Tundu Lissu: Ni ufisadi na ufujaji wa fedha za umma kwa Bunge kuwalipa watu ambao hawana sifa za kuwa wabunge

Hapa Lissu anatamini angekuwa bungeni mana Job alimwaga na kumnyima mapension yake .Lissu watanzania walishampuuza bora akae kimya

Na wengine wanakupuuza wewe usiyejua kuwa historia huwa haifutiki
 
Nadhani ni hasara zaidi kugoma kupeleka wabunge kwenye Bunge la Nchi na kuacha zile nafasi wazi. Kama wale 19 sio halali, kwanini Chama hakichagui na kupeleka wengine kureplace wale ambao hawana baraka za chama?...
Mkuu huu ni mchongo ulichezwa na Mbowe na Mnyika Ila sababu watu wameshikiwa akili hawawezi kuelewa. Never trust a POLITICIAN.. Umewahi sikia Mbowe au Mnyika wanaongelea lolote baada ya kipindi kile November!?

Hivi unaujua ukaribu wa Mbowe na Mdee na unaamini Mdee angeweza kumsaliti Mbowe kwa level ile!?... Hapa wanaochezewa ni wafuasi wa CHADEMA wasiotumia akili za ziada.
 
Blaa blaaaa blaaaaa, atulie huko aliko apambane na wakimbizi wenzie toka Rwanda na DRC.
Asitupangie hapa
 
Ni kweli na tukijumlisha na hela yote ya manunuzi ya wanasiasa wa upinzani toka hawa jamaa waingine madarakani - aisee yaweza fika bil 200 na ushee hivi - kweli huu ni ufisadi mkubwa !!
 

Mwambie Ni unafiki wa hali ya juu kukimbia nchi yako kwa visingizio vya kitoto. Hivi nyie wapenzi Wake mna akili kabisa au mmelogwa. I can not imagine kwamba hamuoni ugonjwa Wake.
 
Tumuombee Lisu na familia yake corona ubelgiji wanaumwa zaidi ya laki saba waliokufa hadi Leo ni zaidi ya elfu 20 muda wote anavaa barakoa Chadema mwombeeni Corona isije ondoka naye nimeota kafa na corona ubegiji
 
...uko wapi ushahidi?
Mbona mgao wa vyama vyote wa ruzuku uliwekwa wazi hata front page gazeti za Mwananchi?!?.. hukuwepo nchini?. Chadema wanapata mil.114 Kama sikosei kila mwezi na bila hao COVID hakuna kitu. Hushangai viongozi wa CHADEMA kimyaaa hawaongelei tena story za COVID 19?!?
 

Weka ushahidi wa cdm kupokea hizo hela na sio mgao wanaostahili kupata. Viongozi wa cdm wamesema hawajachukua hela yoyote.
 
Hongereni sana Covid19 kupata fursa.Dunia hii na siasa zetu waweza kuta hata taifa halina kiongozi, ukitumia kigezo cha HAKI.

Ccm hawawataki covid19 sema ndio hivyo sera za MABEBERU inawalazimu kuwe na wapinzani ndio hivyo nao UVIKO19 wakateleza kwenye povu la sabuni juu ya "tailizi".
 
Bunge limekuwa kituko hakuna anayejielewa anaelifuatilia, halina maana tena kwa watanzania.
Tanzania ya leo hakuna tena haramu ili mradi hiyo haramu ina maslahi kwako. Kundi la tembo lina kiongozi ambaye hutangulia mbele wengine watafuata.

Wako walioungana kuitukuza haramu kwa kuwa kwake wanaweza kupata watakacho. Kwa kuwa ni wengi na wana nguvu wenye kutaka halali wamezidiwa na wengine kujificha.
 
Weka ushahidi wa cdm kupokea hizo hela na sio mgao wanaostahili kupata. Viongozi wa cdm wamesema hawajachukua hela yoyote.
Ushahidi wa makaratasi anao Mnyika katibu mkuu na amesaini. Na bila COVID 19 kupitia yule mbunge mmoja CHADEMA wangepokea chini ya milioni 5 kama ruzuku kwa mwezi. Idadi ya wabunge wa chama waliopo bungeni Wana play role kwenye kiwango cha ruzuku kwa mwezi pamoja na factors nyingine.

Tafuta threads zake zipo humu. Ila ishu ya Mdee na wenzake ina Baraka za Mbowe na Mnyika Ila wafuasi mnachezewa akili tu. Ilishapangwa hadi ya kufukuzwa uanachama yote ni racket tu.

Mwisho wa siku baraza kuu halitakaa ng'o na akina Mdee wanachangia milioni 1 kila mwezi jumla 19. Mil. 114+19 = mil.135 kila mwezi. Mchaga hajawahi kuniangusha kwenye swala la pesa.
 
Tundu Lissu is a coward., namchukia sana akiendelea kuandika kuhusu Tanzania yeye akiwa uhamishoni, yeye hawezi kurudi tanzania mana atauliwa sasa hana mvuto akiandika akiwa huko nje ni kama maneno yake yanaenda na upepo
 
Mwaka ambao yy alikuwa mbunge, chadema iliyakubali matokeo ya urais?

Je uchaguzi ulikuwa huru na haki?
 
Watu wanadhan chadema hawakupeleka majina tume,

Majina yalikwenda na mnyika alisain isipokuwa majina yaliopelekwa sio waliokwenda bungeni

Ilikuwaje mpaka wamekwenda watu tofauti story yote anayomdee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…