Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nikiibiwa kura nitawaingiza Wananchi barabarani

Hivi unajua kuwa mitandao ya Kijamii k.m.JF, Insta, WhatsApp, facebook,etc vimefungiwa na hii Serikali ya Kidikteta kwa kisingizio Cha kuzuia maandamano ya Lissu?
We vipi!? Hata kama vimefungiwa SO WHAT!? Kwani hamna njia nyingine za kutumia kuhamasishana ili MUANDAMANE!? Mzalendo 2015 we vipi?! Basi tuandamane humu JF! Be creative, msitafute vijisababu baada ya kupata Total Technical Knock OUT. Nimeona mbaya wenu mwingine akisema "UPINZANI ULIZALIWA 1992 NA UMEFARIKI 2020! Na mimi naongeza VIP UPINZANI.
 
Sasa kama mmeibiwa andamaneni basi. Tuondoleeni kelele humu
 
Tayari keshakimbilia ''kwao'' hapo ndio tujue hawa watu walivyo vibaraka,wanaanzisha fujo halafu hao wanakimbilia kwa wakoloni wao,ni aibu sana hii sasa nani wanamwachia shida au matatizo, wao wanataka tuingie barabarani na wao wanapanda ndege kwenda kwa mabwana zao. Tulishasema hatudanganyiki endeleeni kutumikia mabeberu sisi tutatumikia wananchi wa Tanzania
 
Nilimwambieni humu JF kuwa hiyo "nyomi" ni ya watu waliokuwa wakienda kumshangaa Lissu! Hao hawakuwa wapiga kura licha ya walioandikishwa kwenye NPVR ya NEC! Walikuwa ni washangaaji tu. Sasa nadhani tumeelewana!
We kiazi sana

Wabongo hawataki kupigwa marisasi.

Iambie serikali iruhusu maandamano ya amani. Utashangaa hio nyomi.

Usiwe na akili finyu
 
We kiazi sana

Wabongo hawataki kupigwa marisasi.

Iambie serikali iruhusu maandamano ya amani. Utashangaa hio nyomi.

Usiwe na akili finyu
Lete HOJA Saint Ivuga! Wacha blaaah blaaah bure. Maandamano ya Amani yalifanyika 28/10/2020 na kila mwenye akili aliiona kazi ya sanduku la kura, siyo matusi, vihoja na vioja.
 
Nilijua tu watz hawaendi barabarani sio kwamba ni waoga bali nikwamba watawala wetu hawatoi sapoti au kwenda front line wao wanaenda hotelini kusubiri kupewa taarifa eti wangapi wamekufa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…