Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acheni kumlisha maneno
Alisema hivi na Nukuu
"Mimi sio yule wa kusema namwachia Mungu"
Kwa ninavyomjua Magufuli... Dunia itamlaumu tu! Atawabutua wote.. barabara zitajaa mavi yalimwagika.Hiyo ndio Kauli ya Mh Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye uchaguzi mkuu mwezi October 2020. Ataingiza watanzania barabarani ikiwa ataibiwa kura zake.
View attachment 1526711
My take: Ni mapema Sana kwa mgombea urais kutoa kauli Kama hii si kiashiria kizuri. Anataka kutuaminisha kuwa hata ikitokea ameshindwa kihalali tuamini kuwa kaibiwa kura ili atimize azima yake.
Uongozi wa CHADEMA umshauri huyu mgombea kauli hizi hazifai kwa usalama wa nchi yetu.
Haka ka jamaa kanajiona kanakubalika Sana'a kumbe hamana kitu kabisaHiyo ndio Kauli ya Mh Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye uchaguzi mkuu mwezi October 2020. Ataingiza watanzania barabarani ikiwa ataibiwa kura zake.
View attachment 1526711
My take: Ni mapema Sana kwa mgombea urais kutoa kauli Kama hii si kiashiria kizuri. Anataka kutuaminisha kuwa hata ikitokea ameshindwa kihalali tuamini kuwa kaibiwa kura ili atimize azima yake.
Uongozi wa CHADEMA umshauri huyu mgombea kauli hizi hazifai kwa usalama wa nchi yetu.
si bora handaki !Hapo ulipo upo kwenye handaki au?
Huo siyo ushahidi au hujui maana ya ushahidi ? Sasa muache kuandika mambo ambayo hamna ushahidi nayo, kwani mtazidhuru nafsi zenu na za wenzenu...muitikio / reaction ya wana-ccm ni kana kwamba mnahusika kupanga mipango ya kuiba kura zake.
..kama huna mpango wa kuiba kura za wapinzani usitie shaka, kauli hiyo haikuhusu.
Naona mnamzamisha kabisa...!Huyu ndio anafaa kulingana na nyakati tulizonazo leo hii.
Mimi nitaungana naye humuhumu JF.Hiyo ndio Kauli ya Mh Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye uchaguzi mkuu mwezi October 2020. Ataingiza watanzania barabarani ikiwa ataibiwa kura zake.
View attachment 1526711
My take: Ni mapema Sana kwa mgombea urais kutoa kauli Kama hii si kiashiria kizuri. Anataka kutuaminisha kuwa hata ikitokea ameshindwa kihalali tuamini kuwa kaibiwa kura ili atimize azima yake.
Uongozi wa CHADEMA umshauri huyu mgombea kauli hizi hazifai kwa usalama wa nchi yetu.
Huo siyo ushahidi au hujui maana ya ushahidi ? Sasa muache kuandika mambo ambayo hamna ushahidi nayo, kwani mtazidhuru nafsi zenu na za wenzenu.
Pili, mimi sina chama wala sijawahi kuwa na chama na sitakuja kuwa nachama na sitakuja kupiga kura sababu hii mifumo kwangu mimi ni ya kishetani, ila ukweli huwa na utanguliza mbele kuliko hisia na dhana.
Tatu, hizi siasa zimewafanya kuwa vipofu wa moyo mpaka akili, yaani mnaenda enda tu kichwa mchunga, mfano ni huu, unaombwa ushahidi halafu unasema umeona tu muitikio, hizi ni dhana na huu siyo ushahidi, inabidi mkue sasa.
Hapo nimesema alicho kisema kwenye hiyo tweet hapo.Huyu jamaa ni MZUSHI mwingine.
Shida ipo kwa kuweka dhana ambayo hana uhakika nayo, hii inaleta yaswira mbaya na chuki kwa wengine...TL amesema ikiwa ataibiwa kura, ata ...
..sasa shida iko wapi hapo?
..tatizo lenu ccm mnataka kuwapangia vyama mbadala nini cha kuongea ktk majukwaa yao.
Unafikiri Lissu ana ubavu wa kufanya nini endapo ataibiwa kura kama ametiwa ulemavu tu nusu kupoteza maisha ila hajafanya lolote zaidi ya kutaka kutumia tukio hilo kuombea kura kwenye kampeni?HUYU NDIE TULIKUWA TUKIMSUBIRI, LOWASA ALITULOSTISHA MNO, ALIKUWA UJI, TULIJUA WAMASAI WANAUA SIMBA HIVYO JEURI NA HAWAKUBALI KUSHINDWA ILA YEYE ALIKUWA MATOBHOLO KABISA
Hapo nimesema alicho kisema kwenye hiyo tweet hapo.
Na nikatoa maoni yangu hapo chini sasa Kama wewe hutaki kuelewa au kutofautisha maoni yangu mimi na kauli yake mwenyewe hilo ni tatizo lako sio langu.
RIP baadhi ya wananchi watakao ingizwa barabarani kama kondoo.Hiyo ndio Kauli ya Mh Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye uchaguzi mkuu mwezi October 2020. Ataingiza watanzania barabarani ikiwa ataibiwa kura zake.
View attachment 1526711
My take: Ni mapema Sana kwa mgombea urais kutoa kauli Kama hii si kiashiria kizuri. Anataka kutuaminisha kuwa hata ikitokea ameshindwa kihalali tuamini kuwa kaibiwa kura ili atimize azima yake.
Uongozi wa CHADEMA umshauri huyu mgombea kauli hizi hazifai kwa usalama wa nchi yetu.
Shida ipo kwa kuweka dhana ambayo hana uhakika nayo, hii inaleta yaswira mbaya na chuki kwa wengine.
Kwanini adhanie na ili iweje ?
Ngoja nikuulize swali, hivi unamjuaje kama huyu ni CCM na yule CHADEMA, mbona unakuwa sifuri kisirani namna hiyo ? Sasa jikite kwenye hoja na si kumbandika mtu majina ambayo ukiambiwa huwezi kuthibitisha kauli yako.
Vijana mmekuwa walevi wa siasa mpaka mnahisi kila anaye kuwa shidi yako na yeye ni mwanachama wa chama fulani.