Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nimepokea vitisho vya kuuawa. Wanachama wawasindikize wagombea Ubunge na Udiwani kuchukua fomu NEC

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nimepokea vitisho vya kuuawa. Wanachama wawasindikize wagombea Ubunge na Udiwani kuchukua fomu NEC

Anafeli sana, matusi ya nini, lete sera watu wakupigie kura, ama kweli Lissu Ni mwana midaharo
Na huyo wenu hata kujieleza hawezi. Anachojua ni kukariri urefu wa barabara na idadi ya samaki baharini.
 

SAFARINI: TABORA, SHINYANGA, GEITA, SIMIYU, MWANZA, MARA na KAGERA

Ameyasema haya akizungumza na wafuasi, wapenzi na wanachama wa CHADEMA wa majimbo ya uchaguzi ya Igunga na Manonga yaliyo ndani ya wilaya ya Igunga mkoa wa Tabora akiwa katika safari ya kutafuta wadhamini wa ugombea wake wa Urais. Tazama na sikiliza video hii 👇 👇
View attachment 1534109

Aidha amewataka wanachama, wafuasi na wapenzi wa CHADEMA kuhakikisha kuwa wanawasindikiza wagombea wao wa Udiwani na Ubunge wanapokwenda kuchukua fomu za kuomba uteuzi ktk ofisi za DEDs ama TCDs ama CCDs ama WEOs ambao ndiyo wanaoratibu mchakato wa uchaguzi kwa niaba ya Tume ya Uchaguzi wa Taifa (NEC) katika ngazi ya Jimbo na Kata...

Vivyo hivyo, ametumia nafasi hiyo kuwahimiza wagombea wote kuwa waangalifu ña makini sana wanapojaza fomu hizo ili wasije wakaingia ktk mitego midogo midogo ya kufanya makosa ktk ujazaji na kuwapa washindani wao mwanya wa kuwawekea mapingamizi na kujikuta ya uchaguzi wa serikàli za mitaa mwaka 2019 yanajirudia
View attachment 1534119
 
Na huyo wenu hata kujieleza hawezi. Anachojua ni kukariri urefu wa barabara na idadi ya samaki baharini.
Danganyweni TU malofa nyie🤣😂🤣! Angalau Magu wetu ni msema kweli mpenzi wa Mungu🤔!
 
Nachojiuliza mbona rais alipokua akisimama barabarani tuliambiwa anafanya kampeni

Lissu akikusanya watu anatafuta wadhamini

Magufuli akisalimia watu anafanya kampeni

Tuna wapinzani wapumbavu sana
 
Sijasikia akisema atawafanyia nini watanzania. Lissu sio mtu sahihi kupambana na Magufuli. Magufuli alihitaji mtu kama lowassa wa 2015.
Muda wa kampeni unaanza tarehe 26 Agosti baada ya uteuzi wa NEC tarehe 25 Agosti
 
At lamadi
20200812_235306.jpg
 
Lisu naweweseka sana, amepania sana kuwa rais , hata kwa damu za watanzania lazima hawe rais, yupo tayari kuongea lolote lile hili international media zimpe attention achafue nchi mataifa makubwa yamsaidie kumkabidhi nchi. He will never archive that...
kura lazima tumpe lisu
 
Back
Top Bottom