Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nikiibiwa kura nitawaingiza Wananchi barabarani

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nikiibiwa kura nitawaingiza Wananchi barabarani

Hiyo ndio Kauli ya Mh Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye uchaguzi mkuu mwezi October 2020. Ataingiza watanzania barabarani ikiwa ataibiwa kura zake.

View attachment 1526711

My take: Ni mapema Sana kwa mgombea urais kutoa kauli Kama hii si kiashiria kizuri. Anataka kutuaminisha kuwa hata ikitokea ameshindwa kihalali tuamini kuwa kaibiwa kura ili atimize azima yake.

Uongozi wa CHADEMA umshauri huyu mgombea kauli hizi hazifai kwa usalama wa nchi yetu.
Ametumwa na mabeberu kuleta ghasia...ngoja tusubiri movie inayokuja...
 
Ndio type ya mgombea anayeyetakiwa kwenda jino kwa jino na ccm sio kama wakina fisadi lowassa.

Magufuli ashinde uchaguzi ulio huru na haki otherwise akitumia ujanja ujanja mwaka huu ndio kwaheri yake. hakuna jeshi litakalo mlinda ajipange kweli.
Uwe mstari wa mbele humo barabarani
 
Hiyo ndio Kauli ya Mh Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye uchaguzi mkuu mwezi October 2020. Ataingiza watanzania barabarani ikiwa ataibiwa kura zake.

View attachment 1526711

My take: Ni mapema Sana kwa mgombea urais kutoa kauli Kama hii si kiashiria kizuri. Anataka kutuaminisha kuwa hata ikitokea ameshindwa kihalali tuamini kuwa kaibiwa kura ili atimize azima yake.

Uongozi wa CHADEMA umshauri huyu mgombea kauli hizi hazifai kwa usalama wa nchi yetu.
CCM ya sasa haina ubinadamu yafaa kwenda nayo namna hiyo hiyo tu
 
HUYU NDIO MTU SAHIHI TUNAYEMTAKA TUMECHOSHWA NA UDHALIMU TUWAONYESHE WATAWALA UCHWARA WA CCM KWAMBA HII NCHI SIO YA MAMA ZAO

Tungekuwa na akina Lissu 100, nchi yetu ingeshapata mabadiliko ya kweli kitambo tu. Ila tusubiri hatujui mpango wa M Mungu ni upi, maana kwa sasa nchi imejaa akina Lowasa tu. Hawa ni bendera tu hata upepo wa kumsukuma sisimizi nao unawachukua. Du, nchi hii ina balaa.

Eti Lijuakali naye naye alikuwa mwanachama na mbunge wa CHADEMA. Nashindwa kuamini! Akijitamba kuwa yeye ni maarufu Kilombero, iweje sasa na machozi yote yale bungeni kuambulia kura 5 tu katika kura za maoni ubunge CCM. Si wanakilombero ndio waliompa kura 5, na pale bungeni wanakijani walimpokea kwa makofi mengi sanaaa.
 
Kwa siasa hizo za majitaka ambazo huwa zinafanywa na chama tawala ili kuweza kuzishinda siasa hizo

Lazima Taifa Liwe na wana harakati wenye uthubutu na wenye maamuzi magumu kama Tundu Malcom Che Guevara Mao Puttin Lissu

Otherwise watanzania tutaendelea kugeuzwa mazwazwa kila siku

Mwisho wa siku tutaishia kupata aina ya viongozi kama makonda na watakuwa wana tutukana Hadharani cause wanajua kuwa watanzania ni watu waoga so hatutokuwa na chakuwafanya " lazima tupate kiongozi mwenye roho ya uthubutu kama TL ili aweze kuamsha ari ya watanzania waoga ili wawe majasiri wakudai Haki zao pindi katiba ya nchi inapo kanywagwa na kusiginwa siginwa

Mtoa mada acha umama
 
Hiyo ndio Kauli ya Mh Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye uchaguzi mkuu mwezi October 2020. Ataingiza watanzania barabarani ikiwa ataibiwa kura zake.

View attachment 1526711

My take: Ni mapema Sana kwa mgombea urais kutoa kauli Kama hii si kiashiria kizuri. Anataka kutuaminisha kuwa hata ikitokea ameshindwa kihalali tuamini kuwa kaibiwa kura ili atimize azima yake.

Uongozi wa CHADEMA umshauri huyu mgombea kauli hizi hazifai kwa usalama wa nchi yetu.
"CCM itatumia dola kushinda uchaguzi" - Ally Bashiru, KM CCM.

anachotaka kufanya Lissu, and in fact am backing him for that, ni kucheza toe-to-toe vs CCM.

ni dhahiri keshang'amua kuwa huwezi kutumia mbinu zile zile dhidi ya watu wale wale halafu utegemee matokeo tofauti.

I got your back, Tundu!
 
