Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Hivi hiyo bendi ni ya nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nguo gani suruali au shati?
Kulikuwa na Live streaming ya mkutano wa Chadema Mlimani city na mida hii ndo Lissu alikuwa ameanza kuongea.Ndio nini hiki?
Mje muandamane sis wengne tutakaa na familia zetu tu ndani hatupend ujinga yaan niumize familia yangu kwa ajil ya maslah ya mtu binafs yeye na ukoo wake kwangu haipo hyo na s mjinga wa level hzo.Kwenye nchi yeyote kondoo kama wewe huwa wanachinjwa na kuliwa nyama
Alichokisema kinaeleweka unamuongezea maneno ya nini?... hajasema AKISHINDWA !.. Bali akiibiwaa,,,so Una taka ccm waendelee kuiba?...Hiyo ndio Kauli ya Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye Uchaguzi Mkuu mwezi October 2020.
Tundu Lissu amepitishwa na CHADEMA kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hicho. Lissu amenukuliwa akisema ataingiza Watanzania barabarani ikiwa ataibiwa kura zake.
My Take: Ni mapema sana kwa Mgombea wa Urais kutoa kauli kama hii si kiashiria kizuri. Anataka kutuaminisha kuwa hata ikitokea ameshindwa kihalali tuamini kuwa kaibiwa kura ili atimize azima yake.
Uongozi wa CHADEMA umshauri huyu mgombea kauli hizi hazifai kwa usalama wa nchi yetu.
Na atapigika kweli. Watanzania wenzangu nawaomba msijaribu kuingia barabarani kitakachowakuta hamtasahau maisha yenu. Najua JF ni wabishi ila subirini tuAnamtishia mtu ambaye moyo wake uliisha kuwa sugu !!
Yeye ajiandae tu ki ukweli atashindwa vibaya sana, na akileta fyoko atapigika kweli kweli kuanzia yeye mpaka hao wafuasi wake.
SASA basiAnamtishia mtu ambaye moyo wake uliisha kuwa sugu !!
Yeye ajiandae tu ki ukweli atashindwa vibaya sana, na akileta fyoko atapigika kweli kweli kuanzia yeye mpaka hao wafuasi wake.
AGIZA SODA KWA MANGI NAKUJA KULIPAHapo mbona bado sana ngoja muda wa campaign aanze kuongelea mambo ya kuvunja muungano, kumwita Nyerere mtu wa ovyo na hadithi yake isiyoisha ya risasi kumi 16.
Jamaa ni narcissist he rates himself so highly wenzake wanaenda kwenye campaign kwa porojo za watawafanyia nini wananchi, yeye anakwenda na agenda ambayo anaifahamu mwenyewe.
Yaani kichwani kwake keshaanza kuchagua rangi ya pazia atazoweka Ikulu; ni swala la muda kabla ya watu kukubali huyu mtu anahitaji psychological intervention ajatulia bado kutokana na mkasa uliompata na wala hana sifa za high office.
...
Soma vizuri historia na uchambue mambo kwa hekima utafahamu kwamba Lissu is not a threat entirely but an agent of chaos or in other words A man who opens Pandora's box.
Kudadeki barabarani hatutoingia, amuulize Mange
Una point kubwa sana ila umeifumba kiasi kwamba NI wachache sana watakuelewaSisi ambao tumefuatilia siasa za Tanzania tokea awamu ya kwanza tumewahi shuhudia watanzania wakiasi nchi na kutaka hadi kumuua Baba wa Taifa zaidi ya mara moja. Kaa ukikumbuka kwamba huyu Baba wa Taifa ndiye Raisi ambaye aliwahi kupendwa kuliko maraisi wote Tanzania na alilindwa sana na vyombo vya usalama. Lakini miaka yake ya mwisho ilikuwa imejaa vimbwanga vingi kutoka kwa watanzania hadi ikampelekea ang'atuke kwa amani.
Sasa sembuse utawala wa awamu ya tano kweli ??? Hivi nyie wandungu mmepeleka akili zenu likizo hadi kuzisahau siasa za Tanzania kipindi cha funga mkanda. Nadhani wewe ni shabiki na una utoto mwingi sana, lakini kama ungekuwa ni mtu mzima nadhani ungefahamu kwamba Tanzania inapita katika kipindi kigumu kuliko wakati wowote ule. Kama hatutakuwa makini basi tutakuja kuikumbuka hii miaka kwa masikitiko sana huko mbeleni.
Kitu gani kwenye uchambuzi wangu unataka kukielewa kwa zaidi ???Katika msingi huo, uaonaje kurejea uchambuzi wako?
[emoji848]Hadi kufika Oktoba wote hao CHADEMA watakuwa washaondoka kwa corona
Walikuwa kive kwenye media ipi na ipi?Kulikuwa na Live streaming ya mkutano wa Chadema Mlimani city na mida hii ndo Lissu alikuwa ameanza kuongea.
Alianzana kuchambua sheria ya uchaguzi akasema hakuna kipengele kubachomgusa kwenye kuwekewa pingamizi.
Mara akaamia kwa Magufuli akasema yeye ndo ana uwezo wa kuwekea pingamizi maana sheria ya uchaguzi inakata za mtu aliyepitishwa kugombea kutoa hela/ Rushwa na Juzi Magufuli wakati anatoka kumzika mzee Mkapa, alipofika Kibiti aligawa hela.
Hapo ndo Live-streaming ya kikao cha Chadema ilipokatwa kwenye media zote huku lissu akiendelea kuzungumza
Safi sanaa tundu lisu hakuna kuogopa risas tena mstar wa mbele kabisa ipange familia yako na ndugu zako alafu sis wananch tukae nyuma nyuma
Hata kidogo, huyu atakuwa the worst of Dictators. Although I trully admire his courage, but he is typical s tyrant type.Huyu ndio anafaa kulingana na nyakati tulizonazo leo hii.