Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nikiibiwa kura nitawaingiza Wananchi barabarani

Sidhani kama wananchi watakuwa tayari kuingia barabarani kwa faida za wanasiasa.
Kauli hizi si tu ni hatari kwa usalama wa nchi bali ni hatari hata kwa yeye mwenyewe.
Hekima ya Mwenyezi Mungu inahitajika kumuongoza Mh. Lissu katika mbio za Urais, mtu mmoja hawezi kuwaingiza watu barabarani labda kama kuna mpango waliokwisha kuuandaa muda mrefu.

..sasa akidhulumiwa na kuibiwa kura mnamshauri achukue hatua gani?
 
Sasa unataka Rais anayeshinda then kacheka cheka tu...

CCM hawawezi kukupa dola bila shinikizo hata kama utashinda kura..

Wananchi wanachotaka kwa uchaguzi huu ni Mgombea anaweza kulinda ushindi wake...

Yule Mzee kashinda lakini hata hajui namna ya kudai ushindi wake maskini ya Mungu wakampora mchana kweupe..

Wakamtisa kidogo tu...kaona maisha yake na familia ni bora zaidi kuliko watanzania...akarudisha majeshi nyuma...sasa hivi kimyaa anakula bata kwa mrija huku akiwasahau waliodeki barabara ili apite!!

Kwa sasa wananchi wanahitaji mgombea wa namna ya Lissu ..bila Lissu hata mimi ningelala tu home siku ya uchaguzi...kuchoshana!!

Pona ya CCM ni kuhakikisha Lissu hagombei urais...how.. mi sijui.
 
Hiyo ndio Kauli ya Mh Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye uchaguzi mkuu mwezi October 2020. Ataingiza watanzania barabarani ikiwa ataibiwa kura zake.

View attachment 1526711

My take: Ni mapema Sana kwa mgombea urais kutoa kauli Kama hii si kiashiria kizuri. Anataka kutuaminisha kuwa hata ikitokea ameshindwa kihalali tuamini kuwa kaibiwa kura ili atimize azima yake.

Uongozi wa CHADEMA umshauri huyu mgombea kauli hizi hazifai kwa usalama wa nchi yetu.

Amesema akiibiwa kura hayo ndio yatatokea. Huu mchezo wa kuporwa ushindi imekuwa ni kawaida, hivyo ni vyema watu wafikie mwisho wa kuporwa ushindi wao.
 
Sidhani kama wananchi watakuwa tayari kuingia barabarani kwa faida za wanasiasa.
Kauli hizi si tu ni hatari kwa usalama wa nchi bali ni hatari hata kwa yeye mwenyewe.
Hekima ya Mwenyezi Mungu inahitajika kumuongoza Mh. Lissu katika mbio za Urais, mtu mmoja hawezi kuwaingiza watu barabarani labda kama kuna mpango waliokwisha kuuandaa muda mrefu.
Kwa hiyo mumuibie kura akae tu akiwaangalia sio? Mmezoea kuiba eeh kwa kuwa hamfanywi chochote sio? Haya sawa.
 
Anamtishia mtu ambaye moyo wake uliisha kuwa sugu !!
Yeye ajiandae tu ki ukweli atashindwa vibaya sana, na akileta fyoko atapigika kweli kweli kuanzia yeye mpaka hao wafuasi wake.

Hana tatizo la kushindwa, bali ana tatizo la kuporwa kura zake. Ule ujinga wa kuporwa kura kwa uratibu wa jeshi la polisi hauvumiliki. Bora mtuue mbaki nyie wezi.
 
Hapo mbona bado sana ngoja muda wa campaign aanze kuongelea mambo ya kuvunja muungano, kumwita Nyerere mtu wa ovyo na hadithi yake isiyoisha ya risasi kumi 16.

Jamaa ni narcissist he rates himself so highly wenzake wanaenda kwenye campaign kwa porojo za watawafanyia nini wananchi, yeye anakwenda na agenda ambayo anaifahamu mwenyewe.

