Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Niko tayari kugombea Urais mwaka 2020 nikipewa ridhaa na Upinzani

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Niko tayari kugombea Urais mwaka 2020 nikipewa ridhaa na Upinzani

Ghafla! Membe sio kitu tena
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Hata Lissu Yeye Mwenyewe anajua hatashinda ila kuna kitu anataka kufanga akigombea uraisi ( akili yake anawaza kitu Fulani anajua kabisa huwezi kushinda but kuna kitu anataka afanye cha ziada)
 
Jimbo lake Singida huko kashindwa kuongoza,familia yake kashindwa mwache aropoke tu.
watoto wale wanaitaji kusoma wakili mkuu rais wa nini sijui,sio kuja kusalimu hospitali. Mke pia anahitaji huduma.
Bado ww unafkiria kuwa na mikiki ya siasa!
Waonee huruma waliokuzunguka
Akili kama K
 
Tunajua ni jinsi gani mnahaha sasa na ndiyo maana mlipochungulia kwa sangoma wenu mkaona mje na mswada wa vyama vya siasa ili akichaguliwa kugombea msajili aseme huyo hafai.

Kwanza mswada wenu haupiti na Lisu ni chaguo la Mungu maana kila siku tunamwombea mema sio kama Jiwe anayelazimisha kuombewa.

Leo ni siku ngumu sana kwa Stone Jiwe
ahahahahhaaa me namwita stone age
 
Barabara zipi Mkuu?
maana nayojua mimi labda Mfugale na hizi 19km za Kimara -Kibaha,
kama mnataka kusifia Barabara msifieni Jakaya, huyu jamaa hata akae 15 Madarakani hatomfikia Mzee wa Msoga
record za JPM za barabara kila kona, Lissu anamtisha nani?
 
TANGAZO:
Kesho tarehe 24/10/2020 kutakuwa na mdahalo wa kitaifa wa kufunga kampeni katika ukumbi wa Nkurumah;
Wagombea wanaotarajiwa kuhudhuria;
J.P. Magufuli - CCM
T.A. Lissu - CHADEMA
H.R. Sipunda - CHAUMA
Z.R. Kabwe - ACT Wazalendo
NYOTE MNAKARIBISHWA.
kama Lissu yupo hiyo namba moja lazima ile njoro.
 
Jimbo lake Singida huko kashindwa kuongoza,familia yake kashindwa mwache aropoke tu.
watoto wale wanaitaji kusoma wakili mkuu rais wa nini sijui,sio kuja kusalimu hospitali. Mke pia anahitaji huduma.
Bado ww unafkiria kuwa na mikiki ya siasa!
Waonee huruma waliokuzunguka
Huyu mjinga hapa anaongea nini wadau? 😅😅
 
Yule jamaa kule Magogoni saa hizi kichwa kinamuuma.
Kichaa yule, hana sifa hata moja ya kupanga pale magogoni. Anatumia nguvu nyingi kutafuta uhalali hadi ndani ya chama chake hawamtaki, anajishtukia, kila siku anadai aombewe.
 
Kwani wale watu waliojaribu kumuua alishamalizana nao? Kama bado amalizane nao kwanza,vinginevyo bado kuna tatizo. Na ni vizuri akaliangalia hili kwanza kabla hajawaza kugombea urais.nimewaza tu kwa sauti! Samahani kwa nitakaowakwaza.
 
The race has began..

Jiwe anawezapata matatizo ya moyo...

Huku Lissu,pale Membe,Zanzibar kule Maalim,kushoto pale wengine,pembeni hapa mwingine...

I see!
 
Karibu nyumbani Lissu tunajua kuwa Mungu ana makusudi na wewe,ndiyo maana kakuponya na risasi za watesi wako waliopanga kuifisha roho yako.
 
Kamwe huyo hafai kuwa rais.

Ataishia kuuona urais wa TLS tu.
Hivi huyo wa kwenu na Lissu nani bora? Kwa maoni yangu heri Lissu maana anaujua urais kuliko jiwe ambaye haujui urais ni nini ila akajikuta yumo tu ndio maana kila akifungua kinywa chake yatokayo ni balaa tupu
 
Back
Top Bottom