Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Hili ndio linalihitajika kwa sasa. Tangu 1995, kule Zanzibar Maalim anaibiwa halafu ananyamaza. Mzunguko wa wizi unaendelea. Hauwezi kupata haki yako kwa CCM mpaka uidai hata kwa damu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uuawe kwa kipi ulichonacho
Hamna kitu kama hicho wewe. Huyo anajua anachofanya. Na wajanja wanamwelewa,maboya tu ndo hawamwelewi.Lisu naweweseka sana, amepania sana kuwa rais , hata kwa damu za watanzania lazima hawe rais, yupo tayari kuongea lolote lile hili international media zimpe attention achafue nchi mataifa makubwa yamsaidie kumkabidhi nchi. He will never archive that...
Unasema?Magufuli anaondoka kwa Hali hii atake asitake. Kuanza huenda vurugu zikaibuka kabla ya uchaguzi. Ofisi za serikali huenda zikaharibiwa kwa njia yoyote ile ikiwa watu watawakimbia wagombea wa upinzani. Hicho ndicho kinatafutwa nasikia Marekani na Uingereza wamejiweka tayari. Tusali Sana wa Tanzania. Pia Membe kasema chochote chaweza kutokea kabla ya October 2020, anajua wamepanga nini.
Kuna kitu kinakuja na kinatafutwa kwa nguvu. Tusali sanaUnasema?
Muda wa campaign bado.Sijasikia akisema atawafanyia nini watanzania. Lissu sio mtu sahihi kupambana na Magufuli. Magufuli alihitaji mtu kama lowassa wa 2015.
Mungu yu pamoja nawe lissu
Swissme
Kwani kampeni zimeanza ?Sijasikia akisema atawafanyia nini watanzania. Lissu sio mtu sahihi kupambana na Magufuli. Magufuli alihitaji mtu kama lowassa wa 2015.
Kampeni bado,Sijasikia akisema atawafanyia nini watanzania. Lissu sio mtu sahihi kupambana na Magufuli. Magufuli alihitaji mtu kama lowassa wa 2015.
Mkuu Lisu wako hata pata hata 20% ya kura!Mwalimu Nyerere hakukosea kamwe kumuita Nduli Idd Amin MSHENZI na MWENDAWAZIMU, duniani kote ma Dikteta kama JPM wana akili za hovyo sana.
washauri wa Membe watakuwa wanamwambia si tulikuahidi tatizo la Lissu tutalimaliza we endelea na yako; Lissu hatma yake tuachie sisi.
Huyu mtu anachokoza vyombo vya ulinzi alipofikia nafananisha na ugomvi wa utotoni mtu akija kupigana anaanza maneno we akiona umpi attention wapambe wanaotaka kuona ngumi wanamshawishi muwekee kidole jichoni akifika hapo ujue ngumi lazima ata kama mmoja hakuwa na mpango wa kupigana.
Watanzania wote sio blind supporters wa vyama vya siasa wanaona uchokozi wa Lissu. Ambao ni vigumu sana kwa chombo chochote cha ulinzi duniani kuvumilia.
Nadhani kampeni bado hazijaanza. Zikianza nadhani wagombea wote wataanza kuingia uwanjani kwa mtanange tutayasikia yale tutarajiayo.Sijasikia akisema atawafanyia nini watanzania. Lissu sio mtu sahihi kupambana na Magufuli. Magufuli alihitaji mtu kama lowassa wa 2015.
hii siyo kampeni , anatafuta wadhamini
Hili ndio linalihitajika kwa sasa. Tangu 1995, kule Zanzibar Maalim anaibiwa halafu ananyamaza. Mzunguko wa wizi unaendelea. Hauwezi kupata haki yako kwa CCM mpaka uidai hata kwa damu.
Ni yeye 2020washauri wa Membe watakuwa wanamwambia si tulikuahidi tatizo la Lissu tutalimaliza we endelea na yako; Lissu hatma yake tuachie sisi.
Huyu mtu anachokoza vyombo vya ulinzi alipofikia nafananisha na ugomvi wa utotoni mtu akija kupigana anaanza maneno we akiona umpi attention wapambe wanaotaka kuona ngumi wanamshawishi muwekee kidole jichoni akifika hapo ujue ngumi lazima ata kama mmoja hakuwa na mpango wa kupigana.
Watanzania wote sio blind supporters wa vyama vya siasa wanaona uchokozi wa Lissu. Ambao ni vigumu sana kwa chombo chochote cha ulinzi duniani kuvumilia.
Wewe ndio mpiga kura pekee, sivyo?Mkuu Lisu wako hata pata hata 20% ya kura!
Subiri oktoba