Tundu Lissu: Niliwahi kufanya kazi katika kampuni iliyokamata ndege ya Tanzania Uholanzi. Kauli hii inakupa hisia gani?

Nadhani kumbukumbu zinanikumbusha kwamba hata ile issue ya ACACIA pia kulikuwa na mkono wake Lissu!.

Hii ndio sababu ya mikutano inayochipukia sasa huko Ulaya!

Yaani tunaishi na Wasaliti kama Tamthilia ya "Ertugul Ganzi" na "Ottoman" kule Uturuki.

Na ndio sababu ya kuendelea kubaki kule Ubelgiji.
 
Kwa sasa itakuwa Lissu ndie Mshauri wa hiyo kampuni kisheria.

Sio bure,ila hii nchi tulistahili tuchapane Risasi kama Rwanda na Sudan ili akili zitukae sawa!

Hauwezi kuwa shabiki wa Mali za nchi yako kukamatwa,halafu ukaendelea kusema unapenda nchi hii.
 
Ameshabikia wapi?
 
Ulikuwa hujui???
 
Katika nchi yetu Kuna ugonjwa wa kukosa Uzalendo. Kuna watu wao utafuta watu na kuwapa ramani Mwisho wa siku wanachukua Chao.

Mimi nadiriki kusema watanzania tulipoteza Mzalendo wa kweli Ndugu Magufuli.

Tanzania hakuna Upinzani Bali ni vikundi vya matapeli wanaotafuta Maisha kwa mgongo wa siasa.

Sasa hivi chama cha mapinduzi ni kama kimetekwa na wale wale waliokua wanakula keki yataifa bila kujali watanzania wanaangamia kwenye dimbwi kubwa la Ufukara.

Mungu saidia watu wako.
 
Mfanye upumbavu wenu wa kuvunja mikataba kishamba! na mlipewa tahadhali. lakini mkashupaza shingo! na kujiona mnajua kila kitu! leo Bundi wenu amekamatwa. Mnaanza kusingizia watu!
 
Ni kosa kwa mujibu qa katiba ya nchi? Au ni kwa mujibu wa masabuli yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…