Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Una zawadi yako wewe dada wa maana😘Nitajieni mwanasiasa mwingine ambaye amewahi kukiri makosa na kuomba radhi, sijui mtu anapata wapi nguvu ya kupingana na Lissu.
Amenyooka mno.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una zawadi yako wewe dada wa maana😘Nitajieni mwanasiasa mwingine ambaye amewahi kukiri makosa na kuomba radhi, sijui mtu anapata wapi nguvu ya kupingana na Lissu.
Amenyooka mno.
Mkimbia midahalo hafai kuongoza chama Cha DEMOKRASIA na maendeleo.Kitendo cha Mbowe kushindwa kuhudhuria mdahalo kinamfanya siwe right person kuongoza chama, amekuwa na tabia za Maccm, ameshachoka na hafai tena. Simkubali Lissu kwa sababu kadhaa, na sioni kama anafaa kuongoza chama, ila I give him benefit of the doubt.
Huwezi kukimbia mdahalo kama kina Samia, Magufuli, Kikwete nk halafu unataka kupewa nafasi, tutajuaje kama bado unafaa?
Kiukweli Nchi yetu imebarikiwa Kwa kuwa na kiongozi aina ya Lissu.Lissu kaonyesha ukomavu wa kisiasa
Hafai hata kidogo, kwa hilo Mbowe hawezi kutetewa, nadhani amechoka. Japo binafsi Lissu sioni akiwa kiongozi mzuri.Mkimbia midahalo hafai kuongoza chama Cha DEMOKRASIA na maendeleo.
Anajiandaa kutangaza kujitoa.Nje ya masa: Hivi ni kwa nini Mbowe hakutokea leo kwenye huu mdahalo wa leo?
Aibu sana mtu timamu kuendelea kumtaja Lowassa negatively!!Hellow Tanganyika!!
Akihojiwa kuhusu ushirika wake kumleta chamani Lowwassa, amedai ,Yeye na Mnyika walipewa taarifa juu ya ujio wa Lowassa mwishoni kabisa, hivyo wasingekataa,
Alipoulizwa kwanini binafsi hakujiondoa kama Dr Slaa, amedai kuwa Dr Slaa alishiriki mchakato mzima wa kumleta Lowwassa mwanzo mwisho kama katibu mkuu,
Alipoulizwa kwanini hakuondoka CHADEMA, amedai kuwa Hiyo ni dhambi na kukiri dhambi ni jambo la kheri.
Nachukua fursa hii kumsamehe TUNDU Lissu, na rasmi nampa nafasi ya kuongoza chama na Nchi ikimpendeza Mungu maana ni mkweli.
Abarikiwe TUNDU Antipas Lissu.
Mungu ibariki CHADEMA.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA.
Karibuni 🙏
Source: Mdahalo wa wagombea nafasi ya Mwenyekiti Taifa CHADEMA, star Tv.
Hellow Tanganyika!!

Lissu hajawahi kuwa kiongozi wa Taasisi yoyote ile apart ya ofisi ya uwakil wale. Hana uwezo wala kipaji cha uongozi.Hellow Tanganyika!!
Akihojiwa kuhusu ushirika wake kumleta chamani Lowwassa, amedai ,Yeye na Mnyika walipewa taarifa juu ya ujio wa Lowassa mwishoni kabisa, hivyo wasingekataa,
Alipoulizwa kwanini binafsi hakujiondoa kama Dr Slaa, amedai kuwa Dr Slaa alishiriki mchakato mzima wa kumleta Lowwassa mwanzo mwisho kama katibu mkuu,
Alipoulizwa kwanini hakuondoka CHADEMA, amedai kuwa Hiyo ni dhambi na kukiri dhambi ni jambo la kheri.
Nachukua fursa hii kumsamehe TUNDU Lissu, na rasmi nampa nafasi ya kuongoza chama na Nchi ikimpendeza Mungu maana ni mkweli.
Abarikiwe TUNDU Antipas Lissu.
Mungu ibariki CHADEMA.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA.
Karibuni 🙏
Source: Mdahalo wa wagombea nafasi ya Mwenyekiti Taifa CHADEMA, star Tv.
Na iWe hivyo- AmenAnajiandaa kutangaza kujitoa.
Nani huyo amekudanganya mimi ni kamanda uchwara kama wewe😀We nawe uwe UNASAMEHE!
Japo alikuwa chawa wa Jiwe kipindi ambacho wanamageuzi waliteswa, walitekwa na waliuawa systematically, kama ambavyo mikono ya Jiwe imejaa damu za watu na huyo chawa wake hawezi kukwepa dhambi hiyo. Usaliti alioufanya katika ya mapambano na kumlamba miguu Mwendakuzimu na kuwa chawa mwandamizi kwa kuisagia kunguni CHADEMA, it's very strange how fast people can forget disastrous double crossing. No wonder they say that hypocrisy is a norm in politics.Karibu CHADEMA Dr Slaa,
Hongera Kwa kutoshiriki dhambi Ile ya kumsafisha mtu yule.
Kwamba pesa za Lowassa zenyewe hazikutokana na usaliti na wizi wa Kodi za wananchi kimfumo?Japo alikuwa chawa wa Jiwe kipindi ambacho wanamageuzi waliteswa, walitekwa na waliuawa systematically, kama ambavyo mikono ya Jiwe imejaa damu za watu na huyo chawa wake hawezi kukwepa dhambi hiyo. Usaliti alioufanya katika ya mapambano na kumlamba miguu Mwendakuzimu na kuwa chawa mwandamizi kwa kuisagia kunguni CHADEMA, it's very strange how fast people can forget disastrous double crossing. No wonder they say that hypocrisy is a norm in politics.