paul sylvester
JF-Expert Member
- Mar 18, 2020
- 3,503
- 3,499
Tundu ni Nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa Lissu anatamini angekuwa bungeni mana Job alimwaga na kumnyima mapension yake .Lissu watanzania walishampuuza bora akae kimya
Mkuu huu ni mchongo ulichezwa na Mbowe na Mnyika Ila sababu watu wameshikiwa akili hawawezi kuelewa. Never trust a POLITICIAN.. Umewahi sikia Mbowe au Mnyika wanaongelea lolote baada ya kipindi kile November!?Nadhani ni hasara zaidi kugoma kupeleka wabunge kwenye Bunge la Nchi na kuacha zile nafasi wazi. Kama wale 19 sio halali, kwanini Chama hakichagui na kupeleka wengine kureplace wale ambao hawana baraka za chama?...
Weka ushahidi hapa mkuu Sio umbeya...Tundu Lissu ana matatizo ya akili
Angehoji kwanza chama chake kwa nini kinakula ruzuku itokanayo na uchaguzi haramu
...uko wapi ushahidi?Mbowe, Mnyika kimyaaaaaa..... Wanapiga zaidi ya mil. 100 kila mwezi Kama hawajui kinachoendelea vile, huku nyie mmekomaa na tweet za Lissu.
Ameandika hivi katika akaunti yake ya twitter:
Ni ufisadi na ufujaji wa fedha za umma kwa Bunge kulipa mishahara na posho kwa watu ambao dunia nzima inafahamu hawana sifa ya kuwa wabunge kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania. Ipo siku wahusika wa ufisadi huu na wale wanaouwezesha watawajibishwa. Tuendelee kukusanya ushahidi.
Tumuombee Lisu na familia yake corona ubelgiji wanaumwa zaidi ya laki saba waliokufa hadi Leo ni zaidi ya elfu 20 muda wote anavaa barakoa Chadema mwombeeni Corona isije ondoka naye nimeota kafa na corona ubegijiAmeandika hivi katika akaunti yake ya twitter:
Ni ufisadi na ufujaji wa fedha za umma kwa Bunge kulipa mishahara na posho kwa watu ambao dunia nzima inafahamu hawana sifa ya kuwa wabunge kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania. Ipo siku wahusika wa ufisadi huu na wale wanaouwezesha watawajibishwa. Tuendelee kukusanya ushahidi.
Pension ya Lissu wanamtunzia tu. Kuna Siku watakuwa kumlipa... Hata baada ya miaka 20.Hapa Lissu anatamini angekuwa bungeni mana Job alimwaga na kumnyima mapension yake .Lissu watanzania walishampuuza bora akae kimya
Mi sikuchanga.kwani wewe ulichangia kias gan kwenye kampeni.?Mwambieni awarudishie michango ya bukubuku watanzania aliowaomba kwenye kampeini
Bunge la Tanzania nalo ni la kumtoa roho mtu kama Lisu? Angekuwa hana elimu hapo sawa.Hapa Lissu anatamini angekuwa bungeni mana Job alimwaga na kumnyima mapension yake .Lissu watanzania walishampuuza bora akae kimya
Mbona mgao wa vyama vyote wa ruzuku uliwekwa wazi hata front page gazeti za Mwananchi?!?.. hukuwepo nchini?. Chadema wanapata mil.114 Kama sikosei kila mwezi na bila hao COVID hakuna kitu. Hushangai viongozi wa CHADEMA kimyaaa hawaongelei tena story za COVID 19?!?...uko wapi ushahidi?
Mbona mgao wa vyama vyote wa ruzuku uliwekwa wazi hata front page gazeti za Mwananchi?!?.. hukuwepo nchini?. Chadema wanapata mil.114 Kama sikosei na bila hao COVID hakuna kitu. Hushangai viongozi wa CHADEMA kimyaaa hawaongelei tena story za COVID 19?!?
Hongereni sana Covid19 kupata fursa.Dunia hii na siasa zetu waweza kuta hata taifa halina kiongozi, ukitumia kigezo cha HAKI.
Tanzania ya leo hakuna tena haramu ili mradi hiyo haramu ina maslahi kwako. Kundi la tembo lina kiongozi ambaye hutangulia mbele wengine watafuata.Bunge limekuwa kituko hakuna anayejielewa anaelifuatilia, halina maana tena kwa watanzania.
Ushahidi wa makaratasi anao Mnyika katibu mkuu na amesaini. Na bila COVID 19 kupitia yule mbunge mmoja CHADEMA wangepokea chini ya milioni 5 kama ruzuku kwa mwezi. Idadi ya wabunge wa chama waliopo bungeni Wana play role kwenye kiwango cha ruzuku kwa mwezi pamoja na factors nyingine.Weka ushahidi wa cdm kupokea hizo hela na sio mgao wanaostahili kupata. Viongozi wa cdm wamesema hawajachukua hela yoyote.
Tundu Lissu is a coward., namchukia sana akiendelea kuandika kuhusu Tanzania yeye akiwa uhamishoni, yeye hawezi kurudi tanzania mana atauliwa sasa hana mvuto akiandika akiwa huko nje ni kama maneno yake yanaenda na upepoAmeandika hivi katika akaunti yake ya twitter:
Ni ufisadi na ufujaji wa fedha za umma kwa Bunge kulipa mishahara na posho kwa watu ambao dunia nzima inafahamu hawana sifa ya kuwa wabunge kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania. Ipo siku wahusika wa ufisadi huu na wale wanaouwezesha watawajibishwa. Tuendelee kukusanya ushahidi.
Mwaka ambao yy alikuwa mbunge, chadema iliyakubali matokeo ya urais?Ameandika hivi katika akaunti yake ya twitter:
Ni ufisadi na ufujaji wa fedha za umma kwa Bunge kulipa mishahara na posho kwa watu ambao dunia nzima inafahamu hawana sifa ya kuwa wabunge kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania. Ipo siku wahusika wa ufisadi huu na wale wanaouwezesha watawajibishwa. Tuendelee kukusanya ushahidi.
Watu wanadhan chadema hawakupeleka majina tume,Ushahidi wa makaratasi anao Mnyika katibu mkuu na amesaini. Na bila COVID 19 kupitia yule mbunge mmoja CHADEMA wangepokea chini ya milioni 5 kama ruzuku kwa mwezi. Idadi ya wabunge wa chama waliopo bungeni Wana play role kwenye kiwango cha ruzuku kwa mwezi pamoja na factors nyingine. Tafuta threads zake zipo humu. Ila ishu ya Mdee na wenzake ina Baraka za Mbowe na Mnyika Ila wafuasi mnachezewa akili tu. Ilishapangwa hadi ya kufukuzwa uanachama yote ni racket tu. Mwisho wa siku baraza kuu halitakaa ng'o na akina Mdee wanachangia milioni 1 kila mwezi jumla 19. Mil. 114+19 = mil.135 kila mwezi. Mchaga hajawahi kuniangusha kwenye swala la pesa.