Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Niko tayari kugombea Urais mwaka 2020 nikipewa ridhaa na Upinzani

Mapenzi yakizidi na ujuha unaongezeka lkn pia kiwango cha ujinga kinakua juu, Lissu na uchumi wapi na wapi, tatizo la ufipa moja tu, Muhemko na hii itawafanya muwe wajinga maisha yenu yote

Kwani wewe unaelewa hata maana ya uchumi kweli?

Hebu jaribu kulinganisha uelewa wa mambo ya uchumi kati ya Tundu Lissu na John Pombe Magufuli, Rais wako wa CCM.....

Umepata jibu gani? who's better than the other?
 
Rubbish!
 
Lowasa bado yupo tu
Lowasa ana nyota kali lakin hana maeno ya ushawishi anaomba kura kama bado yupo ccm
 
Tena endelea kulala kabisa. Vp EU wamejibu tamko lenu la Zanzibar?

Unataka kuanzisha ligi ya malumbano ya "kitchen party" siyo?

Rudi kwenye mjadala. Thibitisha kuwa mimi ndiye ninayeota na siyo wewe!!
 
Acheni ramli gombeshi na chongeshi. Wanaochagua Raisi ni wapiga kura, nyinyi hamna mamlaka ya kuwaamulia nani anafaa au hafai. Hayo ni maoni yenu na pengine mmeyatoa mkiwa hamna fact za kutosha.
 
Namshaaga sana lisu anamuogopa mbowe kuliko raisi wa jamhuri, bila shaka mbowe ni mtu hatari sana. Sasa kama anamuogopa na kumyenyekea mbowe kiasi hiko, ataweza uraisi kweli, jibu ni no, aanzie kwanza umwenyekiti chadema then akitoboa ndo tuone
 
Mtu mzima maanake Nini?,akili za nyumbu ziko matakoni kweli,hapa hatuangalii mtu mzima au mtoto ,Tundu Lissu atakuwa rais wa familia yako siyo sisi ,wewe Kama bingwa was kukariri mkariri huyohuyo Tundu Lissu wako na nyumbu wenzio
Wewe umemkariri nani? Maana ndio akili zako zilipotuamia hapo.
 
Unadhani akigombea nani upinzani utashinda?
 
naona upinzani unaweza kuchukua Nchi kama watafanya mambo kadhaa.
haya nitayasema siku nikionana na Mbowe.
lakini ki uhalisia kwa hali ya sasa Upinzani kuchukua Nchi ni bado Sanaa na mapema mnoo..
Binafsi sipendi lakini na UHAKIKA 2020-2025 Ni Magufuli tena
swala la Nani atagombea upinzani
hilo bado ni confidential lakini kwa Lowassa hapana yule kashapoteza tenaa
namuona Mbowe&Lissu
lakini wote naona bado wana pwaya
 
Ndio maana kuna wapiga kampeni ambao wanawasaidia hao wapiga kura kuchagua kilicho bora
Acheni ramli gombeshi na chongeshi. Wanaochagua Raisi ni wapiga kura, nyinyi hamna mamlaka ya kuwaamulia nani anafaa au hafai. Hayo ni maoni yenu na pengine mmeyatoa mkiwa hamna fact za kutosha.
 
Unataka kuanzisha ligi ya malumbano ya "kitchen party" siyo?

Rudi kwenye mjadala. Thibitisha kuwa mimi ndiye ninayeota na siyo wewe!!
Mtateseka sana na ushoga sie hatuutaki, tunataka maendeleo ya vitu
 
Mwana CCM,unashauri CDM.....
Unatakiwa uwashauri CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…