palahingwe
Member
- Apr 1, 2020
- 16
- 10
hv kuna viongozi wenye kauli mbaya kama ccmnopq' mkuu..Hiyo ndio Kauli ya Mh Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye uchaguzi mkuu mwezi October 2020. Ataingiza watanzania barabarani ikiwa ataibiwa kura zake.
View attachment 1526711
My take: Ni mapema Sana kwa mgombea urais kutoa kauli Kama hii si kiashiria kizuri. Anataka kutuaminisha kuwa hata ikitokea ameshindwa kihalali tuamini kuwa kaibiwa kura ili atimize azima yake.
Uongozi wa CHADEMA umshauri huyu mgombea kauli hizi hazifai kwa usalama wa nchi yetu.
Hilo jambo halipo leo wala halipo kesho wala keshokutwa.Unafikiri Lissu ana ubavu wa kufanya nini endapo ataibiwa kura kama ametiwa ulemavu tu nusu kupoteza maisha ila hajafanya lolote zaidi ya kutaka kutumia tukio hilo kuombea kura kwenye kampeni?
Uvumilivu huo mnao ,nyie ndio mlikua mnasema mnataka Rais mkali,dikteta ,tumepata mkali mpo mnahema Sasa,Yes tunahitaji Lissu wengine kama 50 hivi.
Huyu sio presidential material,he is a poor activist.Walio-mchagua are myopic.Hiyo ndio Kauli ya Mh Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye uchaguzi mkuu mwezi October 2020. Ataingiza watanzania barabarani ikiwa ataibiwa kura zake.
View attachment 1526711
My take: Ni mapema Sana kwa mgombea urais kutoa kauli Kama hii si kiashiria kizuri. Anataka kutuaminisha kuwa hata ikitokea ameshindwa kihalali tuamini kuwa kaibiwa kura ili atimize azima yake.
Uongozi wa CHADEMA umshauri huyu mgombea kauli hizi hazifai kwa usalama wa nchi yetu.
Hata Kama tukiweka tume ya namna gani na uchaguzi ukiwa huru kiasi gani akishindwa bado hato kubali kuwa kashindwa kwasababu tayari kesha weka dhana mbaya kuwa ataibiwa kura.Dawa ya kumzuia Lisu asiingize watu barabarani ni rahisi sana, UCHAGUZI HURU NA HAKI! Watu waachwe wafanye maamuzi ndani ya box la kura, basi!
Athubutu aone!! Kama hataki kwenda ulaya kwa amani na mazuri basi ataenda kwa kukabidhiwa ICC uholanziKwa ninavyomjua Magufuli... Dunia itamlaumu tu! Atawabutua wote.. barabara zitajaa mavi yalimwagika.
Natamani nishuhudie hii mbinde.
Hata mwendawazimu hawezi kuamini maneneno yako yaani hata nafisi yako inatambua fika CCM itabaki pale ilipo .Chadema haishindwi uchaguzi wa mwaka huu ndugu. Amini maneno yangu. CCM imechokwa, inatosha kwa jinsi walivyowafanya watanzania mafukara. Inatosha kwa walivyoiharibu Tanzania
Anayesema kajisaidieni kwa DC, atampatia mama yake mzazi mwanaume ndo presidential Material???Huyu sio presidential material,he is a poor activist.Walio-mchagua are myopic.
Sawa boss ....Yaani kwa akili yako hii nchi iongozwe na hao wapuuzi, subirini mtakavyotembezewa kipigo na huyo Lissu wenu.Tukutane October 2020
Basi acheni kulalamika kwenye huu uzi juu ya watu kuingia barabarani mkiiba kura. Kama mnajua mtashinda kihalali kwa nini mnalalamika humu?Hata mwendawazimu hawezi kuamini maneneno yako yaani hata nafisi yako inatambua fika CCM itabaki pale ilipo .
Labda kitakachoongezeka ni kuhakikisha tunapunguza mifugo kule mjengoni na kwenye Halmashauri.
Hiyo ndio Kauli ya Mh Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye uchaguzi mkuu mwezi October 2020. Ataingiza watanzania barabarani ikiwa ataibiwa kura zake.
View attachment 1526711
My take: Ni mapema Sana kwa mgombea urais kutoa kauli Kama hii si kiashiria kizuri. Anataka kutuaminisha kuwa hata ikitokea ameshindwa kihalali tuamini kuwa kaibiwa kura ili atimize azima yake.
Uongozi wa CHADEMA umshauri huyu mgombea kauli hizi hazifai kwa usalama wa nchi yetu.
Lissu yuko kwa interest ya mabeberu,kwa hiyo Tanzania cannot afford to have him as a president,ataiuza nchi.Miaka almost miwili aliyokaa Ulaya,nani kamlipia matibabu na makazi?Kakopa mabeberuUvumilivu huo mnao ,nyie ndio mlikua mnasema mnataka Rais mkali,dikteta ,tumepata mkali mpo mnahema Sasa,
Hapo ndio kwenye tatizo sasa mkuu.Jamani huyu jamaa anatakiwa atembee na tool box saa yoyote anaweza kutamka chochote bila kutarajia sababu nut zake ziko loose alafu anaamini yeye ameshashinda uchaguzi na pia anawaimanisha chadema hivyo hivyo. Sasa pale atakapoambiwa ameshindwa hicho kishindo chake sijui itakuwaje
Interest za mabeberu ni zipi??? Au umekaririshwa tu mambo ya kusema humu hapo Lumumba??Lissu yuko kwa interest ya mabeberu,kwa hiyo Tanzania cannot afford to have him as a president.Ataiuza nchi huyu.Miaka almost miwili aliyokaa Ulaya,nani kamlipia?Kakopa mabeberu huyu,atataka kurejesha hela za watu,hafai.Tanzania inataka mtu ambaye atailinda nchi.
Poleni sanaHuyu ndio anafaa kulingana na nyakati tulizonazo leo hii.
Hana jeuri hiyo, hayo ni maneno ya mzamaji, hata akiona nyoka atamshika akidhani atapona. Hana uwezo wala jeuri hiyo hata hao wafadhili wake wanajua hilo. Come General Election's Day na matokeo kutangazwa tuone jeuri yake.Hiyo ndio Kauli ya Mh Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye uchaguzi mkuu mwezi October 2020. Ataingiza watanzania barabarani ikiwa ataibiwa kura zake.