Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nimepokea vitisho vya kuuawa. Wanachama wawasindikize wagombea Ubunge na Udiwani kuchukua fomu NEC

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nimepokea vitisho vya kuuawa. Wanachama wawasindikize wagombea Ubunge na Udiwani kuchukua fomu NEC

Akifanyiwa tofauti na upande was pili wafanyiwe hivohivo, safari hii tulie wote
 
Nanyi wimbo wa corona hauwaishi vinywani mwenu
Corona ni tatizo la dunia nzima, tuna haki ya kujipongeza kwa namna tulivyopambana nalo na tumelishinda, ndio maana hata lisu anatembea bila barakoa, wala social distance, wanaume tushafanya kazi, japokua bado aridhiki anatoka nje anasema tanzania kuna corona.
 
Sio kweli. Hizo ni hisia zako tu. Wewe ni mdada? 🤣 🤣
Mtafutieni huyo mtu msaada no one is plotting anything against him.

Hilo la udada we all know mimi na wewe nani mwenye chuchu kifuani 😁 usilete utemi wa kutoa ban tu maana wewe mwenyewe ndio unachokoza wachangiaji.
 
Anajidanganya kuna taifa kubwa jana USA au China au Rassia? China na Russia sitii neno. Lakini USA balozi wake juzi kati akibidhi hati zake za utambulisho ikulu ya magogoni. Kwanza katia barakoa mfukoni khalafu kasema wao USA wabaamini Tanzania ni nchi ya kedomokrasia Afrika Mashariki.

Ndio USA walivyo maslahi ya nchi yao kwanza, na they (USA) never bet on a losing horse.

..kwa hiyo Jpm anaungwa mkono na MABEBERU?

..basi msitusumbue na makelele kwamba kuna hujuma za mabeberu.
 
Corona ni tatizo la dunia nzima, tuna haki ya kujipongeza kwa namna tulivyopambana nalo na tumelishinda, ndio maana hata lisu anatembea bila barakoa, wala social distance, wanaume tushafanya kazi, japokua bado aridhiki anatoka nje anasema tanzania kuna corona.
Kweli ubongo umehifadhi kamasi badala ya akili.
 
..kwanini IGP hawaonyi wakurugenzi wanaoharibu mchakato wa uchaguzi?

..tukiwa na wakurugenzi wanaotekeleza majukumu ya kwa HAKI hatutakuwa na wanasiasa wanaolalamika kama TL.

..TL ni matokeo tu ya tatizo, tushughulike na CHANZO ambacho ni tume ya uchaguzi isiyotenda haki.
Nani kanyimwa kuchukua form mpaka sasa, uwezi kushutumu watu kwa makosa ambayo hayapo.
 
Mtafutieni huyo mtu msaada no one is plotting anything against him.

Hilo la udada we all know mimi na wewe nani mwenye chuchu kifuani 😁 usilete utemi wa kutoa ban tu maana wewe mwenyewe ndio unachokoza wachangiaji.
Post yako ina hormones nyingi za kike.
Halafu kuwa makini mimi sio admin wa jf. Mbwa wewe.
 
You deserve to be taken to hell ! Hopeless kabisa wewe nyau
Sijitambui mimi? Wewe ndio hujitambui, unasubiria kuambiwa kuingia barabarani hata mkishindwa uchaguzi, wakati yeye atakua kwake amelala na mkewe.
 
Nani kanyimwa kuchukua form mpaka sasa, uwezi kushutumu watu kwa makosa ambayo hayapo.

..upo uzoefu wa wapinzani kunyimwa fomu, kwa mfano uchaguzi wa serikali za mitaa.

..sasa IGP alitakiwa ajitokeze na kutoa ONYO kwamba asitokee mtumishi yeyote wa tume atakayepoka haki za wapinzani.

..IGP ni wa waTz wote, lakini kinachonishangaza sijawahi kumsikia hata siku moja akiwatetea wapinzani.
 
Inasikitisha
 
Back
Top Bottom