- Thread starter
- #101
Kwani Kuna exprery date ya kuomba msamaha?Baada ya miaka 10 kupita???
Time is a good teacher.
Anyway, IPO tu ikiwa mtu atakufa bila kufanya hivyo, lakini Lissu Bado Yu hai, anaruhusiwa kuomba msamaha.
Abarikiwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Kuna exprery date ya kuomba msamaha?Baada ya miaka 10 kupita???
Time is a good teacher.
Sawa, nyie ni wasafi hamna doa.... hongereni.Lissu ndiye aliyekuwa akimshambulia Lowassa kuwa ni fisadi na alidai kuwa na ushahidi.
Sasa wewe ulidhani Lowassa alikuwa Malaika asiyekosea?
By the way, mishahara wa waziri mkuu au waziri haiwezi kufanya kuwa tajiri kiasi kile, labda uniambie Kuna biashara ndani ya Serikali viongozi hufanya.
Tofauti na hapo, lazima alikuwa fisadi tu.
Kumsafisha fisadi bila fisadi kutubu Hilo halikubaliki.Sawa, nyie ni wasafi hamna doa.... hongereni.
Kwani dhambi ni ufisadi tu ?...Kumsafisha fisadi bila fisadi kutubu Hilo halikubaliki.
Ni dhambi hiyo, dhambi unatakiwa itubiwe ndipo mtu asamehewe.
Na hiyo ndio tafsiri ya utakatifu, ni kutubu dhambi, kusafisha vazi.
Dhambi ni nyingi,Kwani dhambi ni ufisadi tu ?...
Mkuu achana na hizo hoja. Ikiwezekana epuka kabisa mijadala kuhusu ufisadi.Lissu ndiye aliyekuwa akimshambulia Lowassa kuwa ni fisadi na alidai kuwa na ushahidi.
Sasa wewe ulidhani Lowassa alikuwa Malaika asiyekosea?
By the way, mishahara wa waziri mkuu au waziri haiwezi kufanya kuwa tajiri kiasi kile, labda uniambie Kuna biashara ndani ya Serikali viongozi hufanya.
Tofauti na hapo, lazima alikuwa fisadi tu.
Hivi Lowassa hakuwasaidia kuvuna wabunge wengi kipindi kile?Dhambi ni nyingi,
Ila pesa za kifisadi alizoleta Lowassa ndani ya CDM ndizo ziliondoa Imani ya wananchi Kwa CHADEMA ambayo Lissu anajaribu kutibu tatizo Hilo Kwa kukiri dhambi hiyo.
Unapingana na Lissu kwamba haikuwa dhambi kumleta Lowwassa CHADEMA?Mkuu achana na hizo hoja. Ikiwezekana epuka kabisa mijadala kuhusu ufisadi.
Kwa mawazo hayo uliyoandika hapo ni viongozi na watendaji wangapi serikalini kuanzia Rais hadi chini ambao si mafisadi?
Kelele dhidi ya Lowassa kuhusu ufisadi sasa tunajua zilikuwa janja ya kisiasa zaidi. Na CHADEMA waliingia mkenge. Imagine. JK naye alikuwa anadai CHADEMA wanafuatana na fisadi papa ndani ya chama chao!
I second you...Mkuu achana na hizo hoja. Ikiwezekana epuka kabisa mijadala kuhusu ufisadi.
Kwa mawazo hayo uliyoandika hapo ni viongozi na watendaji wangapi serikalini kuanzia Rais hadi chini ambao si mafisadi?
Kelele dhidi ya Lowassa kuhusu ufisadi sasa tunajua zilikuwa janja ya kisiasa zaidi. Na CHADEMA waliingia mkenge. Imagine. JK naye alikuwa anadai CHADEMA wanafuatana na fisadi papa ndani ya chama chao!
Pesa za RUSHWA zikasaidia kupatikana wabunge wengi, haziondoi UKWELI kuwa pesa zilikuwa chafu.Hivi Lowassa hakuwasaidia kuvuna wabunge wengi kipindi kile?
Kwa kusema hayo unakubaliana na Pesa aletazo Abdul na mamake ndani ya CHADEMA?I second you...
Inashangaza bado Watanzania wengi wametekwa na zile siasa wakati 'ufisadi' kiuhalisia sio mtu (Lowassa) ila matokeo ya mfumo wa uongozi wa Ccm
Kwa hiyo pesa za Lowassa ndio zilisaidia Chadema kuvuna wabunge wengi mwaka 2015?..Pesa za RUSHWA zikasaidia kupatikana wabunge wengi, haziondoi UKWELI kuwa pesa zilikuwa chafu.
Ni sawa kusema pesa chafu zilitumuka Kwa Nia njema kuiondoa CCM mamlakani,
Lakini pesa zitabaki kuwa chafu,
Lissu: Truth shall set you free
Wewe ndio umedai pesa za Lowassa zilisaidia CDM kupata wabunge wengi,Kwa hiyo pesa za Lowassa ndio zilisaidia Chadema kuvuna wabunge wengi mwaka 2015?..
Msiwadharau wana-chadema na wapiga kura wake kiasi hicho bhana.
Ujio wa Lowassa uliisaidia Chadema kuvuna majimbo mengi kwenye uchaguzi wa 2015..........hayo ya pesa zake siyajui.Wewe ndio umedai pesa za Lowassa zilisaidia CDM kupata wabunge wengi,
Tuambie pia pesa za Abdul ikiwa zitafanikiwa kuongeza idadi ya wabunge binge lijalo au la.
Sasa wewe ndio hujui, ila Lissu anaujua UKWELI na ametubu na tumemsamehe.Ujio wa Lowassa uliisaidia Chadema kuvuna majimbo mengi kwenye uchaguzi wa 2015..........hayo ya pesa zake siyajui.
Kuhusu pesa za Abdul pia sijui
Labda anamuogopa!Kwanini alimtukana sana Dr Slaa?
Samia ndio Spika wa bunge? Na utadai vipi kitu bila kukutana na huyo mtu?Lissu kudai pesa za matibabu ni jambo linalohitaji ridhaa ya vikao vya chama?
Yaani ukamatwe Kwa kuanzisha vuguvugu la kudai Katiba mpya Kisha ufungwe Kisha uhamishie madai ya Katiba mpya ndani ya Ikulu?
Momentum of Lowasa ndio iliwapa ubunge hata wasiostahili kuwa wabunge na madiwani kibao, ni ndoto kwa Chadema sasa hivi kupata kura millioni 8 za Urais hasa kwa huu utoto walioleta hata mimi siwapigii tena kura.Hivi Lowassa hakuwasaidia kuvuna wabunge wengi kipindi kile?