Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Niko tayari kugombea Urais mwaka 2020 nikipewa ridhaa na Upinzani

Mchi yetu inaumizwa na mikataba mibovu ya siri Lisu peke anaweza kutunasua kwenye mtego wa mikataba mzalendo Uvccm tumuunge mkono Lisu hali ni mbya sana mtaani
 
Acha uzuzu, mambo haya waachie wenye akili kuyajadili!
 
Mwenyekiti alikuwa Belgium November. Inaelekea limeshajadiliwa kichama.

Kichama linajadiliwa Na Kamati kuu

Mnarudia Yale Yale ya 2015 ya Mwenyekiti kwenda Masaki Kwa Mzee Na kurudi Na jina la Mgombea Na kazi ya Chama ikawa kunyoosha Mikono juu Mlimani city
 
Tunahitaji rais ataeheshimu utawala wa sheria na haki na usawa.
Atejali haki za wote bila upendeleo
Fikiria hilo
 
Mchi yetu inaumizwa na mikataba mibovu ya siri Lisu peke anaweza kutunasua kwenye mtego wa mikataba mzalendo Uvccm tumuunge mkono Lisu hali ni mbya sana mtaani
Huyo hata asilimia 10 ya kura zote hapati walah!
 
Haya sasa na tusubiri kuona Dr. Slaa mwingine.

Lowasa bado hajatosheka na vile vile kuna possibility ya atakayetemwa CCM kwenda huko.

Sidhani kama Lisu anamaanisha hiyo kauli yake. Ila kilichopo ni kutafuta namna ya kumrejesha rasmi katika mijadala ya kisiasa.
 
Sasa hofu ya nini?? Jiwe mwisho wake 2020 hatutaki kuongozwa na vichaa. Mtu anapenda misifa kila muda hatufai. Twende na Lissu
 
Hahaha Jiwe hatokanyaga, kichwani hamna kitu.
 
Bad strategy. Ajipange kwanza kuliko kuwaambia adui zako mipango prematurely
 
Kama ameshindwa kuliongoza aliwezaje kuchaguliwa kwa vipindi viwili mfululizo? Na kama unasema jimbo lake ameshindwa kuliongoza unadhani lile la Chato jamaa alifanikiwa kuliongoza?
 
Sasa hofu ya nini?? Jiwe mwisho wake 2020 hatutaki kuongozwa na vichaa. Mtu anapenda misifa kila muda hatufai. Twende na Lissu

karuhusiwa na chadema?

ni muda wa kumfahamu Mbowe sasa!..mmeliwa
 
Soma tena ulichoandika, ni kama mtoto mdogo anajifunza kuandika yani hamna mpangilio mzuri wa maneno wenye kuleta mantiki, hapa JF siyo sehemu yako rudi facebook.
Sure mkuu, arudi Facebook tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…