JERUSALEMU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 3,114
- 3,541
Naam wana bodi!
Leo nimetafakari sana maneno na vitendo vya Speaker wa Bunge la JMT, ndugu Job Ndugai.Hivi huyu mtu anatuona sisi watanzania hatujitambui, tunamuogopa au anatuona wajinga? Haiwezekani mtu anachezea fedha zetu kuwalipa side chicks wake!! Hivi wale wabunge 19 wako Bungeni kupitia chama gani? Anachezea kodi zetu kuwalipa vidosho?
Leo nimesoma bandiko kwenye page ya Shangazi Maria Sarungi, mtanzania mmoja anasema kuanzia leo chochote atakacho nunua hatodai risiti. Kwanza pesa ni zake, na hata akidai risiti fedha zile anakwenda kuchezea Ndugai na washirika zake akina Halima Mdee na wenzake 18. Na mimi naungana nae 100%! KUANZIA SITADAI RISITI KWA CHOCHOTE NITAKACHO NUNUA. Bora fedha yangu anufaike nayo mfanya biashara kwa kuwa anaweza kuchangia hata madawati shule jirani na kwangu.
Kuna watu wanajua kuchezea fedha za umma jamani!!! Huyu Ndugai ni hatari. Kuna yule anaye gawa fedha za umma barabarani fedha zile huwa zinakaguliwa kweli? ANZENI KUONESHA UZALENDO KWA VITENDO NDIO NA MIMI NITAANZA KULIPA KODI KWA KUDAI RISITI.