Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,197 Reaction score 128,160 Jan 4, 2021 #641 Jozi 1 said: Wqkati wewe umejificha nyumq ya keyboard. Hivi uliandamana? Click to expand... niandamane au nisiandamane wewe mataga inakuhusu nini?
Jozi 1 said: Wqkati wewe umejificha nyumq ya keyboard. Hivi uliandamana? Click to expand... niandamane au nisiandamane wewe mataga inakuhusu nini?
K King Kisali JF-Expert Member Joined Nov 20, 2019 Posts 1,041 Reaction score 1,349 Jan 4, 2021 #642 Tena vizuri watu wa upinzani hatujaandana maana tumepata uthibitisho tosha kuwa CCM wako tayari kuua ili wabaki madarakani milele , lakini wapinzani hawako tayari kuua ili wapate madaraka , these difference must be noticed .
Tena vizuri watu wa upinzani hatujaandana maana tumepata uthibitisho tosha kuwa CCM wako tayari kuua ili wabaki madarakani milele , lakini wapinzani hawako tayari kuua ili wapate madaraka , these difference must be noticed .