Watz Sio wapumbavu kiwango Cha level ya lissu watu wanaangalia maisha yao Zaid

Watu washaona matokeo ya nchi nying kuingia katika mchafuko Ni hataree Libya mpaka leo wanajuta

Siwezi fanya upumbavu huo Lisuu ataenda uhamishon yeye na watoto wake wee je????
 
Hiyo ndio Kauli ya Mh Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye uchaguzi mkuu mwezi October 2020. Ataingiza watanzania barabarani ikiwa ataibiwa kura zake.

View attachment 1526711

My take: Ni mapema Sana kwa mgombea urais kutoa kauli Kama hii si kiashiria kizuri. Anataka kutuaminisha kuwa hata ikitokea ameshindwa kihalali tuamini kuwa kaibiwa kura ili atimize azima yake.

Uongozi wa CHADEMA umshauri huyu mgombea kauli hizi hazifai kwa usalama wa nchi yetu.
Akijitahidi sana atapata 0.5% ya kura.
 
Tukiibiwa kura hata mimi sitamsubiri Tundu Lissu kuniingiza barabarani. Akija kutamka atanikuta nikichanja mbuga kumkabili mwizi!

Hahahaha bawachaaa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Hiyo ndio Kauli ya Mh Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye uchaguzi mkuu mwezi October 2020. Ataingiza watanzania barabarani ikiwa ataibiwa kura zake.

View attachment 1526711

My take: Ni mapema Sana kwa mgombea urais kutoa kauli Kama hii si kiashiria kizuri. Anataka kutuaminisha kuwa hata ikitokea ameshindwa kihalali tuamini kuwa kaibiwa kura ili atimize azima yake.

Uongozi wa CHADEMA umshauri huyu mgombea kauli hizi hazifai kwa usalama wa nchi yetu.
Kuna mambo ambayo watawala wanawapa sababu wapinzani na wananchi kuingiza nchi kwenye vurugu.

Mkapa baada ya kuondoka madarakani ndipo akapata nafasi ya kuangalia mambo katika uhalisia hadi akasema na kupendekeza kuwa na Tume huru ya uchaguzi. Wanasheria wanao msemo kuwa haki sio tu itendeke bali ionekane kuwa imetendeka. Tume huru ni sawa kabisa na refa wa soka, timu ikifungwa na wachezaji wake wakaona kabisa kuwa mwamuzi amechezesha mechi kwa haki, wachezaji humpa mkono mwamuzi na wachezaji wa tumu pinzani.

Namuomba Mungu ampe neema rais ajaye ili atuongoze kupata Tume huru ya Uchaguzi. Amina

Vv
 
Hahahaha naona huyu jamaa ameanza kupagawa sasa, akifanikiwa kuingia barabarani kitakachotokea hakuna mwananchi amabaye atakuwa tayari tena kuhamasishwa na kukubali kuingia barabarani.
 
Lissu ni kichaa na wafuasi wake ni matahira mwaka huu miguu itakatwa mingi mingi ....hatutaki kuja kulalamikiwa hapa JF kama mangese mshasikia nyie CHADOMO.
 
Anamtishia mtu ambaye moyo wake uliisha kuwa sugu !!
Yeye ajiandae tu ki ukweli atashindwa vibaya sana, na akileta fyoko atapigika kweli kweli kuanzia yeye mpaka hao wafuasi wake.
Huyu atakuwa mgombea wa kwanza wa upinzani kupokea kipigo kitakatifu.

Tuombe uzima Mwenyezi Mungu atuweke hai
 
Hapo mbona bado sana ngoja muda wa campaign aanze kuongelea mambo ya kuvunja muungano, kumwita Nyerere mtu wa ovyo na hadithi yake isiyoisha ya risasi kumi 16.

Jamaa ni narcissist he rates himself so highly wenzake wanaenda kwenye campaign kwa porojo za watawafanyia nini wananchi, yeye anakwenda na agenda ambayo anaifahamu mwenyewe.

Yaani kichwani kwake keshaanza kuchagua rangi ya pazia atazoweka Ikulu; ni swala la muda kabla ya watu kukubali huyu mtu anahitaji psychological intervention ajatulia bado kutokana na mkasa uliompata na wala hana sifa za high office.
Sasa kama jiwe yuko humo nani atashindwa? Amini hata wewe pamoja na ujinga wako unaweza kujikuta humo
 
Sidhani kama wananchi watakuwa tayari kuingia barabarani kwa faida za wanasiasa.
Kauli hizi si tu ni hatari kwa usalama wa nchi bali ni hatari hata kwa yeye mwenyewe.
Hekima ya Mwenyezi Mungu inahitajika kumuongoza Mh. Lissu katika mbio za Urais, mtu mmoja hawezi kuwaingiza watu barabarani labda kama kuna mpango waliokwisha kuuandaa muda mrefu.
So mkuu unataka akiibiwa kira aende akalale zake home?
Mkiambiwa umatanga wenu umesababishwa na elimu duni mnasema mmetukanwa.
 
Back
Top Bottom