Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nimepokea vitisho vya kuuawa. Wanachama wawasindikize wagombea Ubunge na Udiwani kuchukua fomu NEC

archive X

Achieve[emoji106]
 
Lessons are learned through previous elections.

Ni kwa sababu hizo zilizopita wakurugenzi wamepewa onyo kwenye semina zao za uchaguzi yasisike malalamiko ya mtu kukosa form kisa wao hawapo.
 
..kwa hiyo Jpm anaungwa mkono na MABEBERU?

..basi msitusumbue na makelele kwamba kuna hujuma za mabeberu.

Mabeburu kishingo upande wamekubali yaishe, wanaona mipango na mikakati yao ya kifedhuli imestukiwa na hakika imegonga ukuta. Wakawa waungwana kama huwezi shindana naye basi ungana naye. Sina hakika kama kuungana ni kuungwa mkono, hilo na kuachia wewe.
 
Halafu vitisho amevipata kutoka kwa wafuasi wake walikuwa wanamjenga kuchukua tahadhari.
 

..ook.

..kwa hiyo sasa Jpm na CCM wameungana na mabeberu.

..Je, nchi itakuwa salama kweli?
 
Hivi vitisho anavyovipata apeleke polisi na kama yeye sio mkosaji amfuate afande sillo wayamalize
Ila anaomba wamlinde huku anawachamba kweli kazi ipo
Ni jukumu la jeshi la polisi kulinda RAIA na mali zao haijalishi unalipinga au la! Haf unaposema amfuate Sirro wayamalize kwan wana ugomvi gani na Sirro?
 
Lessons are learned through previous elections.

Ni kwa sababu hizo zilizopita wakurugenzi wamepewa onyo kwenye semina zao za uchaguzi yasisike malalamiko ya mtu kukosa form kisa wao hawapo.

..nimeuliza ni lini ulimsikia IGP akiwatetea wapinzani?

..kwanini kila siku anawatishia-tishia?

..kwanini hakai nao kikao hata mara moja kuwasikiliza matatizo yao?

..tunajenga mazingira yasiyo ya haki na usawa.
 
Wanatapatapa hao madhwalimu songa mbele vitisho havitawasaidia wamechelewa
 
You deserve to be taken to hell ! Hopeless kabisa wewe nyau
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hate it, lakini huo ndio ukweli hakuna kiongozi hata mmoja atakayeingia na nyie barabarani, hasa huyo lisu.
 
Lissu anaamsha hari( morale) ya hasira, chuki na maumivu ya watu ndio maana nasema “ Anafaa kua kiongozi wa kikundi cha kigaidi , rebel group au Panya road hafai kua rais wa nchi ni mwana-harakati sio Rais”
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hate it, lakini huo ndio ukweli hakuna kiongozi hata mmoja atakayeingia na nyie barabarani, hasa huyo lisu.
Kwani mlipompiga risasi ziliwaingia na wanaompenda? Au lisu tu.
 
Sijasikia akisema atawafanyia nini watanzania. Lissu sio mtu sahihi kupambana na Magufuli. Magufuli alihitaji mtu kama lowassa wa 2015.
Amekula risasi 16 kwa niaba ya Watz! Tuseme kila risasi moja kwa ajili ya Watanzania M1! Kama kuna mtu mwingine mwenye huo ubavu, atapata kura yangu! Pia, Mtu yeyote akifanya chochote kama hayo unauotaka Lisu afanye, siyo favor kwa Watanzania, ni wajibu wake, na pia ni pesa zetu!
 
Anacho nifurahisha Lisu ni namna anavyo wa adress hao anao wataja kwa majina yao
Hana kona kona
 

Tume ndio wajilaumu kwa kutufikisha hapa. Isingekuwa tume inatumikia siasa chafu ungeona wapi watu wakihamasishwa hali hiyo? Uzuri ni kuwa kama hakuna tatizo hakuna anayeweza kufanya fujo. Kama hakuna nia ovi wasi wasi wako uko wapi? The guilty are always afraid.
 
Jamani naona wanatutafuta Watanzania. Hatutaki kusikia Lissu anaguswa jamani.

Na hivi sasa Lissu tunakuomba ujichunge mno. Kama unavyosema sasa hatuko kwenye mazingira ya kawaida, ni kweli kabisa. Usichukulie vitisho hivi poa. Kuweka wazi uovu wao tu haitoshi. Ikiwezekana avoid kabisa watu mpaka wakati wa kampeni. Na barabarani muwe makini mno, wasije wakakusababishia ajali bure huko barabarani. Hawachelewi hawa. Tunakutegemea mno baba utukomboe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…