Pre GE2025 Tundu Lissu: Nimewasilisha kusudio la kugombea nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA

Pre GE2025 Tundu Lissu: Nimewasilisha kusudio la kugombea nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Naona Mh. Lissu kaweza wazi kwba anataka kijipima ubavu na mwamba.

Sasa ni hivi namuona Lissu ACT wazalendo ama CCM ama kustaafu siasa kabisaa.

Tena huo uchaguzi wa yeye na mwamba ikiwezekana usimamiwe na Tume kabisa ili kusitokee mtu apate sababu kama kina sumaye.

CDM bado saana inamuhitaji kamanda wa anga.
Atatusamehe; sababu alizotoa hazitoshi kutushawishi na kumwacha mzee na jabari la siada Tanzania, Africa na hata Duniani.

Kunadilishana uongozi wa juu katika taasisi nyeti kama CDM inatakiwa iwe kwa maridhiano makunwa lakimi si kwa namna hii ni mbaya sana na sidhani Lissu ana nia njema na CDM.
 
Alikuwa anatafuta exit door, na kishaipata.
Kitakachotokea ni kwamba;
Atashindwa kwenye uchaguzi kihalali kabisa.
Ataondoka Chadema kwa kulalamika kuwa amefanyiwa fitina kwenye uchaguzi.
Ataenda CCM, lakini huko hatafanikiwa, kwa kuwa ana kiburi na hana unyenyekevu.
CCM haiwezi kuvumilia watu sampuli yake.
Atashindwa na nani?
 
MBOWE AMWACHIE LISU . TABIA YA KULAZIMISHA ITAMVUNJIA HESHIMA . WAZUNGUMZE WAACHIANE NAFASI KWA AMANI. HAPA ILIPOFIKA KUPAMBANA HAKUMSAIDII MBOWE. CHAMA KIPO ICU KINAHITAJI MABADILIKO ILA SIO LISU. MBOWE ATAZAME MTU SAHIHI
 
Kwani Mbowe ndiyo anamamlaka ya kuchagua Nani atamwachia Madaraka?
Au katiba ya CDM ndivyo inavyosema?
 
Back
Top Bottom