Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nimepokea vitisho vya kuuawa. Wanachama wawasindikize wagombea Ubunge na Udiwani kuchukua fomu NEC

Magufuli mwenyewe ni mfano halisi. Jogoo hoyee.
Kumbe huwa mnamkiri kuwa JPM ni Amiri Jeshi Mkuu?
Vizuri sana kijana. Sasa subiri aendelee kuwa Amiri Jeshi Mkuu wako hadi 2025!

TUKUTANE OKTOBA 28!
 
Kwani kampeni zimeanza??? Saiv Ni mda wa wadhamini tu subiri moto utakapowashwa
Sijasikia akisema atawafanyia nini watanzania. Lissu sio mtu sahihi kupambana na Magufuli. Magufuli alihitaji mtu kama lowassa wa 2015.
 
Akifanyiwa tofauti na upande was pili wafanyiwe hivohivo, safari hii tulie wote
 
Nanyi wimbo wa corona hauwaishi vinywani mwenu
Corona ni tatizo la dunia nzima, tuna haki ya kujipongeza kwa namna tulivyopambana nalo na tumelishinda, ndio maana hata lisu anatembea bila barakoa, wala social distance, wanaume tushafanya kazi, japokua bado aridhiki anatoka nje anasema tanzania kuna corona.
 
Sio kweli. Hizo ni hisia zako tu. Wewe ni mdada? 🤣 🤣
Mtafutieni huyo mtu msaada no one is plotting anything against him.

Hilo la udada we all know mimi na wewe nani mwenye chuchu kifuani 😁 usilete utemi wa kutoa ban tu maana wewe mwenyewe ndio unachokoza wachangiaji.
 

..kwa hiyo Jpm anaungwa mkono na MABEBERU?

..basi msitusumbue na makelele kwamba kuna hujuma za mabeberu.
 
Kweli ubongo umehifadhi kamasi badala ya akili.
 
Nani kanyimwa kuchukua form mpaka sasa, uwezi kushutumu watu kwa makosa ambayo hayapo.
 
Mtafutieni huyo mtu msaada no one is plotting anything against him.

Hilo la udada we all know mimi na wewe nani mwenye chuchu kifuani 😁 usilete utemi wa kutoa ban tu maana wewe mwenyewe ndio unachokoza wachangiaji.
Post yako ina hormones nyingi za kike.
Halafu kuwa makini mimi sio admin wa jf. Mbwa wewe.
 
You deserve to be taken to hell ! Hopeless kabisa wewe nyau
Sijitambui mimi? Wewe ndio hujitambui, unasubiria kuambiwa kuingia barabarani hata mkishindwa uchaguzi, wakati yeye atakua kwake amelala na mkewe.
 
Nani kanyimwa kuchukua form mpaka sasa, uwezi kushutumu watu kwa makosa ambayo hayapo.

..upo uzoefu wa wapinzani kunyimwa fomu, kwa mfano uchaguzi wa serikali za mitaa.

..sasa IGP alitakiwa ajitokeze na kutoa ONYO kwamba asitokee mtumishi yeyote wa tume atakayepoka haki za wapinzani.

..IGP ni wa waTz wote, lakini kinachonishangaza sijawahi kumsikia hata siku moja akiwatetea wapinzani.
 
Inasikitisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…