but psychologically anachoongea Lissu kinatoka moyoni na anadhamiria.

Miaka mingi tumekuwa tukisema upinzani umepoa na hamna wa kukinukisha ni kwa sababu hapajawai tokea Mtu wa kuongoza aina ya Lissu ambaye kwa hatua aliyopo ni Kama hana tena cha kupoteza ktk maisha.

Hivyo kupitia safu hii nasema tena Lissu asipuuzwe!

Anayosema kihusu uchaguzi huru na haki iwe kweli vinginevyo dunia itashangazwa na Tanzania itaandika historia mpya!

Nashauri tuwe na uchaguzi huru na haki kweli kweli!
Ni kweli lisu anatumika na ataendelea kutumia hata baada ya uchaguzi kuleta migogoro Tanzania, hila serikali na vyombo vyake vya dola washaliona hilo, wapo many steps ahead of him, ndio maana wanacheza nae vizuri tuu na uchaguzi utaisha salama , MAGUFULI atashinda Tanzania itaendelea kuwa na amani na imara daima. Lisu atabaki na aibu yake.

Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
 
Kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu kumepatikana mwamko na amsha amsha za aina yake!

Kupitia Safu hii napenda nijadili haiba ya wagombea urais aina ya Lissu!

Kwa waliopita ktk system ya kusolve migogoro ya power corridors ndani na nje ya nchi mtakubaliana nami hiki ninachokwenda kuandika hapa.

Duniani kote wanaotumika kuleta mapinduzi au kuongoza mageuzi huwa ni watu ambao hawana cha kupoteza ktk maisha (lumpen)

Lissu amepitia Kitu tunaita’Near Death Experience’ Duniani kote wanasiasa au wanaharakati waliopitia the Near death Experience huwa majasiri na hatari sana! Wanaopanga njama dhidi yao huchagua kufa au kupona.

Spirit Yao huwa ni kali sana na hubadilisha upepo wa mambo kwa kasi sana!

Wanaomsikiliza Lissu wanaweza kuona anatania au anatishia but psychologically anachoongea Lissu kinatoka moyoni na anadhamiria.

Miaka mingi tumekuwa tukisema upinzani umepoa na hamna wa kukinukisha ni kwa sababu hapajawai tokea Mtu wa kuongoza aina ya Lissu ambaye kwa hatua aliyopo ni Kama hana tena cha kupoteza ktk maisha.

Hivyo kupitia safu hii nasema tena Lissu asipuuzwe!

Anayosema kihusu uchaguzi huru na haki iwe kweli vinginevyo dunia itashangazwa na Tanzania itaandika historia mpya!

Nashauri tuwe na uchaguzi huru na haki kweli kweli!
Hofu yako tu mkuu, Tundu ni MTU wa kawaida sana, japokuw kisaikolojia hayuko vizuri sabb ya lile tukio. Mungu mwema atatuvusha pamoja na kwamba anaweza kukatwa sabb yeye mwenyewe kutengenezea mazingira hayo. Tatizo analitumia hilo tukio vimbaya na kuwa na ujasiri ambao unampelekea kuloose control na back up ya foreign entities zinampa jeuri.
 
Hakuna haki Duniani, haki ipo mbinguni tu. Na tumejiandaa JPM ashinde ngwe ya pili kwa njia yoyote. Wazungu wanasema By any means necessary. Watanzania walioamini Lowassa atawaletea mabadiliko mpaka wakadeki Lami sio wa kuwaacha waamue wenyewe,wanaweza mchagua hata Makonda awe Raisi ukiwaacha waamue. Ni ubabe ubabe tu. Kama mnaweza ingieni msituni vinginevyo subirini JPM aapishwe November mwaka huu.Mmezoea kuambiwa maneno ya kuwapa moyo, mi nawapa live. LISSU hawezi kuwa Raisi wa Tanzania,sio Leo sio 2025 . NEVER.
"Watanzania walioamini Lowassa atawaletea mabadiliko mpaka wakadeki Lami sio wa kuwaacha waamue wenyewe,wanaweza mchagua hata Makonda awe Raisi ukiwaacha waamue. Ni ubabe ubabe tu."

Haina haja ya kufanya uchaguzi kama ndo hivyo
 
Kamkumbusha Magufuli ajitafakari Kama ana askari wa kutosha wakupiga watu nchi nzima!
Wengine ni askari na sasa hivi wako centri (gate la kuingilia kambini) ile ya Mali inasubiriwa kwa hamu. Ikitokea tu ni kukusanya wana ccm wote hasa top layer tuna wapeleka kambi moja na wataeleza kilichofanyika ambacho wanataka watu waendelee kuwatawala bila ridhaa yao. Huo ndio utakuwa mwisho wa ccm na jina lenyewe.
 
Natumaini hujanisoma vizuri

..nimekusoma vizuri.

..ila nashauri ungebadilisha heading yako.

..unaposema TL ni mtu hatari ni kama unaunga mkono propaganda za IGP Sirro kuwa TL anachochea vurugu na kuhatarisha amani.

..I know you meant well, lakini ulikuwa na nafasi ya kuzielezea hoja zake vizuri zaidi.
 
Hofu yako tu mkuu, Tundu ni MTU wa kawaida sana, japokuw kisaikolojia hayuko vizuri sabb ya lile tukio. Mungu mwema atatuvusha pamoja na kwamba anaweza kukatwa sabb yeye mwenyewe kutengenezea mazingira hayo. Tatizo analitumia hilo tukio vimbaya na kuwa na ujasiri ambao unampelekea kuloose control na back up ya foreign entities zinampa jeuri.
Sasa watu waelewe tunaposema Membe anajitambua na ni kiongozi, siyo hili galasha la chadema kila siku kujisifu eti HAPATATOSHA.
 
Lissu atazinguliwa tu na hakuna mtakachoweza kufanya, mmejaa humu na majina feki kwa uoga halafu mnaongelea mapinduzi. Sijawahi ona watu waoga na wenye mikwara Kama wabongo. Lissu hana madhara yoyote Ila mitandaoni ndo mnampaisha sana. Yawezekana safari yake ikaishia wiki ijayo na mtaishia kulalamika humu tu. Huwa nasema siku zote, Lissu ana akili nyingi sana za darasani Ila kuhusu elimu DUNIA ni ZERO kichwani.

Nimecheka kwa nguvu mpaka watu wakaniangalia. Unasema watu wamejaa uoga mpaka wanatumia id fake, ww huogopi na unaisifia serekali, mbona hutumia verified I'd? Id fake tulianza kutumia kabla ya awamu hii, labda kama hujui kwanini watu wanatumia fake I'd. Majukwaa humu ndani ni mengi kuna ya mapenzi, elimu, biashara nk kote huko virified id Ni ndogo wote huko wanaoogopa?

Kwani hayo mapinduzi yanaanza bila kujadiliwa, au yakijadiliwa unataka yaanze hapo hapo bila hamasa kuingia kwenye kundi kubwa. Kwani hayo mapinduzi yaliyofanyika nchi za Afrika kaskazini yaliyowaondoa viongozi ving'ang'anizi wa madaraka, yalijadiliwa ndani ya miezi miwili na kufanyika? Ukiacha mitandaoni, ni wapi unaweza kukaa na kujadili kuhusu mabadiliko yasiyoifurahisha serekali kwa watu mlio sehemu mbalimbali? Ni kweli Lisu anaweza kukatwa na kusiwe na fujo zozote, lakini impact ya hilo itakuwa wazi sana, hata kama sio sasa ni muda ujao.
 
Back
Top Bottom