Tundu Lissu ni Muasi au Mhaini? Ipi ni Kesi ya Msingi?

Ukisikia mambo ya mihemuka ndio kama haya, umeuliza swali gumu kwa wanafiki lkn swali jepesi kwa wazalendo.
Hapo TAL hajafanya uasi wala uhaini.Wanaosema ameas au uhaini lazima tuwatile mashaka na shule zao au elimu yao.Kama kweli unazijua kanuni za uasi na uhaini basi kwa hapa tulipofikia nadhani tuna maeneo mengi ya ku-outsource tuwape wawekezaji watutawale.
Ni vichekesho juu ya vichekesho.
Kukamatwa kwa lissu sijakushangaa sana kwa sababu hata Mbole alikamatwa kwa kesi ya ugaidi akaachiliwa na siku hiyohiyo akaingia black house kupata juice
 
Baada ya Pasaka April 24, itajulikana gentleman,
ni muhimu sana kuwepo na ustahimilivu na subra πŸ’
Subra ya kuumizana kwa makusudi siyo subra bali ni ukoloni wa fikra.
ni muhimu kutoa nyongo moyoni ili kupata pumzi mpya ya fikra, but ukweli utabaki pale pale gentleman,

April 24.2025.
kwasasa mapilato tupo mfungo wa kwaresma one time πŸ’
 
Alishakubali mwenyewe, acha kumtetea.


View: https://youtu.be/Pgu4VfqBGKs?si=MbDvJTYfJqyQVOuh
 
Na tunachojadili ni siasa

Mtoa maada ameweka maada hapa ili kwa uhuru kabisaa tuchangie tunachochangia
Ndo utumie uhuru wako kuchangia ujinga badala ya hoja za kujenga na kuimarisha utaifa wetu?

Hebu jaribu kujibu maswali haya:

1. Kwa hali ilivyo sasa wewe unaonaje? Kwamba, Je, Tanzania inahitaji kufanya reforms ktk mfumo wetu wa kupata Viongozi kwa njia za chaguzi HURU, ZA WAZI, ZA HAKI na za KUAMINIKA au la...?

2. Wewe kwa mtazamo wako huru unaonaje? Kwamba, mtu yeyote akisimama na kusema, NO REFORMS NO ELECTION anakuwa anafanya kosa la uhaini au uasi..?

3. Je, kwa kusoma andiko la Robert Heriel Mtibeli, unaweza kutoa conclusion gani kwa ufahamu na akili yako, kwamba, Tundu Lissu Lissu ni haini au ni mwasi..?
 
Ninachangia mada hii nikiamini kwamba serikali yetu sio jinga. Kwa kukubaliana na hoja hiyo, ni vyema kama wana CHADEMA wange chambua kwa kina na kuwasilisha hoja zao kuhusu mabadiliko ambayo wanapendekeza kwenye katiba na mchakato ambao ungetakiwa kufuatwa ili tuwe na tume ya uchaguzi ambayo ni huru. Kwa muda mrefu sasa, tumekuwa tukisikia na kuwaona viongozi wa CHADEMA wakiitishia serikali na kufanya fujo kwa lengo la kupigania haki. Lakini hakuna hata siku moja ambayo viongozi wa CHADEMA wame pendekeza mabadiliko ambayo wangependa kuyaona kwenye katiba. Elewa kwamba harakati ambazo zimechochea mageuzi duniani, zimefanya hivyo kwa kuweza kuwaleta mezani washikadau mbalimbali na kukubaliana hatua kwa hatua kwa ushawishi wa hoja nzito. Mpaka sasa, wana CHADEMA wanaendelea kusema indirectly kwamba wao wangeweza kufanya kazi nzuri zaidi kuliko serikali kwenye kulinda haki ya wananchi lakini hawana vielelezo vyovyote kuthibitisha hilo. Mazungumzo ya amani ndiyo yanayoweza kuchochea mabadiliko ya kweli na kufanya harakati za wana CHADEMA ziwe na maana.
 
Nukuu
"...Kifungu cha 39 (1) cha kanuni za adhabu kinasema kuwa mtu yeyote ambaye yumo ndani ya Jamhuri ya Muungano au popote, kujaribu kumuua Rais, kuanzisha vita dhidi ya Jamhuri ya Muungano, kusababisha, kuwezesha, kuchochea, kushawishi, kushauri kuhusu kifo, kumwondolea Rais heshima na jina la Mkuu wa nchi, Amiri jeshi mkuu, au kiongozi wa Serikali, kupindua serikiali iliyo madarakani, kutishia Serikali, Bunge au Mahakama kwa makosa haya na yale yaliyotajwa hapo juu mtu wa namna hiyo atakuwa ametenda kosa la jinai ambalo ni kosa la uhaini...."

1. Ameasi kutoka kwenye mamlaka ipi ambayo alikuwemo?
2. Amemhaini nani?
3. Vita ameianzisha lini, wapi na dhidi ya nani?
4. Mtuhumiwa ana silaha za kufanikisha tuhuma zilizotajwa?
-Kamchochea nani na aliyechochewa akachocheka?
-Alitaka kumuua nani, lini na wapi?
 
Nenda mahakamani ukaaonyeshe umahiri wako, humu utaishia kupata likes za nyumbu tu wasiojua lolote......sijasema we hujui kamanda, nisieleweke vibayaπŸ™πŸ™πŸ™
 
Hawezi jibu huyo chawa aka kupe wa mama
 
Na nyumbu wewe unaingia kwenye mtanange huu,ceti? Mbona umeshindwa kabla ya kuanza. Kapike ugali huko.
 
We hunaga akili, umeandika uzushi, uwongo, upotoshaji na upuuzi mwingine mwingi, kwa faida ya nani? Masai wa wapi wamekataa kuhama Ngorongoro? Acha upotoshaji, wamasai walicholalamikia mwaka jana ni huduma za shule na afya kusitishwa.
Unaroho mbaya kuliko hata shetani, nyie ndo mliojitoa akili kudhani damu za watanzania ni kama maji ya bahari, ipo siku yenu
 
Nenda mahakamani ukaaonyeshe umahiri wako, humu utaishia kupata likes za nyumbu tu wasiojua lolote......sijasema we hujui kamanda, nisieleweke vibayaπŸ™πŸ™πŸ™
Unapenda sana makalio ya manesi hivyo kujibu hoja za msingi huwezi wewe.
 
Wengine hatujasoma Sheria. Hayo peleka kwenye Jopo la Mawakili wa Lissu inaweza itawasaidia. Lakini kiukweli kabisa, mimi naamini Polisi walichelewa sana kumkamata na kumshtaki Lissu kwa uhaini! Ila nalipongeza maana better late than never!
 
Wengine hatujasoma Sheria. Hayo peleka kwenye Jopo la Mawakili wa Lissu inaweza itawasaidia. Lakini kiukweli kabisa, mimi naamini Polisi walichelewa sana kumkamata na kumshtaki Lissu kwa uhaini! Ila nalipongeza maana better late than never!
Roho mbaya haijengi endelea kujifunza pole pole thamani ya mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…