Kwani kampeni zimeanza? Shule za kata ni tatizo nchi hiiSijasikia akisema atawafanyia nini watanzania. Lissu sio mtu sahihi kupambana na Magufuli. Magufuli alihitaji mtu kama lowassa wa 2015.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kampeni zimeanza? Shule za kata ni tatizo nchi hiiSijasikia akisema atawafanyia nini watanzania. Lissu sio mtu sahihi kupambana na Magufuli. Magufuli alihitaji mtu kama lowassa wa 2015.
Ni sawa na ile hadithi ya:-Lisu naweweseka sana, amepania sana kuwa rais , hata kwa damu za watanzania lazima hawe rais, yupo tayari kuongea lolote lile hili international media zimpe attention achafue nchi mataifa makubwa yamsaidie kumkabidhi nchi. He will never archive that...
Hata uchaguzi wa S/M wakurugenzi walileta porojo hizo hizo , safari hii hatumwi mtoto dukaniHivi ata unasikiliza speech zake yeye anataka umati wote kwenye ukumbi alimokua anaongea kesho wamsindikize mgombea wao kuchukua form na wakizinguliwa wakinukushe hapohapo.
Wakati NEC washatoa maagizo hakuna kufunga ofisi wala kwenda vikao kila mtu apewe form.
Kumbe huwa mnamkiri kuwa JPM ni Amiri Jeshi Mkuu?
Vizuri sana kijana. Sasa subiri aendelee kuwa Amiri Jeshi Mkuu wako hadi 2025!
TUKUTANE OKTOBA 28!
..ook.
..kwa hiyo sasa Jpm na CCM wameungana na mabeberu.
..Je, nchi itakuwa salama kweli?
Kampeni bado,subiri wakati ufike unless lengo lenu ni kutaka aanze kampeni kabla ya wakati ili mumuengue kugombea.Sijasikia akisema atawafanyia nini watanzania. Lissu sio mtu sahihi kupambana na Magufuli. Magufuli alihitaji mtu kama lowassa wa 2015.
Binafsi sijaona kama Kuna Jambo ameliongea linalotaka kuichafua nchi, aliyoyazungumza ndiyo yanayofanywa na waliopewa dhamana. Kwa hiyo anatoa tahadhari, atakayemuona Tundu Lissu anakosea ni yule ambaye ujumbe unaousikia unamgusa kwa namna moja au nyingine.Lisu naweweseka sana, amepania sana kuwa rais , hata kwa damu za watanzania lazima hawe rais, yupo tayari kuongea lolote lile hili international media zimpe attention achafue nchi mataifa makubwa yamsaidie kumkabidhi nchi. He will never archive that...
Ni vigumu sana wafuasi wa CDM kukubali makosa.Hata uchaguzi wa S/M wakurugenzi walileta porojo hizo hizo , safari hii hatumwi mtoto dukani
Sijasikia akisema atawafanyia nini watanzania. Lissu sio mtu sahihi kupambana na Magufuli. Magufuli alihitaji mtu kama lowassa wa 2015.
.Ni vigumu sana wafuasi wa CDM kukubali makosa.
Ikitokea siku Lissu kavamia bank na kupora, watakambia tatizo ni bank wenyewe kwanini wakae na mihela, walinzi nao walikuwa wapi, kwanza hawana mafunzo ndio maana Lissu kaamua awape somo la bure.
Ndio hapa deep down mnajua anachofanya Lissu sio sahihi.
Atajayekuwa amesababisha ni yule aliyempiga risasiLisu naweweseka sana, amepania sana kuwa rais , hata kwa damu za watanzania lazima hawe rais, yupo tayari kuongea lolote lile hili international media zimpe attention achafue nchi mataifa makubwa yamsaidie kumkabidhi nchi. He will never archive that...
We Malaya unauza shingapi?Uuawe kwa kipi ulichonacho
AmenMungu yu pamoja nawe lissu
Swissme
Wakisha jaza watoe copy wabaki nazo ili ikitokea wakaambiwa wamejaza vibaya kuwepo na evidenceSAFARINI: TABORA, SHINYANGA, GEITA, SIMIYU, MWANZA, MARA na KAGERA
Ameyasema haya akizungumza na wafuasi, wapenzi na wanachama wa CHADEMA wa majimbo ya uchaguzi ya Igunga na Manonga yaliyo ndani ya wilaya ya Igunga mkoa wa Tabora akiwa katika safari ya kutafuta wadhamini wa ugombea wake wa Urais. Tazama na sikiliza video hii [emoji116] [emoji116]
View attachment 1534109
Aidha amewataka wanachama, wafuasi na wapenzi wa CHADEMA kuhakikisha kuwa wanawasindikiza wagombea wao wa Udiwani na Ubunge wanapokwenda kuchukua fomu za kuomba uteuzi ktk ofisi za DEDs ama TCDs ama CCDs ama WEOs ambao ndiyo wanaoratibu mchakato wa uchaguzi kwa niaba ya Tume ya Uchaguzi wa Taifa (NEC) katika ngazi ya Jimbo na Kata...
Vivyo hivyo, ametumia nafasi hiyo kuwahimiza wagombea wote kuwa waangalifu ña makini sana wanapojaza fomu hizo ili wasije wakaingia ktk mitego midogo midogo ya kufanya makosa ktk ujazaji na kuwapa washindani wao mwanya wa kuwawekea mapingamizi na kujikuta ya uchaguzi wa serikàli za mitaa mwaka 2019 yanajirudia
View attachment 1534119
Ana amasisha uvunjifu wa sheria.
Ainisha kosa la Tundu Lissu hapo....
å Je, ni kutoa taarifa kwa umma kuwa anatishiwa kuuawa na "wasiojulikana" ndilo kosa lake?
å Je, ni kuripoti "tendo la kutishiwa kwake kuuawa" polisi ambacho ndicho chombo cha kisheria na kikatiba cha kupokea na kushughulika na maswala kama hili la usalama wa watu kama Tundu Lissu?
Au hujui kuwa polisi ndiyo wenye jukumu la kulinda usalama wa raia na Mali zao? Sasa wewe hoja yako iko wapi?
å Au kosa lake ni kuwakunbusha IGP - Simon Sirro na Mkurugenzi wa idara ya usalama wa taifa Diwani Athumani wajibu wao?
å Je, kosa lake ni kuwatahadharisha wagombea wa udiwani na ubunge wa chama chake kuwa makini na waangalifu wanapokwenda kuchukua fomu za uteuzi NEC na ikibidi wasindikizwe na wapenzi, wafuasi na wanachama wao kwa wingi?
MAKOSA ya Tundu Lissu yako wapi hapo at least kwa ulichokisikia katika hizi video mbili?
Basically, hakuna kosa. Tatizo linaweza kuwa ni wewe ktk ufahamu na uelewa wako...!!
Endelea kujipa Iman kwenye keyboard ya simu yakoLissu 2020, pombe inarudishwa chato.
Wapi niliposema kuwa hizo ndo sera?Ndio sera zenu mwaka huu, nina risasi mguuni, mkono wa kushoto, nina risasi pajani. Hayo ndio anayohubiri tokea amefika, maana lisu bado mgonjwa anafanya nini jukwaani. Mnatafuta huruma ya wananchi, anataka tumuhurimie tumpe nchi.