Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Niko tayari kugombea Urais mwaka 2020 nikipewa ridhaa na Upinzani

Ninaelewa kuwa kabla ya kutangaza nia ya kugombea urais Lisu alishakutana na mh Mbowe na Nyalandu huko ubelgiji.

Ninakumbuka pia mwaka 2015 Mbowe akiwa peke yake angani alibadili gia na kumleta mzee Lowassa wa CCM pale Ufipa ili agombee urais.

Ndiposa najiuliza huyu Tundu Antipas Lisu ameshabarikiwa na Mbowe kugombea au amekurupuka tu?
Jumamosi njema!

Sishauri agombee kwa mwaka 2020 kwasababu zangu kadhaa ( ambazo nazihifadhi ) ila akigombea mwaka 2025 sitokuwa na tatizo nae na anaweza akafanya maajabu ambayo hata Lowassa hakufanikiwa kuyafanya.
 
Ninaelewa kuwa kabla ya kutangaza nia ya kugombea urais Lisu alishakutana na mh Mbowe na Nyalandu huko ubelgiji.

Ninakumbuka pia mwaka 2015 Mbowe akiwa peke yake angani alibadili gia na kumleta mzee Lowassa wa CCM pale Ufipa ili agombee urais.

Ndiposa najiuliza huyu Tundu Antipas Lisu ameshabarikiwa na Mbowe kugombea au amekurupuka tu?
Jumamosi njema!
Tuliza Wenge Mzee Mama!!
 
Eti jiwe amewasaliti wenzake kwenye baraza la mawaziri kwa kutengua sheria aliyoisaini mwenyewe ya kikokoteo cha pensheni
 
Sikushangai maana unafikiri kuongoza nchi na Raia 53 million wawe salama ni lelema. Waliocheka na nyani kama Rwanda walivuna mabua. Ndio maana wanaojua machungu ya kucheka na nyani kama kina Kageme hawawezi kurudia makosa. Mtabakia kuwaita madikteta lakini Rwanda inasonga mbele mmebakia kushangaa kwa kusema kanchi kadogo. So what??!
 
Ninaelewa kuwa kabla ya kutangaza nia ya kugombea urais Lisu alishakutana na mh Mbowe na Nyalandu huko ubelgiji.

Ninakumbuka pia mwaka 2015 Mbowe akiwa peke yake angani alibadili gia na kumleta mzee Lowassa wa CCM pale Ufipa ili agombee urais.

Ndiposa najiuliza huyu Tundu Antipas Lisu ameshabarikiwa na Mbowe kugombea au amekurupuka tu?
Jumamosi njema!
Acha kumlisha Lissu maneno hajatangaza nia ya kugombea urais, baada ya kuulizwa na mwandishi wa habari alisema kuwa kama atapata ridhaa ya chama yuko tayari kugombea urais, ridhaa ya chama ni wanachama pamoja na Mbowe.
 
Mn Lissu anatumia kigezo cha kuonewa huruma na yaliyo mpata ambayo hakuna mgombea mwengine yeyote mwenye hicho kigezo. Na mara ya kwanza katika historia ya Taifa hili inawezekana tukawa na mgombea atayeomba apewe kura za kuhurumiwa.
Si tu kuhurumiwa bali alitakiwa kuwa marehemu ila anachopanga binadamu Mungu anakiimarisha zaidi,ni suala la muda yote yatakuwa bayana
 
yule CCM mwenzenu, mamvi hatumuweki, mmegundua ni daraja, 2020 tunamsimamisha mzee wa 130 IQ ambaye licha ya wingi wenu wa milioni 5.6 bado bila risasi hammuwezi !
Chora tu picha ndogo, mchukue Pombe, mchukue Lissu, wafanye mdahalo leo hii kwenye studio za BBC, mdahalo ukiendeshwa na Maryam Omar !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kumlisha Lissu maneno hajatangaza nia ya kugombea urais, baada ya kuulizwa na mwandishi wa habari alisema kuwa kama atapata ridhaa ya chama yuko tayari kugombea urais, ridhaa ya chama ni wanachama pamoja na Mbowe.
Lowassa alipata ridhaa ya wanachama?.......hapa najaribu kuwasaidia Ufipa msije mkamkimbiza Lisu kama ilivyokuwa kwa Dr Slaa!
 
Ninaelewa kuwa kabla ya kutangaza nia ya kugombea urais Lisu alishakutana na mh Mbowe na Nyalandu huko ubelgiji.

Ninakumbuka pia mwaka 2015 Mbowe akiwa peke yake angani alibadili gia na kumleta mzee Lowassa wa CCM pale Ufipa ili agombee urais.

Ndiposa najiuliza huyu Tundu Antipas Lisu ameshabarikiwa na Mbowe kugombea au amekurupuka tu?
Jumamosi njema!

Tundu Lissu hajajitangaza kuwa mgombea, aliulizwa swali na mwandishi ndiyo akajibu kuwa "kama" vikao vya chama vikimpitisha atakubali huo mzigo. Hivi suala la Membe mumelimaliza hadi mnafuatilia mambo ya Chadema? Membe kawajambisha kidogo tu mavi debe, KM naye kaingia kichwa kichwa matokeo yake kanywea, mtakoma safari hii, mpaka mnaenda kuiangukia Team mamvi, hakika mumekwama.
 
There is doubts that it is his right to declare his intentions, He has even said it all depends if he is nominated by his party, as per the party rules and regulations.

The reasons why people are inquisitive if he has the blessing of Mbowe and Mtei, is due to the presidence chadema has created, in similar cases whether it be presidential ticket or the party Chairmanship. A simple example is Zitto's case.

It is unfair for those of us who wants to know ,if Lissu will meet with Opposition within the high ranking leaders of the party, on this issue.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninaelewa kuwa kabla ya kutangaza nia ya kugombea urais Lisu alishakutana na mh Mbowe na Nyalandu huko ubelgiji.

Ninakumbuka pia mwaka 2015 Mbowe akiwa peke yake angani alibadili gia na kumleta mzee Lowassa wa CCM pale Ufipa ili agombee urais.

Ndiposa najiuliza huyu Tundu Antipas Lisu ameshabarikiwa na Mbowe kugombea au amekurupuka tu?
Jumamosi njema!
Kama ananguvu ya pesa itawezekana lakini kama mtarajia huruma kwa mbowe asahau kabisa nafasi hiyo ni ya nguvu sio huruma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninaelewa kuwa kabla ya kutangaza nia ya kugombea urais Lisu alishakutana na mh Mbowe na Nyalandu huko ubelgiji.

Ninakumbuka pia mwaka 2015 Mbowe akiwa peke yake angani alibadili gia na kumleta mzee Lowassa wa CCM pale Ufipa ili agombee urais.

Ndiposa najiuliza huyu Tundu Antipas Lisu ameshabarikiwa na Mbowe kugombea au amekurupuka tu?
Jumamosi njema!
Mshapewa 7000/- zenu tayar?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom