GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ninaelewa kuwa kabla ya kutangaza nia ya kugombea urais Lisu alishakutana na mh Mbowe na Nyalandu huko ubelgiji.
Ninakumbuka pia mwaka 2015 Mbowe akiwa peke yake angani alibadili gia na kumleta mzee Lowassa wa CCM pale Ufipa ili agombee urais.
Ndiposa najiuliza huyu Tundu Antipas Lisu ameshabarikiwa na Mbowe kugombea au amekurupuka tu?
Jumamosi njema!
Shame on youMn Lissu anatumia kigezo cha kuonewa huruma na yaliyo mpata ambayo hakuna mgombea mwengine yeyote mwenye hicho kigezo. Na mara ya kwanza katika historia ya Taifa hili inawezekana tukawa na mgombea atayeomba apewe kura za kuhurumiwa.
BM atajaribu bahati yake 2025 hilo hana tatizo nalo hata JK alisubiri for 10 years baada ya kushindwa mara ya kwanza!Shughulika na BM anavyotaka kuharibu hali ya hewa kwa JJPM achana na CDM
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuliza Wenge Mzee Mama!!Ninaelewa kuwa kabla ya kutangaza nia ya kugombea urais Lisu alishakutana na mh Mbowe na Nyalandu huko ubelgiji.
Ninakumbuka pia mwaka 2015 Mbowe akiwa peke yake angani alibadili gia na kumleta mzee Lowassa wa CCM pale Ufipa ili agombee urais.
Ndiposa najiuliza huyu Tundu Antipas Lisu ameshabarikiwa na Mbowe kugombea au amekurupuka tu?
Jumamosi njema!
Ni chakula cha Jiwe.GT....kazi ipo.
Tueleze kwa nini Jane baso waziri mpaka dakika hii?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo, ametangaza nia ya Kugombana na Cheupe Madini popote atakapomuona.Kwani Jane ametangaza nia?
Hahahaa........ Umenikumbusha mbali sana!Kamvizia yupo segerea. Thubutu angetangaza hivyo na Mbowe yupo mitaani.
Acha kumlisha Lissu maneno hajatangaza nia ya kugombea urais, baada ya kuulizwa na mwandishi wa habari alisema kuwa kama atapata ridhaa ya chama yuko tayari kugombea urais, ridhaa ya chama ni wanachama pamoja na Mbowe.Ninaelewa kuwa kabla ya kutangaza nia ya kugombea urais Lisu alishakutana na mh Mbowe na Nyalandu huko ubelgiji.
Ninakumbuka pia mwaka 2015 Mbowe akiwa peke yake angani alibadili gia na kumleta mzee Lowassa wa CCM pale Ufipa ili agombee urais.
Ndiposa najiuliza huyu Tundu Antipas Lisu ameshabarikiwa na Mbowe kugombea au amekurupuka tu?
Jumamosi njema!
Si tu kuhurumiwa bali alitakiwa kuwa marehemu ila anachopanga binadamu Mungu anakiimarisha zaidi,ni suala la muda yote yatakuwa bayanaMn Lissu anatumia kigezo cha kuonewa huruma na yaliyo mpata ambayo hakuna mgombea mwengine yeyote mwenye hicho kigezo. Na mara ya kwanza katika historia ya Taifa hili inawezekana tukawa na mgombea atayeomba apewe kura za kuhurumiwa.
Lowassa alipata ridhaa ya wanachama?.......hapa najaribu kuwasaidia Ufipa msije mkamkimbiza Lisu kama ilivyokuwa kwa Dr Slaa!Acha kumlisha Lissu maneno hajatangaza nia ya kugombea urais, baada ya kuulizwa na mwandishi wa habari alisema kuwa kama atapata ridhaa ya chama yuko tayari kugombea urais, ridhaa ya chama ni wanachama pamoja na Mbowe.
Ninaelewa kuwa kabla ya kutangaza nia ya kugombea urais Lisu alishakutana na mh Mbowe na Nyalandu huko ubelgiji.
Ninakumbuka pia mwaka 2015 Mbowe akiwa peke yake angani alibadili gia na kumleta mzee Lowassa wa CCM pale Ufipa ili agombee urais.
Ndiposa najiuliza huyu Tundu Antipas Lisu ameshabarikiwa na Mbowe kugombea au amekurupuka tu?
Jumamosi njema!
BM alishashindwa 2015,tena alishindwa na wanawake. Hana mvuto, hana uwezo,alibebwa na JK. Hana jipya.BM atajaribu bahati yake 2025 hilo hana tatizo nalo hata JK alisubiri for 10 years baada ya kushindwa mara ya kwanza!
Kama ananguvu ya pesa itawezekana lakini kama mtarajia huruma kwa mbowe asahau kabisa nafasi hiyo ni ya nguvu sio hurumaNinaelewa kuwa kabla ya kutangaza nia ya kugombea urais Lisu alishakutana na mh Mbowe na Nyalandu huko ubelgiji.
Ninakumbuka pia mwaka 2015 Mbowe akiwa peke yake angani alibadili gia na kumleta mzee Lowassa wa CCM pale Ufipa ili agombee urais.
Ndiposa najiuliza huyu Tundu Antipas Lisu ameshabarikiwa na Mbowe kugombea au amekurupuka tu?
Jumamosi njema!
Nani ana mvuto hapo lumumba/Ufipa?BM alishashindwa 2015,tena alishindwa na wanawake. Hana mvuto, hana uwezo,alibebwa na JK. Hana jipya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshapewa 7000/- zenu tayar?Ninaelewa kuwa kabla ya kutangaza nia ya kugombea urais Lisu alishakutana na mh Mbowe na Nyalandu huko ubelgiji.