Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuacheni Siasa jamani Lissu anafaa sana kuwa Rais na anashaurika na ni msikivu mwenye huruma na mwenye kusameheTAL akili kubwa.
Inatia hasira ukisikia NEC na TISS wako Saidi was na JWTZ na polisi wanafanya hila kuturudisha kwenye ujinga.Tuacheni Siasa jamani Lissu anafaa sana kuwa Raisi na anashaurika na ni msikivu mwenye huruma na mwenye kusamehe
Tuacheni Siasa jamani Lissu anafaa sana kuwa Raisi na anashaurika na ni msikivu mwenye huruma na mwenye kusamehe
Kwani Nchi ni Mali yako binafsi? Hivi nyinyi watu mnajielewa kweli?"Kama JPM alijenga Stieglers Gorge Basi tundu LIssu atatutengenezea Umeme wa Nuclear" Itoshe kusema hamtokaa mchukue nchi kwa hoja hizi!
Lisu amekusaliti kwa lipi lofa wewe?Magufuli hajawahi kiwa msaliti kama Lissu
Na ni kweli, hao wote marais niwasumbufu kwa wananchi. Malawi wamemtoa katili Mutharika kaingia Chakwera. Uganda tangia 1986, mpaka leo mini hii?
Kuwa mvumilivu utapata majibu baada ya wiki 3 tu.Kwa kura hizi tunazoenda kupiga Magufuli hashindi
Fear of unknownHuyu wa kutugawa kimajimbo kama wakoloni walivyotufanyia ili iwe rahisi kututawala na kuweka madini yetu rehani ili kupata mikopo ni wa kuogopa kama ukoma,asipate hata kura moja.Atauza nchi yetu!
Atakuwa Rais wa kwanzaHatujawahi kuwa na rais aliongoza kwa miaka mitano na sio jadi yetu huyo mtu wenu ajipange 2025 tutamfikiria ila kila awamu ni miaka kumi bas hahaha
No,it's not fear of the unknown,by his words he has exposed himself and shown who he really is.Hatuhitaji ushahidi zaidi.Ni stooge wa mabeberu,it is so clear.Fear of unknown
Hahaha imekukaba hii.Lisu amekusaliti kwa lipi lofa wewe?
No,it's not fear of the unknown,by his words he has exposed himself and shown who he really is.Hatuhitaji ushahidi zaidi.Ni stooge wa mabeberu,it is so clear.
Game changer kwa kuiza nchi labda.Frankly atakayemchagua Lissu ni zuzu!View attachment 1597713
Game changer in the cpuntry
Tundu anaenda kupata aibu ya dunia mwaka huu.Kwanini ninafikiri Tundu Lissu anatosha zaidi ya Magufuli?
Kuna watu ambao wanasema kwamba KURA ya MTU ni siri.Pamoja na hayo ni lazima niweke rekodi sawa sawa ili kila mtu atambue kwamba Ulipofika wakati wa kuhesabiwa nilisimama na kuhesabiwa.
Mimi sio Mwanachama wa chama cha CHADEMA na hii ni kwa sababu ya tofauti yangu ya kiitikadi na CHADEMA.Najua wengie wanaweza wakawa na KADI za CHADEMA ingawa kiitikadi sio CHADEMA kama ambavyo wengi ni wanachama wa CCM ili kiitikadi sio CCM.
Sitaki kueleza sana kuhusu masuala ya ITIKADI ili ukitaka kufahamu kuhusu itikadi yako kisiasa JIULIZE swali hili
JE LEO UKIKOSA KIPATO KABISA KATIKA SHUGULI ZAKO IWE NI AJIRA BIASHARA N.K. JE UNAFIKIRI SERIKALI NA VIONGOZI WA SERIKALI WANAPASWA KULAUMIWA?Kama JIBU lako ni ndio-BASI MIMI na wewe tunafanana KIITIKADI ila kama JIBU lako ni HAPANA basi mimi na wewe tunatofautiani KIITIKADI
Mimi ni TUNDU LISSU hatufanani KIITIKADI na wala MIMI na CHADEMA hatufanani KIITIKADI ila kwa sababu ni kipindi cha UCHAGUZI ni lazima niseme ukweli ambao ninauona
TUNDU LISU ni TOLEA JIPYA LILILOBORESHWA LA MAGUFULI
Kama wewe ni Mtaalam wa Mifumo ya Kompyuta basi TAL ni version Mpya ya JPM ambayo BUGS zake zimerekebishwa na Functionaliteis zake zimeboreshwa.Au kama ulikuwa unatumia trial version basi Tundu Lisu ni FULL Pack with License KEYS
Kama wewe ni mtaalamu wa mambo ya imani basi tundu LISSU ni sauti ya MTU ALIAYE NYIKANI au NI YULE AJAYE
Kama wewe ni Mtaalama wa Sheria basi TAL ni SHERIA MPYA iliyofanyiwa marekebisho ambayo yanazingatia mapendekezo ya Watu
Kama wewe ni Mtaalamu wa UCHUMI basi TAL ni stimulus PACKAGE MPYA kwa ajili ya KUSISIMUA uchumi na kuhamasisha maendeleo na Mageuzi.
Kama wewe huna utaalamu wowote basi chukulia mfano wa movie au series ambapo sasa TAL ni kama EPISODE INAYOFUATA ambayo huwa inanoga kuliko iliyotangulia
Kama wewe ni mpenda Muziki basi JPM ni Single ili TAL ni Album Nzima yenye nyimbo kali
Au kwa wapenda Muziki zaidi basi TAL ni REMIX ya JPM ikiwa katika kiwango cha ubora wa hali ya JUU.
