Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,604
- 5,583
Kwani kampeni zimeshafunguliwa Mkuu?Sijasikia akisema atawafanyia nini watanzania. Lissu sio mtu sahihi kupambana na Magufuli. Magufuli alihitaji mtu kama lowassa wa 2015.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kampeni zimeshafunguliwa Mkuu?Sijasikia akisema atawafanyia nini watanzania. Lissu sio mtu sahihi kupambana na Magufuli. Magufuli alihitaji mtu kama lowassa wa 2015.
Nadhani una maana " anahamasisha watu wavunje sheria" au siyo.Nadhani una maana ya "anahamasisha watu wajunje sheria", au siyo?
Bado swali liko palepale, HOW?
Labda kiingereza kinaweza kukupa shida, ngoja niseme kwa kiswahili;
Ni kwa vipi amehamasisha watu kuvunja sheria hapo?
Sijasikia akisema atawafanyia nini watanzania. Lissu sio mtu sahihi kupambana na Magufuli.
Lowasa umwachia Mungu tatizo,Sijasikia akisema atawafanyia nini watanzania. Lissu sio mtu sahihi kupambana na Magufuli. Magufuli alihitaji mtu kama lowassa wa 2015.
Jiwe ataki mtu mstaarabu,amepata dawa yake Safari hii,Sijasikia akisema atawafanyia nini watanzania. Lissu sio mtu sahihi kupambana na Magufuli. Magufuli alihitaji mtu kama lowassa wa 2015.
Wenzetu huwa awaokotezi viongozi bila kuangalia malezi ya utotoniMwalimu Nyerere hakukosea kamwe kumuita Nduli Idd Amin MSHENZI na MWENDAWAZIMU, duniani kote ma Dikteta kama JPM wana akili za hovyo sana.
wewe umesikia wapi....Magufuli anaondoka kwa Hali hii atake asitake. Kuanza huenda vurugu zikaibuka kabla ya uchaguzi. Ofisi za serikali huenda zikaharibiwa kwa njia yoyote ile ikiwa watu watawakimbia wagombea wa upinzani. Hicho ndicho kinatafutwa nasikia Marekani na Uingereza wamejiweka tayari. Tusali Sana wa Tanzania. Pia Membe kasema chochote chaweza kutokea kabla ya October 2020, anajua wamepanga nini.
Lisu naweweseka sana, amepania sana kuwa rais , hata kwa damu za watanzania lazima hawe rais, yupo tayari kuongea lolote lile hili international media zimpe attention achafue nchi mataifa makubwa yamsaidie kumkabidhi nchi. He will never archive that...
Huyu atakachoambulia ni pole nyingi kuliko idadi ya kura.Lisu naweweseka sana, amepania sana kuwa rais , hata kwa damu za watanzania lazima hawe rais, yupo tayari kuongea lolote lile hili international media zimpe attention achafue nchi mataifa makubwa yamsaidie kumkabidhi nchi. He will never archive that...
kwani kampeni zimeanza bibie?Sijasikia akisema atawafanyia nini watanzania. Lissu sio mtu sahihi kupambana na Magufuli. Magufuli alihitaji mtu kama lowassa wa 2015.
Muda wa Kampeni haujafika ndio maana anaongelea yaliyo msibu tu, muda ukifikaatafanyahivyoSijasikia akisema atawafanyia nini watanzania. Lissu sio mtu sahihi kupambana na Magufuli. Magufuli alihitaji mtu kama lowassa wa 2015.
Wanatakiwa kulifanyia kazi ikiwa ni pamoja na kumhoji na kuchukua ushahidi wa kile anacho kisema, mbona wakina Lijualikali walipo mtuhumu mwenyekiti kuhusu matumizi mabaya ya ruzuku, Takukuru iliingilia kati na kuhoji!?Hilo gia la vitisho ushafanya mtaji wabkisiasa
Uuawe kwa kipi ulichonacho