Tundu Lissu: Nilimpigia simu Rais Samia siku mbili baada ya kuapishwa kwake, bado nasubiri majibu

Tundu Lissu: Nilimpigia simu Rais Samia siku mbili baada ya kuapishwa kwake, bado nasubiri majibu

Lissu si bure......

Lissu atakuwa ana matatizo "kichwani".......

Yaani jamaa ana "GRANDIER DELUSION".....

Jamaa anajiona ni "MUHIMU SANA nchini" kuliko UHALISIA ULIVYO.....

Jamaa anashangaza kwelikweli 🤣🤣🤣🤣🤣

#KaziIendelee
#JMTKwanza
 
Lissu si bure......

Lissu atakuwa ana matatizo "kichwani".......

Yaani jamaa ana "GRANDIER DELUSION".....

Jamaa anajiona ni "MUHIMU SANA nchini" kuliko UHALISIA ULIVYO.....

Jamaa anashangaza kwelikweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

#KaziIendelee
#JMTKwanza
Fact bro
 
Bora Lisu tunamjua. We umejificha kwenye keyboard unatoa ushauri kwa nchi as if una umuhimu sana nchini

Mi sihitaji kujulikana, najenga nchi kimya kimya. Kwa hiyo huyo mzee wa "tutashtakiwa MIGA", huo ndio umuhimu wake?
 
Hivi nyie watu mbona rais huwa mnamchukulia kama Mungu? Hiii mindset ya kipumbavu inatakiwa ifutike vichwani mwenu, rais ni kaajiriwa na raia hapaswi kuogopwa.
Hakuna anaemchukulia Rais Kama Mungu.....

Ila pia Rais na nafasi yake si wa kawaida kawaida tu.......

Ni juzi tu umeona Baraza la Maaskofu wamemzunguka na kupiga naye picha kwa HESHIMA NA TAADHIMA akiwa amekaa chini katikati....

UKIJUA ni kwanini UTAKUA KIAKILI....na ukikua KIAKILI utaacha UTOTO......

#KaziIendelee
#JMTKwanzaKablaYaChochoteKile
 
Tangu Mama alivyoenda kumjulia hali Lissu kule Hospitali - Kenya, nikabaini kuwa Mama na Lissu ni kitu kimoja. Wote ni watu wa Amani na Upendo kwa hii nchi
 
Lissu anajidhania ni wa muhimu kuliko alivyo.
Hats were unaweza kumpigia rais simu siyo suala la umuhimu wa mtu. Hata hivyo kwa vyovyote vile nafasiy ya Lissu ni kubwa sana katika nchii wewe hata robo yake hufikii. Na siku wakikutana utaafedheheka sana. Nitakukumbusha.
 
Kama aliomba appointment kwa kupiga simu tu, tena ikapokelewa na "msaidizi" wa Rais, most likely hatopewa majibu yoyote na huenda hata huyo msaidizi hakufikisha ujumbe kwa Mhusika. Ile taasisi ya Urais itataka kuprove a point.
 
Hakuna anaemchukulia Rais Kama Mungu.....

Ila pia Rais na nafasi yake si wa kawaida kawaida tu.......

Ni juzi tu umeona Baraza la Maaskofu wamemzunguka na kupiga naye picha kwa HESHIMA NA TAADHIMA akiwa amekaa chini katikati....

UKIJUA ni kwanini UTAKUA KIAKILI....na ukikua KIAKILI utaacha UTOTO......

#KaziIendelee
#JMTKwanzaKablaYaChochoteKile
Sasa kosa la lissu kusema hajajibiwa ombi lake nini labda babu?
 
Kama aliomba appointment kwa kupiga simu tu, tena ikapokelewa na "msaidizi" wa Rais, most likely hatopewa majibu yoyote na huenda hata huyo msaidizi hakufikisha ujumbe kwa Mhusika. Ile taasisi ya Urais itataka kuprove a point.
Mleta uzi umemsoma katikati ya mistari au umeingia kichwakichwa tu.Anacheza na akili zenu.😝😝😝😝😝
 
Hats were unaweza kumpigia rais simu siyo suala la umuhimu wa mtu. Hata hivyo kwa vyovyote vile nafasiy ya Lissu ni kubwa sana katika nchii wewe hata robo yake hufikii. Na siku wakikutana utaafedheheka sana. Nitakukumbusha.
Wakutane wasikutane I don't care, maana wote wanafanana mawazo
 
Sasa kosa la lissu kusema hajajibiwa ombi lake nini labda babu?
Hivi mh. Rais anaombwa mambo na wangapi ndani na nje ya nchi ?!!!
Wote hao wanaomuomba umeshawahi kuwaona WAKIJITOKEZA na KUSEMA HADHARANI kama huyo ndugu Tundu Lissu ?!!!

Kwanza mh.Rais SSH ni mwenye utu na huruma Sana ....ndugu Lissu akumbuke kuwa hakumuomba mh.Rais SSH alipokuwa VP amtembelee KULE NAIROBI ALIKOLAZWA ......

#HekimaNaBusaraNiTunu
#KaziIendelee
#JMTKwanzaKablaYaChochoteKile
 
Lissu ni muhimu sana kuliko ww na familia yako wote
🤣🤣🤣 Dada una "mahaba" na Lissu aliyoyasema mh.Lowassa kipindi kile cha kugombea kwake Urais eee?!!!

Haiwezekani huyo ndugu na femili yake wakakosa umuhimu nchini alionao Lissu......

Umuhimu wa GRANDIER DELUSION?!!
Umuhimu wa KUBWABWAJA?!!!

Hatumsahau alivyokosa STAHA NA UTU kwa kumtukana hayati JPM juu ya majukwaa.....

Kama umesahau CLIPS ZA YOUTUBE zipo.....

Usisingizie eti ni kwa sababu ya kampeni......
Hakuna KAMPENI ZA KEDI NA KUVUNJIANA HESHIMA kiasi kile......

Ndg.Lissu anashangaza mno....ila anashangaza kwa WATU WENYE KUTAFAKARI......

#KaziIendelee
#JMTKwanza
 
Jamaa anataka tumjadili yeye tu Kila siku.
 
Back
Top Bottom