Naendelea kusisitiza kwamba Mimi na TUNDU LISSU hatufanani kiitikadi kabisa,ila ili kuepuka chokochoko niseme tu kwa Upande wa JPM hata ITIKADI ZAKE sizielewi,CCM yenyewe itikadi zake sizielewi.UNAWEZA kuona mahali nilipo
Kwa nini ninakushauri umchague TUNDU LISSU?Hizi ni baadhi ya Sababu:
Kama JPM alinunua NDEGE Basi TUNDU LISU atatupelekea ROCKET MWEZINI pamoja na SATELITE anagani
Kama JPM Alijenga Fly OVER Basi TUNDU LISSU atatutengenezea mtandao wa SUBWAY wa TRENI kwa AJili ya SAFARI za MIJINI hio ni zaidi ya Mwendo KASI
Kama JPM alijenga Treni ya SGR mpaka MORO nasi LISSU atajenga SGR Kuunganisha Mikoa Yote Tanzania.
Kama JPM alitoa tu vitambulisho vya wajasiriamali ni kuwaibia vi 20,000 vyao basi TUNDU LISSU atawaambia hizo 20,000 zitakuwa ni malipo ya BIMA zenu za AFYA ili mkiugua kwa sababu ya uchovu na kutembea umbali mrefu muweze kupata tiba BORA kabisa.
Kama JPM alijenga Stieglers Gorge Basi tundu LIssu atatutengenezea Umeme wa Nuclear na SOLAR energy kwenye GRIDI ya TAIFA.yaani kila mtu atapata Umeme
Ninachotaka kusema ni kwamba TUNDU LISSU ni BORA zaidi ya Magufuli kwa mbali sana.
Tundu Lissu asingekubali kuacha na kusamehe lile deni la makanikia kwa sababu ya vijisent ambavyo hata kulipwa ni kwa masharti
Tundu Lissu hawezi kubali viongozi watumie madaraka vibaya eti kwa sabbu wanajuana na RAIS
Tundu Lissu hawezi sema kwa uwazi kwamba yeye yuko JUU ya Sheria na kudharau katika ya Nchi.
Tundu Lissu hawezi kuacha kuongeza mishahara huku mfumuko wa bei ukiwa JUU
Tundu Lissu hawezi kufukuza watu kazi kwa kukosa cheti cha Form four wakati wamefanya kazi zaidi ya miaka 20.Tundu Lissu angewarudisha shule kama hicho cheti ni cha muhimu na kinaathiri utendaji wao wa kazi.
Tundu Lissu hawezi kamwe kusema elimu bure huku kiwango cha ubora wa elimu kikiwa chini.
Tundu Lissu anaweza kutumbua majipu kuliko JPM.
Tundu Lissu anaweza kurudisa uwajibikaji serikali kuliko JPM.
Tundu LISSU anaweza kuongeza makusanyo ya kodi hadi Trilioni 10 kwa mwezi kuliko JPM.
Ukichukua Tundu Lissu ukagawanya na JPM jibu utalopata ni Infinite,undefined etc kwa wale wanaoelewa mahesabu tayari manajua kwamba thamni ya JPM ni nini?
Sasa msije sema kwamba mimi sikuwaambia,Msije sema kwamba siku simama kuhesabiwa.Msije sema nilikuwa MUOGA WAKTI WA KUSEMA UKWELI.MSIJE SEMA KWAMBA MTAIBIWA KURA ZENU.MSIJE SEMA KWAMBA SIKUWAAMBIA
Mimi kwa sasa niajiandaa kwa ajili ya mwaka 2025 kwa sasa hivi mnaweza kunifuatilia kwenye tovuti yangu www.kizito.tk ili mfahamu kuhusu baadhi ya misimamo yangu ya kisiasa.
Kumbukeni kwamba ni uhimu muoneshe hamasa katika uchaguzi huu na mpige kura mkijua kwamba KURA ZENU ZITAHESABIWA NA HAKUNA ANAYEWEZA KUZIIBA.
Nawaombeni sana MFANYE uhakiki wa namba zenu za kura kwa kupitia namba *152*00# au kwa kutembelea tovuiti ya tume ya uchaguzi www.nec.go.tz
Msiache kufanya hayo yote na mengine mengi.SHIDA zako na MATATIZO yako yote ambayo unayapitia ni kwa sababu ya maamuzi mabovu ya DIWANI wako,Mbunge wako na RAIS wake.Usiaminishwe vinginevyo.Mvua Isiponyesha wa kulaumiwa ni RAIS,MBUNGE na DIWANI.Ukilala na Njaa wa kulaumiwa ni RAIS,MBUNGE na DIWANI ukikosa MKE au MUME wa kulaumiwa ni hao viongozi wako kwa sababu walipaswa kuliona hilo kabla na kujianda kulikabili kwani ndio dhamana tuliyowapa.
Kama umesoma mpaka hapa najua umepata ujumbe basi usambaze.Kama umeruka tu mpaka hapa basi Pole rudi juu ili upate ujumbe na uusambaze kama ulivyo.
Iwapo kuna matatzio katika uandishi basi nitawajibika binafsi.Iwapo kuna jinai humu iacheni kama ilivyo ila ujumbe wangu kwako ni HUU Chagua TOLEA JIPYA ACHANA NA TOLEA LA ZAMANI.UPGRADE KWENYE KIONGOZI MPYA ACHANA NA KIONGOZI WA ZAMANI.
NENDA na WAKATI MCHAGUE TUNDU LISSU AWE RAIS WA TANZANIA
Imeandikwa na Kizito S Akiwa katia Fukwe za Kimbiji,Jijini Dar Es Salaam