GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ninaelewa kuwa kabla ya kutangaza nia ya kugombea urais Lisu alishakutana na mh Mbowe na Nyalandu huko ubelgiji.
Ninakumbuka pia mwaka 2015 Mbowe akiwa peke yake angani alibadili gia na kumleta mzee Lowassa wa CCM pale Ufipa ili agombee urais.
Ndiposa najiuliza huyu Tundu Antipas Lisu ameshabarikiwa na Mbowe kugombea au amekurupuka tu?
Jumamosi njema!
Sishauri agombee kwa mwaka 2020 kwasababu zangu kadhaa ( ambazo nazihifadhi ) ila akigombea mwaka 2025 sitokuwa na tatizo nae na anaweza akafanya maajabu ambayo hata Lowassa hakufanikiwa kuyafanya.