Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Niko tayari kugombea Urais mwaka 2020 nikipewa ridhaa na Upinzani

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Niko tayari kugombea Urais mwaka 2020 nikipewa ridhaa na Upinzani

Hakika tokea habari za kuwania kiti huyu Tundu Lissu,vitanda havilaliki pale Ikulu!

Na Leo hii tumeona amefuta kikotoo kipya cha mifuko ya jamii, ambapo kiuhalisia ni "yeye" aliyeamuru kitumike!

Hakika huyu Rais tuliye naye ni bingwa wa maigizo
 
Hakika tikoa habari za kuwania kiti huyu Tundu Lissu,vitanda havilaliki pale Ikulu.....

Na Leo hii tumeona amefuta kikotoo kipya cha mifuko ya jamii, ambapo kiuhalisia ni "yeye" aliyeamuru kitumike!

Hakika huyu Rais tuliye naye ni bingwa wa maigizo
Hakuna llote mnahangaika bure na hao mabeberu wenu , 2020 mtapata tabu sana
 
Mimi bado najiuliza hivi Rais hadi anasaini kuwa sheria hakuusoma?
Siyo tu kusaini mchezo mzima umepitia kwenye baraza la mawaziri. Kama anasema walikaa kikao cha cabinet wakaamua kutunga sheria kuiunganisha hiyo mifuko bila shaka moja ya maazimio yalikuwa ni hili la kikokotoo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.
Screenshot_20181228-145829_Instagram~2.jpeg


Sent using Vertu Aster P Gothic
 
Unakumbuka alisema Yeye pamoja na Mawaziri walikaa pamoja nakukubaliana kuhusu kuunganishwa kwa mifuko ya Hifadhi ya Jamii nakuifanya miwili tu yaani kwa Wafanyakazi wa Serikali/Umma na Wale wa Sekta Binafsi. Sasa iweje kwenye hili la kikokotoo kiwe na Mawaziri pamoja na Makatibu Wakuu bila yeye?? Watz waleo wanaona na wanafahamu kila kitu. Hapo ndio kawasha moto kwa Wafanyakazi wadai haki yao ya nyongeza ya mishahara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezeko la mishahara na maslahi yenu yanazidi kukandamizwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara analeta tatizo na kulitatua mwenyewe mara kamuogopa Lisu..............ongezeni nyingine
 
Mimi bado najiuliza hivi Rais hadi anasaini kuwa sheria hakuusoma?

Huwa ninasema rais wetu anajigamba kuwa yeye sio mwanasiasa, lakini maamuzi na matendo yake mengi huwa yamejikita katika utashi wa kisiasa. Asichokiweza ni ushindani wa kisiasa. Sasa kama hayo sio maamuzi ya kisiasa ni nini. Rais wetu na umakini wote anaosema anao, leo asaini sheria kisa aseme anasikitishwa wafanyakazi kunyonywa!!?
 
Back
Top Bottom