Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nikiibiwa kura nitawaingiza Wananchi barabarani

Dam55

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2015
Posts
5,641
Reaction score
11,958
Hiyo ndio Kauli ya Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye Uchaguzi Mkuu mwezi October 2020.

Tundu Lissu amepitishwa na CHADEMA kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hicho. Lissu amenukuliwa akisema ataingiza Watanzania barabarani ikiwa ataibiwa kura zake.


My Take: Ni mapema sana kwa Mgombea wa Urais kutoa kauli kama hii si kiashiria kizuri. Anataka kutuaminisha kuwa hata ikitokea ameshindwa kihalali tuamini kuwa kaibiwa kura ili atimize azima yake.

Uongozi wa CHADEMA umshauri huyu mgombea kauli hizi hazifai kwa usalama wa nchi yetu.
 
Haya umetimiza wajibu wako,nenda Sasa Kigamboni ukapokee ujira wako yupo nyumbani tu kajilaza anacheza na mwanae Keegan
 
HUYU NDIO MTU SAHIHI TUNAYEMTAKA TUMECHOSHWA NA UDHALIMU TUWAONYESHE WATAWALA UCHWARA WA CCM KWAMBA HII NCHI SIO YA MAMA ZAO
 
Mleta mada wewe ndo wale watu mnasikilizaga habari kwa mihemuko, Ni Wapi ulisikia TL akitamuka maneno hayo.
Nanukuu alichokisema; "Tuchague mgombea ambae atakuwa na uwezo pamoja na Utayari wa kuwaingiza wananchi barabarani pale itakapohitajika" TL.

Je Umeona kaongelea nafsi hapo au ndo unatumia makalio kuelewa.
 
Hapo mbona bado sana ngoja muda wa campaign aanze kuongelea mambo ya kuvunja muungano, kumwita Nyerere mtu wa ovyo na hadithi yake isiyoisha ya risasi kumi 16.

Jamaa ni narcissist he rates himself so highly wenzake wanaenda kwenye campaign kwa porojo za watawafanyia nini wananchi, yeye anakwenda na agenda ambayo anaifahamu mwenyewe.

Yaani kichwani kwake keshaanza kuchagua rangi ya pazia atazoweka Ikulu; ni swala la muda kabla ya watu kukubali huyu mtu anahitaji psychological intervention ajatulia bado kutokana na mkasa uliompata na wala hana sifa za high office.
 
Ndio type ya mgombea anayetakiwa kwenda jino kwa jino na ccm sio kama wakina fisadi lowassa.


Magufuli ashinde uchaguzi ulio huru na haki otherwise akitumia ujanja ujanja mwaka huu ndio kwaheri yake. hakuna jeshi litakalo mlinda ajipange kweli.
 
Kudadeki barabarani hatutoingia, amuulize Mange
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…