mtamamtete
JF-Expert Member
- Jul 28, 2020
- 402
- 345
Mlipompiga risasi 36 mlikuwa mnataka kumuua kwa lipi, au mlikuwa mnamtania tu.Uuawe kwa kipi ulichonacho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlipompiga risasi 36 mlikuwa mnataka kumuua kwa lipi, au mlikuwa mnamtania tu.Uuawe kwa kipi ulichonacho
Na huyo wenu hata kujieleza hawezi. Anachojua ni kukariri urefu wa barabara na idadi ya samaki baharini.Anafeli sana, matusi ya nini, lete sera watu wakupigie kura, ama kweli Lissu Ni mwana midaharo
Kwa kupika matokeo mnawezaMkuu Lisu wako hata pata hata 20% ya kura!
Subiri oktoba
SAFARINI: TABORA, SHINYANGA, GEITA, SIMIYU, MWANZA, MARA na KAGERA
Ameyasema haya akizungumza na wafuasi, wapenzi na wanachama wa CHADEMA wa majimbo ya uchaguzi ya Igunga na Manonga yaliyo ndani ya wilaya ya Igunga mkoa wa Tabora akiwa katika safari ya kutafuta wadhamini wa ugombea wake wa Urais. Tazama na sikiliza video hii 👇 👇
View attachment 1534109
Aidha amewataka wanachama, wafuasi na wapenzi wa CHADEMA kuhakikisha kuwa wanawasindikiza wagombea wao wa Udiwani na Ubunge wanapokwenda kuchukua fomu za kuomba uteuzi ktk ofisi za DEDs ama TCDs ama CCDs ama WEOs ambao ndiyo wanaoratibu mchakato wa uchaguzi kwa niaba ya Tume ya Uchaguzi wa Taifa (NEC) katika ngazi ya Jimbo na Kata...
Vivyo hivyo, ametumia nafasi hiyo kuwahimiza wagombea wote kuwa waangalifu ña makini sana wanapojaza fomu hizo ili wasije wakaingia ktk mitego midogo midogo ya kufanya makosa ktk ujazaji na kuwapa washindani wao mwanya wa kuwawekea mapingamizi na kujikuta ya uchaguzi wa serikàli za mitaa mwaka 2019 yanajirudia
View attachment 1534119
Danganyweni TU malofa nyie🤣😂🤣! Angalau Magu wetu ni msema kweli mpenzi wa Mungu🤔!Na huyo wenu hata kujieleza hawezi. Anachojua ni kukariri urefu wa barabara na idadi ya samaki baharini.
Muda wa kampeni unaanza tarehe 26 Agosti baada ya uteuzi wa NEC tarehe 25 AgostiSijasikia akisema atawafanyia nini watanzania. Lissu sio mtu sahihi kupambana na Magufuli. Magufuli alihitaji mtu kama lowassa wa 2015.
Umejibu pamoja namihii siyo kampeni , anatafuta wadhamini
Hujitambui wewe kwani walimpiga risasi zote kwa kipi alichonacho?shwainiUuawe kwa kipi ulichonacho
Hata na Lissu mwambie akariri vifungu vya sheria na siyo kukariri debate.Na huyo wenu hata kujieleza hawezi. Anachojua ni kukariri urefu wa barabara na idadi ya samaki baharini.
kura lazima tumpe lisuLisu naweweseka sana, amepania sana kuwa rais , hata kwa damu za watanzania lazima hawe rais, yupo tayari kuongea lolote lile hili international media zimpe attention achafue nchi mataifa makubwa yamsaidie kumkabidhi nchi. He will never archive that...