Yaani kichwani kwake keshaanza kuchagua rangi ya pazia atazoweka Ikulu; ni swala la muda kabla ya watu kukubali huyu mtu anahitaji psychological intervention ajatulia bado kutokana na mkasa uliompata na wala hana sifa za high office.
Kumuua mlishindwa sasa mtabaki mmetoa macho tu. Mngekuwa wastaarabu mngefanya siasa za kiistarabu sio kutumia bunduki.

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Labda ustaarabu unaotaka wewe kwenye mikutano ya CDM Polepole awe anapeleka na cake.

CDM tumeona wamefanya mkutano wao jana na muda wa kucheza sebena walipata wajumbe hawana ata wasiwasi bado tu mnataka kulaumu.

Kulalamika sasa inaanza kuwa tabia ya CDM.
 
Hiyo ndio Kauli ya Mh Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye uchaguzi mkuu mwezi October 2020. Ataingiza watanzania barabarani ikiwa ataibiwa kura zake.

View attachment 1526711

My take: Ni mapema Sana kwa mgombea urais kutoa kauli Kama hii si kiashiria kizuri. Anataka kutuaminisha kuwa hata ikitokea ameshindwa kihalali tuamini kuwa kaibiwa kura ili atimize azima yake.

Uongozi wa CHADEMA umshauri huyu mgombea kauli hizi hazifai kwa usalama wa nchi yetu.
Umeamua tu kumwelewa vibaya, yeye amesema akiibiwa kura...kwa hivyo tusubiri tuone kama ataibiwa au vipi, ila akiibiwa basi tukutane barabari na tulete umoja wa mataifa ufanye mambo, mwaka huu mtanange utakuwepo wasiopenda demokrasia watahangaika sana.
 
Sijui kama atakuwepo kwenye karatasi za kupigia kura.
 
Hiyo ndio Kauli ya Mh Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye uchaguzi mkuu mwezi October 2020. Ataingiza watanzania barabarani ikiwa ataibiwa kura zake.

View attachment 1526711

My take: Ni mapema Sana kwa mgombea urais kutoa kauli Kama hii si kiashiria kizuri. Anataka kutuaminisha kuwa hata ikitokea ameshindwa kihalali tuamini kuwa kaibiwa kura ili atimize azima yake.

Uongozi wa CHADEMA umshauri huyu mgombea kauli hizi hazifai kwa usalama wa nchi yetu.
Nani alikudanganya kwamba nchi hii iliwahi kuwa salama ?
 
Kama walivyotaka kuchukua uhai wake watu hawakuingia barabarani unadhani waitingia kisa kura? Watanzania ni wazuri sana kupiga kelele mpo pamoja hadi pale utapowahitaji muwe pamoja.
 
Sasa unataka Rais anayeshinda then kacheka cheka tu...

CCM hawawezi kukupa dola bila shinikizo hata kama utashinda kura..

Wananchi wanachotaka kwa uchaguzi huu ni Mgombea anaweza kulinda ushindi wake...

Yule Mzee kashinda lakini hata hajui namna ya kudai ushindi wake maskini ya Mungu wakampora mchana kweupe..

Wakamtisa kidogo tu...kaona maisha yake na familia ni bora zaidi kuliko watanzania...akarudisha majeshi nyuma...sasa hivi kimyaa anakula bata kwa mrija huku akiwasahau waliodeki barabara ili apite!!

Kwa sasa wananchi wanahitaji mgombea wa namna ya Lissu ..bila Lissu hata mimi ningelala tu home siku ya uchaguzi...kuchoshana!!

Pona ya CCM ni kuhakikisha Lissu hagombei urais...how.. mi sijui.
Lowasa alishinda 2015 lakini wakafanya kubadilishana Tumeccm ikachukua kura za lowasa ikamtangazia Magufuli na zile kura za magufuli alitangaziwa Lowasa
 
Back
Top Bottom