MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,552
- 24,166
Acha kumuongezea maneno yako..Hiyo ndio Kauli ya Mh Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye uchaguzi mkuu mwezi October 2020. Ataingiza watanzania barabarani ikiwa ataibiwa kura zake.
View attachment 1526711
My take: Ni mapema Sana kwa mgombea urais kutoa kauli Kama hii si kiashiria kizuri. Anataka kutuaminisha kuwa hata ikitokea ameshindwa kihalali tuamini kuwa kaibiwa kura ili atimize azima yake.
Uongozi wa CHADEMA umshauri huyu mgombea kauli hizi hazifai kwa usalama wa nchi yetu.
Yeye kasema akiibiwa kura..ina maana atakuwa na uthibitisho wote kwamba ameibiwa kura zake..ataingiza watu barabarani..
CCM mmezoea sana wizi.