Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiboko pekee ta MaguTwende na lissu...
Utakuja kuliwa weweeh 😂Nampa kura yangu kwa sababu nikimuona napata faraja ya moyo akili na mwili nakua na furaha na amani
Ila za JPM ndo zipo sawa mkuu!.inawezekana TL anayoyazunguza hayana ukweli hats kidogo eti!.hii nchi ni ya wote bosi.Hamna mkuu Lissu ukimfatilia kuna bugs kichwani haziko sawa
Wewe kama Mimi du hongera sana kuna mda hadi machozi hunitoka tu nikimuona Lissu huwa nakuwa na amani .Nampa kura yangu kwa sababu nikimuona napata faraja ya moyo akili na mwili nakua na furaha na amani
Ipo wapi kanzi nzur??Hatumpi kura mtu anayekuja kuvuruga kazi nzuri iliyofanywa na JPM. Hilo msahau kabisa
Duuu jamani aliye na ile clip ya Lissu akihojiwa kule Marekani au Uingereza na akatetea ushoga aishushe hapa haraka kwa ushahidi...jamaa naona mvivu wa ku browse..nimekuambia weka link akiongea kutetea ushoga ,mmesimamia kwenye hiyo propaganda ina maana nye ndo mnataka ushoga haiwezekani mtu kitu asichokipenda aishikie kidedea kama wewe ,acha kuongea ushoga na uache kama una hiyo tabia
Hata uhalifu unaweza onekana kazi nzuri kwa anayenufaika na uhalifu huo.Kazi nzuri ipi mkuu,Hakuna kazi nzuri iliyofanyika.
Kwa kura hizi tunazoenda kupiga Magufuli hashindiKitu pekee ulichopatia ni TL ana tabia kama JPM ni wabishi na hawasikilizi ushauri wa wenzao. Tofauti yao kubwa ni itikadi wanazoziamini basi. Mwisho wa siku JPM atashinda, cha msingi nikuchukua nafasi hii kumfanya aheshimu nguvu ya umma. Mambo mengine ni ndoto tu na kiukweli unahitaji kuwa kipofu kuweka imani yako kwa wapinzani ambao hawana strategy za kuitoa CCM.