Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nimepokea vitisho vya kuuawa. Wanachama wawasindikize wagombea Ubunge na Udiwani kuchukua fomu NEC

Nadhani una maana ya "anahamasisha watu wajunje sheria", au siyo?

Bado swali liko palepale, HOW?

Labda kiingereza kinaweza kukupa shida, ngoja niseme kwa kiswahili;

Ni kwa vipi amehamasisha watu kuvunja sheria hapo?
Nadhani una maana " anahamasisha watu wavunje sheria" au siyo.
 
Aliyeleta kiungo tumbo ametuweza Sana unauwa mwenzako sababu ya tumbo lako.
 
Mwalimu Nyerere hakukosea kamwe kumuita Nduli Idd Amin MSHENZI na MWENDAWAZIMU, duniani kote ma Dikteta kama JPM wana akili za hovyo sana.
Wenzetu huwa awaokotezi viongozi bila kuangalia malezi ya utotoni
 
wewe umesikia wapi....
 
Aliyemuokoa dodoma ndie atakaemuokoa Tena, kifo ni sehemu ya maisha Ni heri kufa kwenye haki kuliko kwenye dhambi
 
Aliyemuokoa dodoma ndie atakaemuokoa Tena, kifo ni sehemu ya maisha Ni heri kufa kwenye haki kuliko kwenye dhambi
 
Kiswahili chako kinakwaruza.
 
Huyu atakachoambulia ni pole nyingi kuliko idadi ya kura.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Sijasikia akisema atawafanyia nini watanzania. Lissu sio mtu sahihi kupambana na Magufuli. Magufuli alihitaji mtu kama lowassa wa 2015.
Muda wa Kampeni haujafika ndio maana anaongelea yaliyo msibu tu, muda ukifikaatafanyahivyo
 
Hilo gia la vitisho ushafanya mtaji wabkisiasa
Wanatakiwa kulifanyia kazi ikiwa ni pamoja na kumhoji na kuchukua ushahidi wa kile anacho kisema, mbona wakina Lijualikali walipo mtuhumu mwenyekiti kuhusu matumizi mabaya ya ruzuku, Takukuru iliingilia kati na kuhoji!?
 
Awamu hii kwa utekaji ,upotwzaji watu na uuaji vimeshamiri Sana tahadhari kuchukua Ni muhimu Sana ,Azory ,Saanane ,Kanguye Mpaka leo ?Halafu majitu humu yanabeza wanstoa taarifa za tahadhari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…