Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kafanyeje acha mihemko na kupanic JIBUNI HOJA ZAKEwashauri wa Membe watakuwa wanamwambia si tulikuahidi tatizo la Lissu tutalimaliza we endelea na yako; Lissu hatma yake tuachie sisi.
Huyu mtu anachokoza vyombo vya ulinzi alipofikia nafananisha na ugomvi wa utotoni mtu akija kupigana anaanza maneno we akiona umpi attention wapambe wanaotaka kuona ngumi wanamshawishi muwekee kidole jichoni akifika hapo ujue ngumi lazima ata kama mmoja hakuwa na mpango wa kupigana.
Watanzania wote sio blind supporters wa vyama vya siasa wanaona uchokozi wa Lissu. Ambao ni vigumu sana kwa chombo chochote cha ulinzi duniani kuvumilia.
Kama hiyo huruma ipo wacha wapateNdio sera zenu mwaka huu, nina risasi mguuni, mkono wa kushoto, nina risasi pajani. Hayo ndio anayohubiri tokea amefika, maana lisu bado mgonjwa anafanya nini jukwaani. Mnatafuta huruma ya wananchi, anataka tumuhurimie tumpe nchi.
Uuawe kwa kipi ulichonacho
Ushauri huo ungewapa ndugu zake CDM walishiriki ku sign maadili na kanuni za uchaguzi. Na hayo anayofanya kwa sasa bara ni yeye mwenyewe wengine wote wanasubiri tarehe rasmi.Kwani mnapokusanyika kanisani na misikitini huwa mnapata kibali cha IGP ?
Au bado tu unaamini kuwa kukusanyika ni kosa kisheria,hata kama nitampinga Lisu,ila sitopinga suala la yeye kuishi wala sitopinga suala la yeye kufanya siasa,ni uhuru wake kufanya siasa na kutoa mawazo yake,kama ataongea uongo basi uongoi huo ujibiwe.
Mbali na siasa,Lisu ni mtu mwenye maisha yake ambayo wengi wanamtegemea ili wale,walale,wasome shule na watatuliwe matatizo mengine kama ilivyo kwako wewe ambae una watu wanakutegemea.
Punguza porojoLisu naweweseka sana, amepania sana kuwa rais , hata kwa damu za watanzania lazima hawe rais, yupo tayari kuongea lolote lile hili international media zimpe attention achafue nchi mataifa makubwa yamsaidie kumkabidhi nchi. He will never archive that...
Naishia hapo
kaka wewe ni mwanaume mzima? au unatiwa? alfu umakamata pua eti lisu , eti lissu? leta hoja zenye mantiki sio kuropokwa kama malayaNdio sera zenu mwaka huu, nina risasi mguuni, mkono wa kushoto, nina risasi pajani. Hayo ndio anayohubiri tokea amefika, maana lisu bado mgonjwa anafanya nini jukwaani. Mnatafuta huruma ya wananchi, anataka tumuhurimie tumpe nchi.
Watu timamu wanajua kua huu si wakati wa kushindana na magufuli.Hamna kitu kama hicho wewe. Huyo anajua anachofanya. Na wajanja wanamwelewa,maboya tu ndo hawamwelewi.
Ni Yeye 2020Wapiga kura hawawezi kumpigia kura Lisu kumshinda JPM
Muhimu yeye mwenyewe keshamskiliza IGP jana kwamba muda wa mikusanyiko bado lakini ameamua kutokutii na lugha anayotumia ya kuhamasisha utovu wa sheria ameonywa kuacha lakini asikii.
kafanyeje acha mihemko na kupanic JIBUNI HOJA ZAKE
[emoji23][emoji23][emoji23]Sera zetu matusi, ndio kilichobakia, mnataka kuambiwa mnachokitaka, lisu ni waste of time hana lolote, na tutaona baada ya uchaguzi nani mwanaume.kaka wewe ni mwanaume mzima? au unatiwa? alfu umakamata pua eti lisu , eti lissu? leta hoja zenye mantiki sio kuropokwa kama malaya
Ongea yote lakini TUKUTANE OKTOBA 28!SAFARINI: TABORA, SHINYANGA, GEITA, SIMIYU, MWANZA, MARA na KAGERA
Ameyasema haya akizungumza na wafuasi, wapenzi na wanachama wa CHADEMA wa majimbo ya uchaguzi ya Igunga na Manonga yaliyo ndani ya wilaya ya Igunga mkoa wa Tabora akiwa katika safari ya kutafuta wadhamini wa ugombea wake wa Urais. Tazama na sikiliza video hii 👇 👇
View attachment 1534109
Aidha amewataka wanachama, wafuasi na wapenzi wa CHADEMA kuhakikisha kuwa wanawasindikiza wagombea wao wa Udiwani na Ubunge wanapokwenda kuchukua fomu za kuomba uteuzi ktk ofisi za DEDs ama TCDs ama CCDs ama WEOs ambao ndiyo wanaoratibu mchakato wa uchaguzi kwa niaba ya Tume ya Uchaguzi wa Taifa (NEC) katika ngazi ya Jimbo na Kata...
Vivyo hivyo, ametumia nafasi hiyo kuwahimiza wagombea wote kuwa waangalifu ña makini sana wanapojaza fomu hizo ili wasije wakaingia ktk mitego midogo midogo ya kufanya makosa ktk ujazaji na kuwapa washindani wao mwanya wa kuwawekea mapingamizi na kujikuta ya uchaguzi wa serikàli za mitaa mwaka 2019 yanajirudia
View attachment 1534119
CCM wanazindua nyimbo zao na watakuwa wameomba kibali ata ACT watakuwa wanaomba vibali huko Zanzibar vya one off.
Lissu yeye kaamua kuanza kampeni rasmi sio ivyo tu na kuhamasisha uvunjifu wa sheria, watu wachukue hatua mkononi. Wanao mdanganya wanajua huko ni kushika masharubu ya vyombo vya ulinzi.
NEC wameshatoa maelezo hakuna mtu kukosa form ya ubunge na udiwani. Mkurugenzi atakaefanya mtu akose form ya uchaguzi mkuu watamshugulikia, lakini Lissu bado tu anatafuta ugomvi na kila mtu.