Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nimepokea vitisho vya kuuawa. Wanachama wawasindikize wagombea Ubunge na Udiwani kuchukua fomu NEC

Anafeli sana, matusi ya nini, lete sera watu wakupigie kura, ama kweli Lissu Ni mwana midaharo
Na huyo wenu hata kujieleza hawezi. Anachojua ni kukariri urefu wa barabara na idadi ya samaki baharini.
 
Na huyo wenu hata kujieleza hawezi. Anachojua ni kukariri urefu wa barabara na idadi ya samaki baharini.
Danganyweni TU malofa nyie🤣😂🤣! Angalau Magu wetu ni msema kweli mpenzi wa Mungu🤔!
 
Nachojiuliza mbona rais alipokua akisimama barabarani tuliambiwa anafanya kampeni

Lissu akikusanya watu anatafuta wadhamini

Magufuli akisalimia watu anafanya kampeni

Tuna wapinzani wapumbavu sana
 
Sijasikia akisema atawafanyia nini watanzania. Lissu sio mtu sahihi kupambana na Magufuli. Magufuli alihitaji mtu kama lowassa wa 2015.
Muda wa kampeni unaanza tarehe 26 Agosti baada ya uteuzi wa NEC tarehe 25 Agosti
 
Na huyo wenu hata kujieleza hawezi. Anachojua ni kukariri urefu wa barabara na idadi ya samaki baharini.
Hata na Lissu mwambie akariri vifungu vya sheria na siyo kukariri debate.
 
kura lazima tumpe lisu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…