SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Huyo Fisi ni shoga mwandamzi na ameolewa kabisa huko ZanzibarNazani wewe ndio unaliwa kiboga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo Fisi ni shoga mwandamzi na ameolewa kabisa huko ZanzibarNazani wewe ndio unaliwa kiboga.
Uo ukakas umeamua wewe ila ukiwa positive utagundua umuhimu wakeTundu Antipas Mugwai Lissu, akichangia mada huko space Twitter, alieleza kwamba aliwahi kufanya kazi katika kampuni hiyo akiwa kama mshauri wa masuala ya ardhi.
Kauli hii inaleta ukakasi kidogo. May be Kuna watanzania wenzetu wanaotarajiwa kuwa viongozi, lakini wakati mwingine wanauza mechi kwa mabeberu.
#MakuwadiWaSokoHuria
Wanalia nchi inauzwa, kumbe wao ndio makuwadi
Sio kumkosoa Bali kusaliti NchiBinafsi suala la shambulizi la Lissu huwa sijipagi jibu jepesi tu kwamba Magufuli kama Magufuli ndio alitaka kumuuwa kisa kumkosoa.
Basi wazee wa kazi wenyewe waliona ashughulikiwe kama msaliti wa nchi.Sio kumkosoa Bali kusaliti Nchi
KabisaKwa sasa itakuwa Lissu ndie Mshauri wa hiyo kampuni kisheria.
Sio bure,ila hii nchi tulistahili tuchapane Risasi kama Rwanda na Sudan ili akili zitukae sawa!
Hauwezi kuwa shabiki wa Mali za nchi yako kukamatwa,halafu ukaendelea kusema unapenda nchi hii.
Usaliti mkubwa uko serikalini mwenu.Nadhani kumbukumbu zinanikumbusha kwamba hata ile issue ya ACACIA pia kulikuwa na mkono wake Lissu!.
Hii ndio sababu ya mikutano inayochipukia sasa huko Ulaya!
Yaani tunaishi na Wasaliti kama Tamthilia ya "Ertugul Ganzi" na "Ottoman" kule Uturuki.
Na ndio sababu ya kuendelea kubaki kule Ubelgiji.
Pole sana!Akili za zipo makalioni.
Hiyo ndege hata ikipigwa manda sidhani kama deni litaishaKawa mkweli, mwingine angedanganya. Cha muhimu lipeni deni kabla ndege haija pigwa mnada.
Labda hata alikuwa Lawyer wao. Information zote alikuwa anawapa yeye. Mkono Advocates aliwatetea wazungu kulikamua Taifa.Tundu Antipas Mugwai Lissu, akichangia mada huko space Twitter, alieleza kwamba aliwahi kufanya kazi katika kampuni hiyo akiwa kama mshauri wa masuala ya ardhi.
Kauli hii inaleta ukakasi kidogo. May be kuna Watanzania wenzetu wanaotarajiwa kuwa viongozi, lakini wakati mwingine wanauza mechi kwa mabeberu.
#MakuwadiWaSokoHuria
Wanalia nchi inauzwa, kumbe wao ndio makuwadi
Labda hata alikuwa Lawyer wao. Information zote alikuwa anawapa yeye. Mkono Advocates aliwatetea wazungu kulikamua Taifa.
Mtu kama huyu awe Rais?
Hiyo kesi ukisoma vizuri inaelekea Mawakili wa Tanzania wala hawkuhudhuria na mahakama ya kimataifa iliwateulia mwakilishi aliesimamia maslahi ya Tanzania na waliposhindwa hukumu ikawa halali.Watanzania wajiulize je hiyo wizara ya sheria kwa nini hawakufuatialia hili swala??ni dharau au jeuri??hata sasa wamekata rufaa lakini hawana mwakilishi kwenye mahakama ya kimataifa je hiyo rufaa itasimamiwa na nani??!..makampuni yote ya uwekezaji toka nje lazima yatafute Wanasheria wa Kitanzania watakaowaongoza ktk masuala ya mikataba.
..kwa msingi huo kampuni yoyote ile ya kigeni unayoiona hapa Tanzania ujue kwamba masuala yake yakisheria yanasimamiwa na mawakili wa Kitanzania.
..Vilevile kama kampuni hiyo toka Sweden ingeamua kuishitaki serikali ktk mahakama za hapa nyumbani basi kesi hiyo ingefunguliwa na kusimamiwa na mawakili Watanzania, au wakili aliyesajiliwa kutetea kesi ktk mahakama za Tanzania.
..Ukiuelewa msingi huo utaona kwamba hakukuwa na tatizo kwa Tundu Lissu kutoa ushauri wa kisheria kwa kampuni ya Kiswidish.
..Tatizo liko kwa wanasheria wa serikali ambao hawakutumia taaluma zao vizuri ktk kuishauri serikali na kupelekea mkataba kuvunjwa kimakosa na serikali kushindwa kesi ktk mahakama ya usuluhishi ya kimataifa.
Hiyo kesi ukisoma vizuri inaelekea Mawakili wa Tanzania wala hawkuhudhuria na mahakama ya kimataifa iliwateulia mwakilishi aliesimamia maslahi ya Tanzania na waliposhindwa hukumu ikawa halali.Watanzania wajiulize je hiyo wizara ya sheria kwa nini hawakufuatialia hili swala??ni dharau au jeuri??hata sasa wamekata rufaa lakini hawana mwakilishi kwenye mahakama ya kimataifa je hiyo rufaa itasimamiwa na nani??!

Tundu Antipas Mugwai Lissu, akichangia mada huko space Twitter, alieleza kwamba aliwahi kufanya kazi katika kampuni hiyo akiwa kama mshauri wa masuala ya ardhi.
Kauli hii inaleta ukakasi kidogo. May be kuna Watanzania wenzetu wanaotarajiwa kuwa viongozi, lakini wakati mwingine wanauza mechi kwa mabeberu.
#MakuwadiWaSokoHuria
Wanalia nchi inauzwa, kumbe wao ndio makuwadi
Tundu Antipas Mugwai Lissu, akichangia mada huko space Twitter, alieleza kwamba aliwahi kufanya kazi katika kampuni hiyo akiwa kama mshauri wa masuala ya ardhi.
Kauli hii inaleta ukakasi kidogo. May be kuna Watanzania wenzetu wanaotarajiwa kuwa viongozi, lakini wakati mwingine wanauza mechi kwa mabeberu.
#MakuwadiWaSokoHuria
Wanalia nchi inauzwa, kumbe wao ndio makuwadi
Lissu ndio alikuwa anawachochea wafungue kesi, wao hawakuwa na haja na kesi, ni kama zile za migodi, jambo jema watu wa migodi walimpuuza, isipokuwa watatu ambao ni rafiki zake, na anahisa katika kampuni zao.
Kwa sasa itakuwa Lissu ndie Mshauri wa hiyo kampuni kisheria.
Sio bure,ila hii nchi tulistahili tuchapane Risasi kama Rwanda na Sudan ili akili zitukae sawa!
Hauwezi kuwa shabiki wa Mali za nchi yako kukamatwa,halafu ukaendelea kusema unapenda nchi hii.
Msaliti na ndio maana Jiwe alitaka kummaliza