Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ni toleo jipya la Magufuli with all bugs fixed, mpeni kura zenu

Tuacheni Siasa jamani Lissu anafaa sana kuwa Raisi na anashaurika na ni msikivu mwenye huruma na mwenye kusamehe
Inatia hasira ukisikia NEC na TISS wako Saidi was na JWTZ na polisi wanafanya hila kuturudisha kwenye ujinga.
 
"Kama JPM alijenga Stieglers Gorge Basi tundu LIssu atatutengenezea Umeme wa Nuclear" Itoshe kusema hamtokaa mchukue nchi kwa hoja hizi!
Kwani Nchi ni Mali yako binafsi? Hivi nyinyi watu mnajielewa kweli?
 
Hatujawahi kuwa na Rais aliongoza kwa miaka mitano na sio jadi yetu huyo mtu wenu ajipange 2025 tutamfikiria ila kila awamu ni miaka kumi bas hahaha
 
Na ni kweli, hao wote marais niwasumbufu kwa wananchi. Malawi wamemtoa katili Mutharika kaingia Chakwera. Uganda tangia 1986, mpaka leo mini hii?
Rwanda safi sana, lakini Uhuru Hamna.

Tanzania Haki na Uhuru hamna. Sasa wanataka tuendelee na ccm? Maana kila upinzani wanauhujumu na unakufa. Where is NCCR Mageuzi, na CUF, vimekufa! We need change!
 
Huyu wa kutugawa kimajimbo kama wakoloni walivyotufanyia ili iwe rahisi kututawala na kuweka madini yetu rehani ili kupata mikopo ni wa kuogopa kama ukoma,asipate hata kura moja.Atauza nchi yetu!
 
Huyu wa kutugawa kimajimbo kama wakoloni walivyotufanyia ili iwe rahisi kututawala na kuweka madini yetu rehani ili kupata mikopo ni wa kuogopa kama ukoma,asipate hata kura moja.Atauza nchi yetu!
Fear of unknown
 
Tundu anaenda kupata aibu ya dunia mwaka huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…