Tundu Lissu: Niliwahi kufanya kazi katika kampuni iliyokamata ndege ya Tanzania Uholanzi. Kauli hii inakupa hisia gani?

"Wazee wa kazi" wangeanza kwanza kushughulikia waliongia hiyo mikataba ya hovyo kama walishindwa kabisa kuzuia hiyo mikataba kuridhiwa kwa kuanzia.
Basi wazee wa kazi wenyewe waliona ashughulikiwe kama msaliti wa nchi.
 
"Wazee wa kazi" wangeanza kwanza kushughulikia waliongia hiyo mikataba ya hovyo kama walishindwa kabisa kuzuia hiyo mikataba kuridhiwa kwa kuanzia.

..halafu baada ya kushtakiwa serikali haikutokea mahakamani, ikaichia mahakama iteue mawakili wa kututetea.
 
Washighulikiwe wote walioingia mikataba ya ovyo
Sio kushughulika na wanaoikosoa serikali
BILA hivyo kila miaka hakutokosekana malalamiko na visasi
 
Alafu mkataba wa BIT ni kati ya nchi na nchi na sio kati ya mwekezaji na nchi
 
..Hiyo ni hoja nzuri sana.


..Waziri wa Sheria, Mwanasheria Mkuu, na Wakili Mkuu wa serikali, wanapaswa kuhojiwa kuhusu suala hilo.


..Hao ndio wanaotakiwa kulaumiwa kwa kukosa uzalendo na kuuza mechi.
Naam
 
Elewa kwamba hii mikataba iko dunia nzima kilanchi ambayo ni ya kistaarabu inakuwa na mikataba kama hii kwani ni kati ya nchi na nchi na sio kati ya mwekezaji na nchi. Mwekezaji anapozulumiwa na anatazama kama nchi yake mkataba na Tanzania ndio anakwenda kushitaki kama hakuna mkataba inakuwa hasara kwa mwekezaji je umeshajiuliza ni wawekezaji wangapi ambao wamezulumiwa??
 
..Na kwanini serikali haikutokea mahakamani kujibu hoja za waliotushitaki? Je, huo ni uzalendo? Ni uwajibikaji?
Summons alipelekewa nani? Huo ni sehemu ya uhuni wa Lissu, anajua ana mgao wake kwenye hizo hela
 
Summons alipelekewa nani? Huo ni sehemu ya uhuni wa Lissu, anajua ana mgao wake kwenye hizo hela

..summons lazima iwe imefika WIZARA YA SHERIA au kwenye moja ya BALOZI zetu.

..hizi sio kesi za kienyeji kwamba wahusika wasiwe na taarifa.

..Lissu hajasajiliwa kama msuluhishi ktk mahakama ya usuluhishi wa migogoro ya uwekezaji. Tuhuma kwamba anahusika ktk shauri hili na ana mgao haziwezi kuwa za kweli.
 
Huyo alifanya kazi ya kuwashauli wafanye vipi ili wakamate Mali za watanzania kwa kuwa anajua wanasheria alio teuma raisi kwa sasa ni vibogoyo.

Tundu lisu haaminiki kabisa.

Serikali kwa sasa ni kibogoyo ila wapinzani nao ni wabovu zaidi tutapata taabu sana na hatuna pa kukimbilia.
 
Ana mgao wake, katika hizo bilioni 380
 
Serikali kuwania wanasheria vibogoyo (incompetent) nani alaumiwe Lissu au serikali?
 
Ana mgao wake, katika hizo bilioni 380

..good for him.

..ujinga wa viongozi wetu ndio umewezesha hilo.

..nani aliwazuia kujitokeza huko walikoshtakiwa na kuitetea serikali.
 
"Wazee wa kazi" wangeanza kwanza kushughulikia waliongia hiyo mikataba ya hovyo kama walishindwa kabisa kuzuia hiyo mikataba kuridhiwa kwa kuanzia.
Kwahiyo usaliti kwa nchi unawakomoa hao waliyoingia mikataba?
 
Tundu ni msaliti wa nchi yetu, hili halina shaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…