Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nikiibiwa kura nitawaingiza Wananchi barabarani

Tatizo ni matendo ya kinyama na kidikteta yanayofanywa na mtu mmoja mfupi kutoka chattle tena mbele ya macamera na mamic plus mayoutube
Time will come when people will need Magufuli but he would not be there
Scripture says "A prophet is never known or appreciated in his own village"..
The president who did marvelous actions and took strict steps is now being criticized by his own citizens....

One day people will remember him when his gone already[emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]
 
Hahahaha naona huyu jamaa ameanza kupagawa sasa, akifanikiwa kuingia barabarani kitakachotokea hakuna mwananchi amabaye atakuwa tayari tena kuhamasishwa na kukubali kuingia barabarani.

JIBU NI MOJA TU...

Haki itendeke na ionekane inatendeka kwa kila mtu...

Mambo yaliyofanyika mwaka 2015 na ujinga wa kule Zanzibar, hayakubaliki...

Ikitokea hivi tatizo na chanzo cha vurugu wala hakitakuwa TUNDU LISSU au MAALIM SEIF SHARIFF HAMAD...

Chanzo na tatizo litakuwa wale waliopora haki za watu....!!
 
Inawezekana we nawe unajiita mwanaume, Nyerere, Mandela, Nkruma, Macheli wangewaza wake na familia zao unadhan Africa ingekuwa huru??
 

You are absolutely an agent insanity...!

What marvellous actions are taken by Magufuli?

Stealing our money 2.5 trns? Killing and abducting his own citizens? Being named and compared with " Jesus?"

Stop this insanity....!!
 
Kwa vile hayana mantiki
Watanzania wamekosa maarifa
Hata maandiko yanasema watu wanaangamia kwa kukosa maarifa...

Nchi haihitaji mtu anayejua kuhusu sheria au aliyesoma sheria inahitaji MTU anayeongoza nchi na kusimamia sheria na haki..
Uongozi ni akili na kufikiri kwa kina hata kina Nyerere kwani walisoma sheria...

Think twice guys
 
Mpelekee jogoo na wewe akiwa bado hai
 
Ikiwa ataingiza watu barabarani na magari nayo atayapeleka wapi???
 
Kwenye barabara ya nani. Tutakuona unavoingiza hao watu.
 
You are absolutely an agent insanity...!

What marvellous actions are taken by Magufuli?

Stealing our money 2.5 trns? Killing and abducting his own citizens? Being named and compared with " Jesus?"

Stop this insanity....!!
No I'm not comparing him to Jesus but on top of all that he should be appreciated for all the good things he has done....

No one is perfect not even a leader I'm quite sure even other leaders who led the country before had weaknesses
We shouldn't judge the book by its cover
 
Tuko tayari kamanda...... Tunachotaka ni haki kutendeka
 
Kauli hatari kwa usalama wa nchi au kwa viongozi walio madarakani?
Busara ya fisiemu inakuaga juu sana wkt kama huu hasa wakiona upepo unaelekea kuwakataa,sijui mtapiga tena push up safari hii.Nakumbusha tu miongoni mwa ahadi hewa mlizotupa 2015 ni laptop kwa kila mwalimu nchi nzima,milioni hamsini kila kijiji bado tunasubiri wiki zilizobaki nafikiri zitatosha kutekeleza ahadi zenu.
 
Anamtishia mtu ambaye moyo wake uliisha kuwa sugu !!
Yeye ajiandae tu ki ukweli atashindwa vibaya sana, na akileta fyoko atapigika kweli kweli kuanzia yeye mpaka hao wafuasi wake.
Na wakati wa kupigwa apigwe huo upande mwingine ili akae sawa.
 
Acheni kuiba kura sibasi manen ya nini ?mlifikiri mtapigiwa kura na flyover,madaraja ,stieger sgorge, standard gauge ,mtakoma mwaka huu.
 
Jinga sana wewe....

Unadhani ni sisimizi watakuwa barabarani eti uwapige tu?

Kama mnadhani nchi hii ni ya mama na baba zenu tutawaona.....

Mtapigwa upofu mpaka mtaombapoo...
Watanzania ni wana wa Israeli,na Magufuli ndo Mussa wetu.
Nyinyi ni kizazi cha farao wanyanyembe Mungu atawaangamiza hamtoamini.
 
Safi sanaa tundu lisu hakuna kuogopa risas tena mstar wa mbele kabisa ipange familia yako na ndugu zako alafu sis wananch tukae nyuma nyuma
Utaenda .....?

Walking from high tamrc road
 
Kweli wewe CHADEMA, sasa "..." maana yake nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…