Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nikiibiwa kura nitawaingiza Wananchi barabarani

Ndio nini hiki?
Kulikuwa na Live streaming ya mkutano wa Chadema Mlimani city na mida hii ndo Lissu alikuwa ameanza kuongea.

Alianzana kuchambua sheria ya uchaguzi akasema hakuna kipengele kubachomgusa kwenye kuwekewa pingamizi.

Mara akaamia kwa Magufuli akasema yeye ndo ana uwezo wa kuwekea pingamizi maana sheria ya uchaguzi inakata za mtu aliyepitishwa kugombea kutoa hela/ Rushwa na Juzi Magufuli wakati anatoka kumzika mzee Mkapa, alipofika Kibiti aligawa hela.

Hapo ndo Live-streaming ya kikao cha Chadema ilipokatwa kwenye media zote huku lissu akiendelea kuzungumza
 
Hadi kufika Oktoba wote hao CHADEMA watakuwa washaondoka kwa corona
 
Kwenye nchi yeyote kondoo kama wewe huwa wanachinjwa na kuliwa nyama
Mje muandamane sis wengne tutakaa na familia zetu tu ndani hatupend ujinga yaan niumize familia yangu kwa ajil ya maslah ya mtu binafs yeye na ukoo wake kwangu haipo hyo na s mjinga wa level hzo.

Wacha gurudumu lizunguke wakat ukifika uliopangwa na Mungu wataingia madarakan bila watu kuandamana na kufanya vurugu

Wakijenge chama kwanza level za urais si level ndogo
 
Alichokisema kinaeleweka unamuongezea maneno ya nini?... hajasema AKISHINDWA !.. Bali akiibiwaa,,,so Una taka ccm waendelee kuiba?...
 
Mambo yanazidi kuwa mazito kwa CCM Mpya, full kuchanganyikiwa hawaamini kuwa kuna waTanzania wasiokubaliana na masuala mengi yaliyofanyika chini ya utawala wa CCM Mpya toka mwaka 2015
 
Anamtishia mtu ambaye moyo wake uliisha kuwa sugu !!
Yeye ajiandae tu ki ukweli atashindwa vibaya sana, na akileta fyoko atapigika kweli kweli kuanzia yeye mpaka hao wafuasi wake.
Na atapigika kweli. Watanzania wenzangu nawaomba msijaribu kuingia barabarani kitakachowakuta hamtasahau maisha yenu. Najua JF ni wabishi ila subirini tu
 
Anamtishia mtu ambaye moyo wake uliisha kuwa sugu !!
Yeye ajiandae tu ki ukweli atashindwa vibaya sana, na akileta fyoko atapigika kweli kweli kuanzia yeye mpaka hao wafuasi wake.
SASA basi
 
AGIZA SODA KWA MANGI NAKUJA KULIPA
 
...
Soma vizuri historia na uchambue mambo kwa hekima utafahamu kwamba Lissu is not a threat entirely but an agent of chaos or in other words A man who opens Pandora's box.

Kilichotokea Zambia kumwondoa Kaunda, kinachotokea Zimbambwe na Malawi, ni kielelezo cha aina ya viongozi wa kisiasa kwenye nchi zinazoendelea.

Awe msomi au tajiri, siasa humvuta ili apate "political power". Nyuma ya pazia kuna wajomba wanaompa nguvu (mfano ni huyo uliyemtaja) ya kuingia madarakani kwa gharama yoyote.

Katika miaka 5 ya utawala unaomaliza muda wake tunashuhudia mabadiliko makubwa ya kuendesha siasa. Si siasa za "danganya toto" majukwaani, kwa ahadi lukuki, bali siasa za kutimiza ahadi kwa wapiga kura.

Wananchi Oktoba 2020 wataamua, ama kurudi kwenye aina ya siasa ulizochambua, au kwenda na mabadiliko ya sasa

Katika msingi huo, uaonaje kurejea uchambuzi wako?
 
Una point kubwa sana ila umeifumba kiasi kwamba NI wachache sana watakuelewa
 
Walikuwa kive kwenye media ipi na ipi?
 
Ukoo wake kwanza afu singida wote wafuate ndio tufuate watanzania wengine
Safi sanaa tundu lisu hakuna kuogopa risas tena mstar wa mbele kabisa ipange familia yako na ndugu zako alafu sis wananch tukae nyuma nyuma
 
Huyu ndio anafaa kulingana na nyakati tulizonazo leo hii.
Hata kidogo, huyu atakuwa the worst of Dictators. Although I trully admire his courage, but he is typical s tyrant type.

Tukiangalia Chadema, mimi mawazo yangu watu ambao could make a great presidential material are:
MBOWE, MNYIKA, NYALANDU, ESTHER.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…