Tundu Lissu: Ni ufisadi na ufujaji wa fedha za umma kwa Bunge kuwalipa watu ambao hawana sifa za kuwa wabunge

Tundu Lissu: Ni ufisadi na ufujaji wa fedha za umma kwa Bunge kuwalipa watu ambao hawana sifa za kuwa wabunge

Naam wana bodi!

Leo nimetafakari sana maneno na vitendo vya Speaker wa Bunge la JMT, ndugu Job Ndugai.Hivi huyu mtu anatuona sisi watanzania hatujitambui, tunamuogopa au anatuona wajinga? Haiwezekani mtu anachezea fedha zetu kuwalipa side chicks wake!! Hivi wale wabunge 19 wako Bungeni kupitia chama gani? Anachezea kodi zetu kuwalipa vidosho?

Leo nimesoma bandiko kwenye page ya Shangazi Maria Sarungi, mtanzania mmoja anasema kuanzia leo chochote atakacho nunua hatodai risiti. Kwanza pesa ni zake, na hata akidai risiti fedha zile anakwenda kuchezea Ndugai na washirika zake akina Halima Mdee na wenzake 18. Na mimi naungana nae 100%! KUANZIA SITADAI RISITI KWA CHOCHOTE NITAKACHO NUNUA. Bora fedha yangu anufaike nayo mfanya biashara kwa kuwa anaweza kuchangia hata madawati shule jirani na kwangu.

Kuna watu wanajua kuchezea fedha za umma jamani!!! Huyu Ndugai ni hatari. Kuna yule anaye gawa fedha za umma barabarani fedha zile huwa zinakaguliwa kweli? ANZENI KUONESHA UZALENDO KWA VITENDO NDIO NA MIMI NITAANZA KULIPA KODI KWA KUDAI RISITI.
 
Ndugai ndio Waziri wa fedha?

Au ndio Injinia wa Finance and Building?
 
Naam wana bodi!

Leo nimetafakari sana maneno na vitendo vya Speaker wa Bunge la JMT, ndugu Job Ndugai.Hivi huyu mtu anatuona sisi watanzania hatujitambui, tunamuogopa au anatuona wajinga? Haiwezekani mtu anachezea fedha zetu kuwalipa side chicks wake!! Hivi wale wabunge 19 wako Bungeni kupitia chama gani? Anachezea kodi zetu kuwalipa vidosho?...
Bandiko linafikirisha.
 
Kuna watu wanajua kuchezea fedha za umma jamani!!! Huyu Ndugai ni hatari. Kuna yule anaye gawa fedha za umma barabarani fedha zile huwa zinakaguliwa kweli? ANZENI KUONESHA UZALENDO KWA VITENDO NDIO NA MIMI NITAANZA KULIPA KODI KWA KUDAI RISITI...
Ni nani huyo anayechezea fedha ya umma barabarani kama Father krismass??---nataka tumjue.
 
Ndugai: Walimu waongezewe masomo ya kufundisha ili kukabiliana na uhaba wa walimu.
 
Mimi tangu nilipoona fedha za umma zinatumika kujengea miradi isiyo na faida huko Chato, niliamua kuachana kabisa na kudai risiti.

Wacha anufaike mfanyabiashara. Mara nyingi ukiacha kudai hiyo risiti, unapata pumguzo kubwa. Kwa nini nijiongezee gharama, halafu hela inaenda kuchezewa na wachache?

Inapokuwa lazima sana, unaomba risiti ya malipo pungufu sana au ya vitu vichache kabisa.

Hawa akina Ndugai na mwenzake wanatufahya hatuna thamani katika Taifa letu, lazima kufanya cold resistance, na baadaye ikibidi ni resistance kamaili.
 
Bora ndugai

vipi kuhusu huyu
👇 👇 👇 👇 👇 👇

''...Wafungwa wachukue nafasi za askali magereza wanaostaafu...''
Tanzanikweli tuna viongzi
 
Baada ya kupitia huu uzi mwanzo hadi mwisho nimegundua TRA bado wanasafari ndefu kwa mawazo haya
 
Je tunapoteza kiasi gani cha hela za walipa kosi kuwalipa akina Mzee Halima kila mwezi?
 
Back
Top Bottom